tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. A

    Mchengerwa: Hatutaki dawa feki Tanzania

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameitaka Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) kuhakikisha inasimamia kwa uadilifu ubora na usalama wa dawa Nchini, huku akisisitiza kuwa Serikali imeweka kipaumbele katika kuhakikisha Tanzania inakuwa na uwezo wa kuzalisha...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Tundu Lissu anastahili kutunukiwa Tuzo ya Sakharov

    Tundu Lissu wa Tanzania anastahili kutunukiwa Tuzo ya Sakharov. Akiwa anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa adhabu ya kifo, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu haki na uadilifu wa mwenendo wa kesi yake, kiongozi huyo wa upinzani nchini Tanzania anaendelea kuwa alama ya ujasiri katika mapambano ya...
  3. Mohamed Said

    HISTORIA: Jinsi Jina la "TANZANIA" lilivyobuniwa

    Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..." Jinsi Jina Lilivyotengenezwa: "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika...
  4. Kaka yake shetani

    Kuna uchafu mwingi sana Tanzania kama ni kweli .Ni ngumu kutoka kwao

    Unaweza kuona bandari yetu wakijisifia ila nyuma ya pazia. Huko ndiko kitovu cha silahaa zinazokwenda congo,sudani . Mwengine ni kenya na yeye yupo kwenye listi. Tuishie hapa.
  5. M

    Dokezo:Yanayoendelea Ufaransa kuenea dunia nzima. Hapa Tanzania itakuwa zaidi ya Oktoba 29 ya 2025.

    Inasemekana G z wameanza kazi upya. Wamechoshwa na rushwa na ugumu wa maisha huku familia za wanasiasa zikijilimbikizia mali na utajili. Inasemekana yaliyotokea Oktoba 29 itakuwa ni cha mtoto. Safari hii itakuwa mara mbili ya kinachotokea ufaransa. Mwenye kusikia na asikie.
  6. D

    Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  7. K

    SEHEMU YA PILI: "Candidat Na Biso Mobutu"—Anatomia ya Wimbo, Sauti za Tumbo na Angalizio kwa Tanzania

    Katika sehemu ya kwanza, tuliona jinsi mfumo wa "Uchawa" ulivyo na mizizi ya kihistoria inayovuka mipaka ya Tanzania na kurudi nyuma hadi katika utawala wa kiimla wa Zaire chini ya Marshal Mobutu Sese Seko kwenye uzi BIASHARA YA UCHAWA: Kutoka kwa Franco wa Zaire Hadi Kwenye Media na Mitandao ya...
  8. MrsPablo1

    Natafuta suppliers wa bidhaa mbalimbali Tanzania kwa ajili ya export

    Habari zenu wana JF, Natafuta wakulima, wazalishaji, na suppliers wa bidhaa zifuatazo kwa ajili ya fursa za biashara ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi: 1. Mbao (Timber) 2. Parachichi (Avocados) 3. Ufuta (Sesame Seeds) 4. Kahawa (Coffee) 5. Mafuta ya...
  9. Wakusoma 12

    Kuna kila dalili kuwa Tanzania waovu wameshashinda

    1 Watu wanapochochewa kuchukiana kwa misingi ya makundi, maeneo, itikadi au maslahi badala ya kuunganishwa na haki na uzalendo. 2. Umaskini na mateso kutumiwa kuwatawala watu. Huduma muhimu zinapokosekana, fursa zinapopatikana kwa upendeleo, au wananchi wanapolazimika kutoa rushwa ili kupata...
  10. O

    Tanzania yaimarisha ukaguzi wa Ebola mipakani, Wasafiri wanaotoka maeneo hatari kufuatiliwa kwa siku 21

    Serikali ya Tanzania imetangaza hatua mpya za kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ikiwataka wasafiri wote wanaoingia nchini humo kufanyiwa uchunguzi wa afya, huku wale wanaotoka maeneo yenye hatari kubwa ya maambukizi wakifuatiliwa kwa siku 21. Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Oktoba 17...
  11. Zack Abdul

