The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele
Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
fedha
harakati
katika
kitu
kuliko
mbele
misingi
msimamo
pesa
sana
siasa
siasa za upinzani
thamani
uaminifu
upinzani
viongozi
wachache
wachaga
wengi
wote
Mh Mwenyekiti Lissu, Kama angekua anataka Maridhiano ,asingekubali kukaa Jela miaka miwili.
Asingeyakaa Yale Mabilioni.
Asingewaonya mnaomtembelea Lissu Usiku.
Asimgetafuta Ukweli, Haki, Uwajibikaji .
Harakati za Mwenyekiti Lissu, kama zingeyatizama maisha yake binafsi, Basi asingetafuta...
Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana.
Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma.
k
Anonymous
Thread
fedha
guard
jkt
psssf
sana
suma jkt
wafanyakazi
wakali
wake
Nina changamoto ya kucheleweshewa huduma ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu katika Mkoa wa Tanga, Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira.
Nimekuwa nikifuatilia ombi la kuunganishiwa maji tangu mwishoni mwa mwezi Julai, lakini hadi sasa sijapewa Control Number ili niweze kufanya malipo na...
Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye.
Juhudi za kutafuta...
Hii ni hotuba yangu kwa wananchi wa nchi ya wadanganyika mara baada ya kula kiapo;
Ndugu wadanganyika;ukiona kulipaswa kuwepo maridhiano kabla ya kuchaguana na kisha hayo maridhiano ya wadanganyika hayakufanyika na yakatokea ya kutokea na sasa kuna utaratibu wa kulazimisha maridhiano na baadhi...
1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu.
2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu.
3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
Ni tahadhali! Wala si kwamba hukumu itakuwa vile au hivi, NO.
Hizi figisu alizokuwa akifanyiwa Lisu na prison eg za kunyumwa usiri, kuwekwa na wafungwa wa kunyongwa na " ukatili" wote aliofanyiwa, Rugemeleza Nshala be vigilant. Wanaweza kumwekea vigingi akakuta muda say wa ku lodge notice of...
Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia.
Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa.
Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent...
Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote.
Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa.
Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
Anasema kumsamehe Mwanamke anaposaliti kwake ni ngumu sana hasa pale ambapo anapokuwa hatoki nje ya ndoa kabisa, hilo ndio kosa ambalo linaumiza zaidi kibidamu, na ni ngumu sana kumsamehe labda kwa uwezo wa Mungu.
Kwa 🇹🇿 Mfano
Wako wapi watu kama JK Nyerere, Rashid Kawawa, Getrude Mongella na viongozi wengine wa zamani?
Ukikaa ukasikiliza "viongozi" wa sasa unashikwa na hasira, hawana huruma, hekima, staha ya midomo.
Mfano hawa wa Tanzania wengine, wengi hawana maadili kabisa na competence. Uchawa na...
Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe.
Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati
Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.