tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tochuku

    Operesheni ya Interpol: Zaidi ya Bilioni 280 za kitanzania, za uhalifu wa mtandaoni zanaswa Afrika, washukiwa 1,462 mbaroni, Tanzania imo.

    Shirika la Kimataifa la Polisi wa Jinai (Interpol) limesema kuwa operesheni yake ya hivi karibuni barani Afrika imesababisha kukamatwa kwa watu 1,462 na kupatikana kwa zaidi ya dola milioni 105 za Kimarekani za fedha haramu. Operesheni hio iliyofanywa katika nchi 21, ililenga utapeli wa...
  2. E

    Masauni: Tanzania yalenga kuwa kitovu cha soko la kaboni Afrika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza wakati akifungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania 2026, lililofanyika Jijini Dar es Salaam, Oktoba 22, 2026. Dar es Salaam. Tanzania inalenga kuwa kitovu cha biashara ya...
  3. Zack Abdul

    Tanzania yaimarisha juhudi za kujitegemea katika uzalishaji wa dawa

    Tanzania inaendelea kuimarisha juhudi za kujitegemea katika uzalishaji wa dawa, huku kampuni 57 zikiwa katika majadiliano ya kuwekeza nchini. Serikali inalenga kuongeza uzalishaji wa dawa ndani ya nchi hadi asilimia 80 ifikapo mwaka 2030, hatua inayotarajiwa kupunguza utegemezi wa dawa...
  4. R

    Dr. Rugemeleza Nshala: Sitamuogopa mti aliyezsliwa kama mimi: Nitaifia nchi yangu Tanzania, Kwaherini tutaonana Paradiso

    Nitàifia nchi yangu
  5. Yoda

    Huyu mtume akija Tanzania ataleta changamoto sana kwa wahubiri mafanikio wa Dar.

    Atachukua wanawake wote wa kwa Mtume Mwamposa na Pastor Tony
  6. Troll JF

    Nini kilisababisha John Pambalu kurudi Tanzania kutoka Mafichoni nchini Kenya?? Pesa za wafadhili zilimuishia?

    LILIKUWA ni suala la muda tu kuwa utafika lini ili Pambalu afike hapa alipofika sasa kwenye hatua za maisha yake hapa duniani. Amepata alichokuwa anahangaika kukipata kwa muda mrefu sana kwenye huu ujinga wao wanaofanya na kuuita ni siasa na hatakati. VIJANA wengi wa BAVICHA huwa...
  7. BICHWA MOBILE

    Bei za simu Tanzania 2026 | iPhone, Samsung, Google Pixel na Simu nyingine – Kariakoo

    Habari zenu wakuu, wana-JamiiForums! Nauza simu za aina mbalimbali kama iPhone, Samsung, Google Pixel, Sony Xperia, Sharp Aquos na nyingine nyingi. Used na Box Kama unatafuta simu nzuri kwa bei inayoendana na bajeti yako, karibu tuwasiliane. Nina simu za bei tofauti, hivyo unaweza kuniambia...
  8. uhuruborn

    TANZANIA BAADA YA SAMIA: JE, NI WAKATI WA KUJADILI SERIKALI YA MPITO NA UCHAGUZI KABLA YA 2030?

    Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
  9. L

    Chakula tiba cha Kichina chaleta ari mpya kwa mpishi kutoka Tanzania

    Akiwa na uzoefu wa mapishi wa miaka 15, mpishi kutoka Tanzania Zanzibar Salum Ali Khatib alifikiri kwamba ana uelewa wa kutosha kuhusu mapishi. Lakini kukutana kwake na falsafa ya chakula tiba cha jadi cha Kichina kulifungua fursa mpya kabisa kwake, kwamba chakula kinaweza kupikwa si kwa ajili...
  10. CM 1774858

    Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Wasalaam Jf, Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
  11. Zack Abdul

    Ufafanuzi juu ya fedha za Umoja wa Ulaya kwa Tanzania

    Mchambuzi wa masuala ya kimataifa na diplomasia, Thomas Kibwana, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu dhana ya fedha zinazotolewa na Umoja wa Ulaya (EU) kwa mataifa yanayoendelea, huku akikemea upotoshaji unaoeneza taarifa zisizo sahihi. Kibwana amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuelewa mifumo...
  12. MaweSaba