    UMOJA WA ULAYA (EU) WAIDHINISHA TSH. BILIONI 461 KWA TANZANIA

    Umoja wa Ulaya (EU) umerudisha rasmi upatikanaji wa fedha za maendeleo za kiasi cha Euro milioni 156 (takribani Shilingi bilioni 461 za Tanzania) baada ya kuchelewesha kuidhinishwa kwa mpango huo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa ushirikiano wa Umoja wa...
  12. C

    Tanzania yashika nafasi ya 6 Duniani kwa watu ambao wanaoishi na umasikini

    Taasisi ya World Data Lab imetoa takwimu mpya zinazoonyesha nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi katika hali ya umaskini uliokithiri duniani kwa mwaka 2026. Kulingana na data hizo, Nigeria inongoza orodha hiyo kwa kuwa na watu milioni 73.1 wanaoishi katika umaskini uliokithiri...
  13. Frank Wanjiru

    Tanzania yashika nafasi ya sita kwa kuwa na masikini wengi zaidi Duniani

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha...
  14. A

    Tanzania yazidi kuchafuka duniani: Hati ya Mashtaka Marekani yatuhumu nyaraka za manunuzi ya silaha haramu zilitoka Tanzania kwa rushwa

    Hati lenyewe la mashtaka liko chini. Ma document ya serikali ya Tanzania yamo kwenye hati ya mashtaka. WAENDESHA MASHTAKA Marekani wanasema makaratasi ya kununulia silaha yalipatikana Tanzania kwa rushwa. Washitakiwa ni wanne, Mtanzania mmoja. Sio makaratasi magumashi yenye saini za kufoji...
  15. Etwege

    Ufaransa wamejifunza Tanzania bado kuzima internet tu.

    Watanzania wa October 29 waliifundisha dunia namna ya kufungua vichwa na masikio ya viongozi vilaza wasiotaka kusikiliza Kero za wananchi masikini. CCM wakiendeleza ukilaza wa kuwalea ccm mtandao basi mwaka 2030 itakuwa mara 20 ya kinachoendelea Ufaransa na Ulaya yote.
  16. M

    Kuna tatizo gani kiwanda cha Tanzania distillers Ltd kuacha kuzalisha Valeur brandy? Wateja wanahangaika sana

    Kinywaji hiki pendwa hapa nchini kimetoweka kwenye soko. Kinapendwa sana na wateja wangu. Kama zaidi ya miezi mitatu kimepotea kwenye soko.
  17. Traxtion

    Tanzania inashika nafasi ya 12 kwa uchumi barani Africa

    Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika. Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026. Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC...
  18. M

    Car4Sale Nunua gari uza gari Tanzania

    0717 650800 INGIZO JIPYA NISSAN DUALIS . CC1990 MWAKA 2011 FULL DOCUMENT OPEN ROOF FULL AC BEI: TZS. 15,800,000
  19. 650

    TANZANIA KWENYE VIDEO EDITING TUPO NYUMA SANAA

    Wakuu habari za mchanaa Katika pitapita zangu huko mitandaoni kuangalia kazi za media na editors mbalimbali Naona Tanzania Bado Tupo NYUMA sana yaani kazi za media na ma editor wakubwa ni za kawaida sanaa ukilinganisha na za maeditor wa Ulaya, sijajua wanafeli wapi shida ni tools au ni Nini...
  20. Ed edd n eddy

    TANZANIA HATUJUI KUCHOMA NYAMA SABABU NYAMA YETU NI MBAYA

    Utamaduni wetu wa nyama choma hapa Tanzania kwa ujumla ni wakishamba sana. Ukiagiza nyama choma matarajio ya watu wengi ni nyama iive mpaka ndani iwe imekauka kabisa. Ukiomba medium rare au rare, unaweza kuangaliwa kana kwamba umeagiza nyama mbichi kutoka machinjioni. Tatizo letu ni kwamba...
Back
Top Bottom