sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  2. Z

    Mbona ushahidi uko wazi sana, Lissu alitamka mchana hadharani matamshi ya kuchochea wafuasi wake wafanye uasi, kinacho subiriwa leo adhabu itakuwaje.

    Hakuna maajqbu mengine kwa mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia. Ushahidi uliopo sio wa kutafuta kwa tochi. Lissu alitamka wazi mchana hadharani kuwa " lazima tutafanya uasi/ tutavuruga huu uchaguzi". Tunacho kisubiria leo hii trh 6/11 ni adhabu itakayo tolewa na mahakama, kunyongwa...
  3. Hapa democrats walifanya uhuni sana.

    Wameenda na kumtafuta mgombea binafsi mwenye jina linafanana sana na mgombea wa Republican. Inaonekana mbinu yao inataka kuwalipa.
  4. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  5. Kizza Besigye wa Uganda kuendelea kuwa ndani kulikuwa kuna uhusiano na Lissu kuendelea kuwa ndani. Ila now ni kama Museveni kaamua yaishe

    Hesabu za kuendelea kumuweka Lisu ndani zinategemeana sana na za kule Uganda kwa Mseveni. Yaani Mtawala wa Tanzania Bench mark yake ya kumshikilia Lisu iko Uganda kwa Mseven kuendelea kumshikilia Kizza Besigye. Ila juzi kati ni kama Mseveni na yule Dogo wake wanataka yaishe kwa Kizza Besigye...
  6. Speculation bwana haya eti Nyama ya moto sana Kutema huwezi Maana ni utamu Kumeza huwezi ni ya moto

    Mmoja akauliza maswali ya kipuuzi nimtu namiheshimu very prominent What if wakasema tukimuacha huru bila ka hatia kokote ni shida atatushtaki, bora kifungo au faini Maana faini wana Chadema watailipa tu! Haimaanishi lazima kesi kwe hivo kuna mtu kauliza what if anafungwa kifungo cha nje miaka 5...
  7. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  8. Japo kwao kuna vita na majanga kila aina Wasomali wanabaki kuwa jamii inayojielewa wanataka miongoni mwa jamii za kiafrika

    Unapo Zungumzia Jamii ya Wasomali Unazungumizia Harakati, Huezi Shindana na Jamii hii Zaidi utaumia Bure kwasababu jamii hii sio Taifa na Dini Pekee jamii hii ni Harakati ya Kiuchumi, Siasa na Elimu. Jamii hii Ipo Ndani ya kila Serikali Yenye Ushawishi, Jamii hii ipo katika kila Nchi kiuchumi...
  9. Kwa kweli Marekani ni model wa Demokrasia duniani.

    Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats. Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
  10. Kwanini siku hizi idadi ya wanaume wanaoenda kanisani imepungua sana? Na idadi ya wanawake kwa waganga imeongezeka sana?

    Huu ni ukweli usio na pingamizi, wanawake wamekuwa washirikina sana hadi inasikitisha. Na wanaume wamekuwa wapagani sana hadi inaogopesha
  11. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  12. Waafrika tunajidharay sana ila duniani kote hakuna jamii yenye watu wakatili, wasiokuwa na utu na poor reasoning kama waarabu

    Kila sehemu hawa jamaa walipogusa lazima paache alama za ukatili. Ni aina ya watu wasiokumbatia facts bali mihemuko. Wanapenda kuona damu sana kuliko amani ndio maana wako radhi waue muyahudu na mkristo kama sifa hivi Hata baada ya miaka mingi kupita wamebaki kuwa namba moja katika jamii...
  13. H

    TIS acheni kuwatumikia Makaburu na kusaidia unyonyaji wa wazawa kwa mgongo wa nyuma Mnaumiza sana Watania!

    Magufuli katufikisha hapa. Mawakala wa ukoloni Mambo leo walimuongoza kuua kabisa Mihimili miwili ya serikali yani Bunge na Mahakama. Na yakimuminisha yeye ndio Muhimili mkuu. Baada ya kuviua kabisa na kukosa sauti na Yeye akaondoka. Sisemi walimuua sijaongea na wakakili wangu lakini ni...
  14. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Udugu udugu jamani Africa unaturudusha nyuma sana kinaendeleo (wazo langu jamani) Jamani ndugu zangu ninaomba mawazo yenu pia kwa hili swali langu: Hivi inakuaje mtu mara nyingi anapokuwa na maisha mazuri, waliomzunguka au ndugu zake wanamthamini sana na wapo tayari kuwa naye muda wowote lakini...
  15. Tukio kubwa sana la burudani linaandaliwa kuzima upepo wa Lissu

    CCM kwa sasa wapo bize kuandaa tukio kubwa sana kuwai kutokea Tanzania litalotumika kuzima upepo wa Lissu kufuatia hukumu ya tarehe 6 November 2026. Ni tukio litakaloiteka Africa nzima hakutakuwa na habari za Tundu Lissu mtaani wala mtandaoni. Tukio litafanyika uko pembezoni kwa walugaluga...
  16. Tafadhalini sana watu mnaojiona mna dini

    Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺 Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu...
  17. Huyu mlimbwende amenidharau sana wakuu, naombeni ushauri

    Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa.... Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii.... Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu. Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
  18. Mnashangaa kuhusu Lema, mbona mtashangaa sana?

    Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki MMM MAYAI TAITA Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili. Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao. Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza...
  19. Z

    Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

    Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema. Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana. Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara...
  20. M

    Wimbo wa karibu Lema CCM

    [INTRO – MC] Aaaah! Oyaa! Oyaa! Habari imefika mjini! Kutoka Arusha mpaka Dar! Nani huyo? Lema! Ameenda wapi? CCM! Heeeee! Twende kazi! [BETI YA KWANZA] Lema eeh! Lema eeh! Umefika wapi? CCM! Lema eeh! Lema eeh! Habari imeenea mjini! [KIITIKIO – CHORUS] Lema kaingia, kaingia, kaingia! CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…