The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Nyumba za ibada ni muhimu na ni huduma kama zilivyo hospitali l,shule n.k.
inatakiwa kuwe na vigezo na masharti ya kuyafata kwa mtu anayetaka kuanzisha.sio hivi ilivyo sasa!
watu wanapaswa kuabudu kwa uhuru.ila jambo lolote likiachwa lifanywe bila utaratibu litageuka kero kwa watu.
Hivi sasa...
Ukienda nchi jirani, mafuta ya petrol na diesel ni nafuu kuliko Tanzania, tena baadhi ya nchi zinatumia bandari yetu. Sekta ya magari nayo ni mfano mwingine: Crown Athlete ya mwaka 2007 ukiagiza Japan unaweza kuinunua kwa milioni 6, lakini ikifika Tanzania kodi na ushuru vinaweza kufika milioni...
Watu wanaoitwa Robert mara nyingi ni watu wenye IQ kubwa sana akili kubwa sana .
Kuna watu wengi duniani wanaoitwa Robert ambao wameacha alama kubwa katika historia ya sayansi, teknolojia, biashara, uchumi, sanaa na uongozi.
1\. Robert Oppenheimer
Alikuwa mwanafizikia aliyeongoza kisayansi...
🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥
Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!
📍 LOCATION: Goba Center
📐 UKUBWA: 645 SQM
📜 UMILIKI: Hati miliki ipo
📏 VIPENGELE VYA ENEO:
Kiwanja kimepimwa.
Kipo mtaa mzuri na tulivu.
Mita...
🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥
Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!
📍 LOCATION: Goba Center
📐 UKUBWA: 645 SQM
📜 UMILIKI: Hati miliki ipo
📏 VIPENGELE VYA ENEO:
Kiwanja kimepimwa.
Kipo mtaa mzuri na tulivu.
Mita...
🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥
Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!
📍 LOCATION: Goba Center
📐 UKUBWA: 645 SQM
📜 UMILIKI: Hati miliki ipo
📏 VIPENGELE VYA ENEO:
Kiwanja kimepimwa.
Kipo mtaa mzuri na tulivu.
Mita...
Binafsi miongoni mwa vitu ambavyo vimeshatokea na vinanikwaza ni kuona samia ni rais wa nchi.
Kwa wanaompenda ni sawa kwa matakwa yao ila kwangu naona aibu sana kumtambua au kusimamama kidete kusema samia ndiye rais wa nchi yetu.
Siwezi kumsikiliza samia hata sekunde 10 bila kukwazika na...
Wapewe kongole sana wanaume kutoka mikoa ya bara..wengi wao wako serious na hawataki ujinga ujinga kwenye mambo serious
1. Sugu
2. Mwambukusi
3. Heche
4. Mpina
5..Lisu
6. Nyerere
6..Magufuli.
7.Lowasa
8. Mrema
9.Sokoine
10. Chacha Wangwe
Nimekumbuka miaka ya nyuma sana kipindi cha miaka 90 kushuka.
Watu walikuwa wanajiandaa mda mrefu kidini kutimiza lengo la hijja.
Ila kwa sasa mpaka wahuni nao,washenzi,matapeli,CCM wachafu,wasanii nao wanakwenda hijja kama wanakwenda Visit dubai.
Hijja ya zamani hukiona mtu kaenda huko...
Ukisoma jinsi Qibla ilibadilishwa kutoka Jerusalem (Baitul Maqdis) kwenda Makka (Al-Kaaba) kwa amri ya Mwenyezi Mungu (kupitia wahyi katika Qur'an, Surat Al-Baqarah 2:144) takriban miezi 16 hadi 17 baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) kuhamia Madina utashangaa sana jinsi wahyi zilivyokuwa zinamshukia...
Akizungumza wakati wa kuwaapisha viongozi wateule katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Novemba 25, 2026, Rais Samia amesema:
"Lakini jingine matumizi ya fedha. Fedha nyingi namsikia waziri mkuu akitembea huko anahoji, fedha zimekwenda wapi? Kwa nini mradi haujatimia? Kwa nini...
Maisha yetu na vyakula ni kama tuna weka tumbo liwe limehisi chakula tu.
Hivi kuna mgahawa unaweza kupika mfano wali kilo 500 kwa siku achana na vyengine.
Kuna nchi unajiuliza jinsi vyakula wanavyotumia yani mtu mmoja anaweza kula kuku mzima wa kilo moja au nyama kilo ila huku kwetu vifinyango...
Yaani mtu akikusalimia
"Habari...?
Wewe unajibu," salama.." ilihari umegombana na mkeo, una madeni, maisha magumu, una vitu kooni na hutaki kuvisema..
Mimi huwa najiuliza ni kwanini watch tume normalize majibu mfupi na yasiyo na msingi wowote, in the name of just kusalimiana?.
Kwanini tusi...
Kama ambavyo chama na serikali yake wamisisitiza kwamba hawata mbembeleza mtu kwenda kwenye meza ya maridhiano wataenda tu na walio tayari na inavyoonekana ni kwamba wamedhamiria na wamekusudia kufanya hivyo, na kwa kuwa kwa sehemu kubwa makundi yote waliyokutana wanakubaliana kwa asilimia...
Habari wanajamii,
Binafsi nianze kwa kusema sidhani kama ni vyema kuliweka hili suala wazi ingawa ni heri iwe tu,labda ninatengeneza historia.
Mimi ni kijana Gen Z ingawa bi miaka kabla ya 2000,Nilitoka nyumbani nikiwa na miaka 19 hivi,so hafi sasa ninajua mengi kidogo katika haya maisha
Yote...
Jukwaa la siasa hadi Jumatatu
Hii niende Austria kidogo anaendesha shemeji yenu Ila hali ya hewa siyo
Pole yake msigwa sasa hivi atakuwa anatolea utafanuzi mambo ya Mapunye na mambo ya kina uncle T😎😎
Britanicca
MOJA YA KOSA KUBWA KIJANA UNAJIFANYA NI KUOGOPA KUOA KISA MAMBO HAYAJAKAA SAWA. KOSA KUBWA SANA.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba
Niliwahi kukuambia kamwe usijicheleweshe. Wala usikubali mtu akucheleweshe. Nilikuambia.
Nikakuambia tena, yapo mambo ambayo utatakiwa uyafanye ukiwa na...
Wakuu ,
msiwasahau wazee wenu huko vijijini wengi wanaishi maisha ya taabu vibaya sana hawana fedha , sometimes wanakosa chakula , mavazi kukuu, wengi wanasumbuliwa na magonjwa ya uzeenj ,makazi duni aise wasaidieni hata kwa kidogo mnachopata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.