Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Baada ya serikali HARAMU ya samia na kikwete KUPUUZA maelekezo ya Commonwealth (Jumuiya Madola) ya kurejesha utawala wa kidemokrasia Tanzania, hatimaye RUNGU la Vikwazo limeanza kutembea sasa.
Jambo la kufurahisha ni kwamba wameanza na MACHAWA wao, Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ya...
Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua.
Lazima tuwe...
Tanzania inalenga kuongeza usafirishaji wa mizigo kwa reli hadi kufikia kontena 1,500 kwa siku, hatua inayolenga kupunguza msongamano katika Bandari ya Dar es Salaam, kuharakisha usafirishaji wa mizigo na kupunguza gharama za usafirishaji kwa wafanyabiashara.
Mpango huo pia utaimarisha...
SEO Tanzania | Google Maps Optimization & Website Development — lzgdigital
Unatafuta SEO services in Tanzania, Google Maps optimization, au msaada wa kuboresha Google Business Profile ya biashara yako?
lzgdigital inasaidia biashara kuboresha uwepo wao mtandaoni kupitia huduma zifuatazo:
Local...
1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso.
Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
Kipindi cha Mwinyi, Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa, hata akiwa nje ya madaraka. Mazingira ya sasa ni tofauti kabisa.
Kipindi hiki, Makamu wa Rais katiba ilimpa mamlaka ya kuwa Rais.
Wazanzibari wanafahamu kuwa kupata Rais wa Muungano kupitia Ccm kwa njia zilizozoeleka ni...
1. Wamakonde ukiona vichwa vya mviringo unajua tu huyu ni mmakonde
2.Mchaga macho makubwa, vichwa vikubwa na miguu myembamba unafamu huyu ni mangi .
3.Mhaya sura ngumu ya kutisha na imekomaa unafahamu huyu ni kyoma.
4.Muiraq/mmburu weupe mkali miguu myembamba na pua mchongoko hapo unajua maji...
Yaani nigekuwa raisi katika mazingira haya - nikiwa na stress kama ziivyoorodheshwa hapa chini,nadhani ningekubali yaishe nibwage manyanga.
Stress kwamba mimi ndio mhusika mkuu wa mauaji ya wananchi wasio na hatia ya 29 Oktoba kwa sababu mimi ndio nilitoa amri ya kuua
Stress ndani na nje ya...
TOP 5 WEBSITES ZA KUTAFUTA KAZI TANZANIA 🇹🇿
Toka nilipomaliza chuo, nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kujua wapi nitapata taarifa za kazi mpya na ni website gani nitumie kutuma maombi yangu.
Changamoto kubwa ninayoiona kwenye baadhi ya websites zetu za Tanzania ni matangazo mengi sana (too...
Wizara ya habari sanaa na utamaduni imetangaza tena kurejea kwa nyota na nguli wa mchezo duniani didier drogba tanzania
Katika poster ambayo imechapishwa katika wizara ya habari , sanaa na utamaduni wa wamechapisha kuwa ni maandilizi kuelekea afcon
Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa...
Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania.
Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake.
Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
Sidhani kama Rwanda inaweza kuhifadhi waharifu mfano wa akina sativa, maria Sarungi, Hilda newton ndani ya EAC. Pia sidhani kama Tanzania inaweza kuhifadhi waharifu kutoka nchi ndani ya EAC KWANINI KENYA?
ikumbukwe kuwa mwaka 1977 EAC ilikufa chanzo walikuwa ni wakenya. Tuache kufichiana...
Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
Tanzania na Saudi Arabia zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati.
Makubaliano hayo yanafungua nafasi zaidi za ushirikiano katika uwekezaji, maendeleo ya miradi ya nishati na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu, hatua inayolenga kuimarisha...
Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi.
Mikoa yenye watu walio...
Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.