    Ni Tanzania pekee tunazoea shida

    • Watanzania sisi uchafu unaweza kuwepo hapo na ukauopita kila siku, na ni nyumbani kwako • Ni Tanzania mtu anapata ajali watu wanakuja kushangaa na hawatasaidia chochote • Ni watanzania tu, maji yanavuja hata mwezi hakuna atakae wapigia idara ya maji mpaka wakatiwe maji wao • Ni Tanzania tu...
  13. B

    Latest Opportunities in Tanzania

    Latest Opportunities in Tanzania | besttalentreach Are you looking for the latest job opportunities in Tanzania? Best Talent Reach (BTR) brings together job openings across multiple industries, helping job seekers discover relevant vacancies and simplify their job applications. Here are 10 job...
  14. B

    7 Best Websites for Finding Jobs in Tanzania: Where Should Job Seekers Look?

    Finding a job in Tanzania can be challenging, especially for fresh graduates, experienced professionals, and people looking for better career opportunities. Fortunately, several online platforms help job seekers discover vacancies, connect with employers, and simplify their job search. Here are...
  15. B

    Je, CV Yako Inakukwamisha Kupata Interview? Haya ni Mambo 5 ya Kuangalia

    Je, CV Yako Inakukwamisha Kupata Interview? Haya ni Mambo 5 ya Kuangalia by besttalentreach platform Watafuta kazi wengi hutuma maombi kwenye nafasi nyingi lakini hawapati mwaliko wa interview. Ingawa ushindani wa soko la ajira unaweza kuwa mkubwa, ni muhimu pia kuangalia kama CV yako inaonyesha...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini Tanzania tumeng'ang'ania uchumi wa frame za maduka? Mbona hata ufugaji unalipa?

    Mwanzoni sikuwa na exposure kabisa niliamini Frame ndio njia pekee ya kupata ukwasi, vijana wamefata mkumbo huo huo kijana ana mtaji wa million 5 anaenda kulipia Frame 1.5M per year anafatilia vibali laki 5 yote inaisha huko bado hajafanya decoration dukani mwisho anabaki na million 2.5 baada...
  17. K

    Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi?

    Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao. Ni...
  18. K

    Hatimaye CWT (Chama cha Walimu Tanzania) kimeanza kutoa mlio hadharani

    Historia ya kuanzishwa kwa vyama vya wafanyakazi ilikuwa ni kuja kuwa sauti ya wafanyakazi dhidi ya mwajiri Hata hivyo, baadhi ya viongozi wa vyama hivyo wamekiuka lengo na kuvigeuza kuwa vitegauchumi vya kujichotea hela na kuwatelekeza wanachama wao Moja ya chama hicho ni Chama cha walimu...
  19. R

    Huko Marekani kuna Mtanzania kamkaribisha A$AP Rocky na Rihanna kutembelea Tanzania na gharama zote kasema kubebwa na Serikali

    Sijui nisema tukio la kuchekesha 😂😂😂 Mtanzania na Mwanamtandao anayeishi Marekani anayefahamika kwa jina la Jack Banana alipokutana na rapa maarufu wa Marekani, A$AP Rocky, na kumualika yeye pamoja na mwenza wake, Rihanna, kutembelea Tanzania, akidai kuwa serikali ndiyo ingegaramia safari yao...
  20. Zack Abdul

    Tanzania yapongezwa kimataifa kuimarika kwa shilingi, hifadhi ya dhahabu na ukuaji wa uchumi

    Na. Mwl Udadis BM, University of Nairobi Tanzania imelinda mustakabali wake wa kiuchumi kwa kuongeza akiba ya dhahabu ili kuimarisha Shilingi ya Tanzania (TZS). Mpango wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wa kununua dhahabu ya ndani umejenga ngao thabiti ya kifedha, ikituliza thamani ya sarafu dhidi...
Back
Top Bottom