sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Wachina wametufanya majaribio sana kwenye products zao ila zikifanikiwa wanapeleka ulaya.

    Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test. Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni. Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
  2. Dar es Salaam na Pwani Kuna Joto Kali Sana. Tujitahidi kunywa Maji

    Ili joto ni Kali sana. Maji bafuni ya moto ova una heater. Imagine dehydration mwilini, aisee tunywe maji angalau 2L.
  3. Wtz mnazaa sana sasa tunalazimika kujenga Urafiki University

    Kasi ya kuzaliana Tanzania bado iko juu. Hii inaongeza mzigo kwa serikali katika kutoa huduma za jamii. Necta walituambia kuwa kuna wanafunzi milioni nne waliotakiwa kufanya mtihani wa darasa la pili na la nne! Tena wakatuambia kuwa zaidi ya wanafunzi milioni moja na laki moja wamemaliza elimu...
  4. KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu

    KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu fulani hivi unakita kwenye kinu kwa kishindo. Raha ya mwichi uwe mzito
  5. Nikiwa A-Level na chuo, nilikuwa napiga bao tamu sana kwenye mtihani mgumu!

    Aisee mimi ni mtu nilikuwa na hofu sana ya kufeli mtihani. Kwahiyo kuna wakati nikiwa kwenye mitihani mikubwa kama ya taifa na pindi nipo chuo kwenye UE, ilikuwa kama nikikutana na swali gumu basi nakuwa na hofu na mpaka inapelekea kubana mapaja sehemu moja na kujikuta napiga bao na kupata raha...
  6. L

    Ingekuwa ni jambo la kusikitisha, kufedhehesha na kukatisha tamaa sana kama Lissu angeachiwa huru

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Kilicho sababishwa na kuchochewa na Lissu Ingekuwa ni Jambo la Aibu Fedheha na jambo la kukatisha Tamaa ikiwa Lissu Angekutwa Bila Hatia na kuachiwa Huru Kuingia Mitaani . Haiwezekani Maneno yooote yale ya Uchochezi aliyokuwa anayatoa halafu eti Mwisho wa siku...
  7. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
  8. 1

    Wazir wa mikopo udsm ni changamoto sana

  9. G

    Lissu aliye gerezani atawatesa sana kuliko Lissu aliyeko huru uraiani sauti yake inaenda mbali sana kuliko angehutubia jangwani akiwa huru

    Sijui washauri wa hicho kikundi ila mahesabu Yao yanamjenga Lisu zaidi na zaidi Mfano Jana kitendo Cha KUbana internet kwenye social media wametangaza mission ya Lisu zaidi Maana mamilion ya watanzania wanaotumia Facebook Whatsapp Instagram watajua Nini kinaendelea baada mtandao kuwa down...
  10. Mtu umetenguliwa hata mwezi haujapita ushaanza kukesha kwenye page za CHADEMA ndugu yangu cool down

    Ukitenguliwa tulia, jitafakari ulikosea wapi, usisahau kuwashukru waliokuamini wakakuteua, jiulize wewe ni nani mpaka Mh. RAIS akakuteua kwenye nchi yenye watu mil.60+, mshukru Mungu, toa sadaka ya pekee kwa Mungu wako acha kutapatapa mitandaoni wewe tayr ni sehemu ya national figure...
  11. BAK Mwabukusi, Mchungaji Msigwa, Masikio ya HECHE yanawahitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Wauaji wa Oktoba 29 Wanapambana kulikua Chama!!.

    Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama. Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU. Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
  12. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  13. Jaji Ndunguru anachekesha sana

    Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana. 1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
  14. Je, hivi mafunzo ya ulinzi na usalama ni muhimu sana kwa jamii?

    Kama ni muhimu naomba maoni yako hapo, nakama sio muhimu nipe comment yako, kwa sababu nahitaji kuanza rasmi kutoa elimu ya ulinzi na usalama hapa. . .Mafunzo yetu yatajikita katika ulinzi wa afya, ulinzi wa maisha, ulinzi wa mali au haki. Ili kila mtu awe nauwezo wa kujilinda yeye mwenyewe ...
  15. Ama kweli Lisu ni wa kipekee sana kama ambavyo Yesu alihukumiwa kimakosa naye pia Ahukumiwa siku moja na Paul Mackenzie mhalifu wa kweli

    Hii kiroho imekaaje wakuu? Namba hazidanganyi wakuu.
  16. Leo Nina hasira sana

    Nimenunua bia nyingi sana nimejifungia chumbani nataka nilewe mpaka nishindwe kusimama
  17. Mchepuko wangu umemkomoa wife,nimefurahi sana

    Wife huwa ana kawaida ya kunivizia nimelala anachokonoa simu yangu. Sasa jana kakutana na malaya wangu flani wa bar ana majibu mabovu sio poa,kampigia kumuonya eti aachane na mimi,mchepuko kamjibu kuwa mwanaume wa peke yako yuko kaburini tu,hawa wengine wanaopumua tutashare mpaka mwisho wa...
  18. Tunaipongeza judiciary kiukweli kauli za Lissu zilisababisha majeraha makubwa sana kwa Watanzania

    Lissu ndiye aliyesababisha watu wakapata madhara makubwa sana, kauli za lissu zilikuwa ni kauli za kishetani sana. Viongozi wa chadema walikuwa wanatoa kauli za hovyo sana zilizo athiri ustawi wa Taifa letu, siku nyingne Tunaomba adhabu iwe kubwa zaidi.
  19. Lissu alijitetea lini kwenye kesi ya uchochezi? Tupo kwenye taifa la hovyo sana

    Unajiita mahakama na unaruhusu huu uhuni? Kwanini lakini? Unaweza vipi kumfunga mtu bila kujitetea?
  20. Utafiti wangu usio rasmi watu wa KIDINI Afrika wanaogopa sana Wachawi/Majini/Mapepo/Freemasons kwa sababu viongozi wao nao wanaogopa vitu hivyo

    Sikio haliwezi kuzidi kichwa. Ni vigumu kukua kumzidi aliyekuongoza kwenye dini labda kama hapo baadaye umtoe na ubakize Mwenyezi Mungu. Viongozi wengi wa kiroho wanaonekana nje wako siriasi lakini ndani kabisa mambo ya Mungu kwao ni nadharia na mambo ya Giza ni halisi zaidi. Iko hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…