The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test.
Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni.
Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
Kasi ya kuzaliana Tanzania bado iko juu.
Hii inaongeza mzigo kwa serikali katika kutoa huduma za jamii.
Necta walituambia kuwa kuna wanafunzi milioni nne waliotakiwa kufanya mtihani wa darasa la pili na la nne!
Tena wakatuambia kuwa zaidi ya wanafunzi milioni moja na laki moja wamemaliza elimu...
KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA
Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu fulani hivi unakita kwenye kinu kwa kishindo. Raha ya mwichi uwe mzito
Aisee mimi ni mtu nilikuwa na hofu sana ya kufeli mtihani. Kwahiyo kuna wakati nikiwa kwenye mitihani mikubwa kama ya taifa na pindi nipo chuo kwenye UE, ilikuwa kama nikikutana na swali gumu basi nakuwa na hofu na mpaka inapelekea kubana mapaja sehemu moja na kujikuta napiga bao na kupata raha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Kilicho sababishwa na kuchochewa na Lissu Ingekuwa ni Jambo la Aibu Fedheha na jambo la kukatisha Tamaa ikiwa Lissu Angekutwa Bila Hatia na kuachiwa Huru Kuingia Mitaani .
Haiwezekani Maneno yooote yale ya Uchochezi aliyokuwa anayatoa halafu eti Mwisho wa siku...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo.
Kwa mfano, mtumishi mwenye...
Anonymous
Thread
afya
bila
halimashauri
idara
idara ya afya
katibu
njombe
sana
uhamisho
wafanyakazi
watumishi
zao
Sijui washauri wa hicho kikundi ila mahesabu Yao yanamjenga Lisu zaidi na zaidi
Mfano Jana kitendo Cha KUbana internet kwenye social media wametangaza mission ya Lisu zaidi
Maana mamilion ya watanzania wanaotumia Facebook Whatsapp Instagram watajua Nini kinaendelea baada mtandao kuwa down...
Ukitenguliwa tulia, jitafakari ulikosea wapi, usisahau kuwashukru waliokuamini wakakuteua, jiulize wewe ni nani mpaka Mh. RAIS akakuteua kwenye nchi yenye watu mil.60+, mshukru Mungu, toa sadaka ya pekee kwa Mungu wako acha kutapatapa mitandaoni wewe tayr ni sehemu ya national figure...
Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama.
Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU.
Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine.
Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana.
1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
Kama ni muhimu naomba maoni yako hapo, nakama sio muhimu nipe comment yako, kwa sababu nahitaji kuanza rasmi kutoa elimu ya ulinzi na usalama hapa.
.
.Mafunzo yetu yatajikita katika ulinzi wa afya, ulinzi wa maisha, ulinzi wa mali au haki. Ili kila mtu awe nauwezo wa kujilinda yeye mwenyewe ...
Wife huwa ana kawaida ya kunivizia nimelala anachokonoa simu yangu.
Sasa jana kakutana na malaya wangu flani wa bar ana majibu mabovu sio poa,kampigia kumuonya eti aachane na mimi,mchepuko kamjibu kuwa mwanaume wa peke yako yuko kaburini tu,hawa wengine wanaopumua tutashare mpaka mwisho wa...
Lissu ndiye aliyesababisha watu wakapata madhara makubwa sana, kauli za lissu zilikuwa ni kauli za kishetani sana.
Viongozi wa chadema walikuwa wanatoa kauli za hovyo sana zilizo athiri ustawi wa Taifa letu, siku nyingne Tunaomba adhabu iwe kubwa zaidi.
Sikio haliwezi kuzidi kichwa.
Ni vigumu kukua kumzidi aliyekuongoza kwenye dini labda kama hapo baadaye umtoe na ubakize Mwenyezi Mungu.
Viongozi wengi wa kiroho wanaonekana nje wako siriasi lakini ndani kabisa mambo ya Mungu kwao ni nadharia na mambo ya Giza ni halisi zaidi.
Iko hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.