tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Wadau Wa Maendeleo Waipongeza Tanzania Kwa Mafanikio Ya Maboresho Ya Usimamizi Wa Fedha Za Umma

    Wadau wa Maendeleo wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Sita (Public Finance Management Reform Programme - PFMRP VI), yaliyochangia kuongeza ufanisi, uwazi na...
  2. Korea yaipatia Tanzania Sh Bilioni 441 za kujenga Chuo mahiri cha TEHAMA Dodoma

    TANZANIA inatarajia kupata Chuo Mahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DTI) jijini Dodoma, ambacho ujenzi wake unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 441, kupitia mkopo nafuu kutoka Serikali ya Korea Kusini, kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa wataalamu wenye ujuzi wa hali ya...
  3. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  4. Yaani hadi zambia wanakuwa na Barabara nzuri ndefu namna hii sisi Tanzania kweli tumelaaniwa

    Bila Magufuli hata hapo mbezi kibaha ingebaki ndoto tu. sasa inajengwa kimara kuja ubungo aisee kila siku wanachimba hata.kinachochimbwa hakieleweki. Ila Tanzania nyoko.sana wanawaza kunyonga wapinzani tu pumbavu kabisa. kwa barabara kama hii hata kama serikali ikawabana wapinzani ina haki...
  5. Ujenzi kielelzo uchumi wa Samia

  6. Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  7. Bei ya mafuta Tanzania inapangwa na nani hasa?

    Machi 2026, bei kikomo ya petroli Dar es Salaam ilikuwa Sh 2,864 kwa lita. Aprili ikafikia Sh 3,820. Kwa mtu anayenunua lita 40 kwa bei hizo, gharama iliongezeka kwa Sh 38,240 kwa ujazo uleule wa mafuta. Mabadiliko kama haya yanahitaji kuangaliwa kuanzia mafuta yanaponunuliwa nje ya nchi hadi...
  8. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  9. Orodha ya Bidhaa za Nyumbani Zenye Mauzo Makubwa Zaidi (Fast-Moving Goods) Nchini Tanzania

    List ya bidhaa za nyumbani zenye mauzo makubwa sana hapa nchini kwetu. 1.Unga wa sembe na dona. 2. Michele 3. Nyanya(Tomatoes) 4. Vitunguu(Maji na swaumu) 5. Mafuta ya kupikia 6. Sukari 7. Maharage 8. Chumvi 9. Dagaa 10. Unga wa ngano 11. Mkate(Bread) na skonzi 12. Mayai 13. Maziwa 14. Viazi...
  10. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  11. Tanzania October 29: Hatua tatu ambazo zinaweza kuipeleka nchi kwenye civil war au kuporomoka kwa serikali kutoka ndani

    Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study. Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
  12. Naona Dudu baya kazidiwa kete kuna ushetani unaendelea Tanzania

    Guys Hali ni mbaya sana tulinde watoto wetu wa kiume na kike. kuna Kampeni imekuja hiyo Sherehe za Mashoga zimetamalaki. Au Makonda anatafuta releaf ya kwenda Marekani. naye Dkt Gwajima kazimwa kama moto ujinga huu
  13. Madereva Wa Tanzania mna matatizo Gani? Ulevi? Ujinga?

    Huwa ni ajabu sana kumaliza wiki hujasikia ajali Tanzania. Tofauti na chi nyingine ambazo vifo vya ajali ni vichache sana Madereva wa Tanzania mna matatizo gani ? Unakuta dereva anaendesha huku anaongea na Simu, au amelewa au ana ovoer take sehemu isiyo sahihi au hafuati sheria za barabarani Je...
  14. M

    Rahby ni Mchambuzi bora wa kisiasa kuwahi kutokea Tanzania kwa sasa

    Jamaa amechambua siasa za marekani na uchaguzi wa Isreal na Marekani mwaka kabla ya uchaguzi. Yale yale alioyachambua ndio yametokea. Jamaa yupo vizuri sana kichwani
  15. Ian Khama: Tanzania is where a person is prepared to kill and murder and slaughter her own citizens in order to stay in power

    TANZANIA – Former Botswana President Ian Khama has strongly condemned the violence surrounding Tanzania’s October 29, 2025 general election, accusing the country’s leadership of being willing to kill its own citizens to retain political power. Speaking about the events surrounding the election...
  16. N

    Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya Mkoa husika. Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  17. Huyu jamaa aliangaliaga zile videos zinazo trend za kibao kata na baikoko akadhania ni mambo ya kawaida na ya bure bure Tanzania 😁

    Amejionea mwenywe tunayopitia, kaomba poo😁
  18. Je Lema ni Joe Slovo wa Tanzania

    Wakati wa harakati za kudai Uhuru Africa kusini kulikuwa na Kiongozi mmoja mzungu aliyeitwa Joe Slovo. Huyu Bwana alikuwa kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Africa Kusini. Alikuwa ni Mzungu lakini ambaye alikuwa na Ukaribu sana na ANC na aliyekuwa Mpinzani.Yeye na Nelson Mandela walikuwa ni...
  19. E

    Lema ajue CHADEMA haimiliki siasa za upinzani Tanzania, wanaharakati wana haki ya kumkosoa

    Mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa Tanzania mwaka 1992 kwa shinikizo la Mwalimu Julius Nyerere, lakini Katiba haikufanyiwa mabadiliko ya kutosha kuhakikisha ushindani wa kisiasa wenye usawa. Ibara ya 3 ilitambua mfumo huo, lakini mamlaka makubwa ya Rais, usimamizi wa uchaguzi na mazingira ya...
  20. E

    Nini kinapelekea utofauti wa miaka ya kuhitimu shahada ya uuguzi na ukunga Tanzania ikiwa vyombo husika vinaelekeza miaka 4?

    Kwa Tanzania kada ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya Shahada(Degree) inasomwa miaka 4 ukiongeza mmoja wa intership,lakini kwa masikitiko ni kwamba kuna baadhi ya vyuo sitavitaja vinatoa iyo shahada kwa miaka 3 wengine miaka 2.5 Ni kwanini Baraza la Uuguzi na Ukunga(TNMC) limeshindwa kusimamia hii sera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…