sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana

    Mazoezi yana faida nyingi sana kimwili na kiakili Piga push-up, kimbia mchakamchaka, Cheza mpira , basketball , volleyball, Ruka kamba, Endesha baiskel, Tembea kwa umbali mrefu, kufanya hivyo utaimarisha kinga ya mwili, UtaKuwa na pumzi ya kutosha, Utaepuka magonjwa nyemelezi, UtaKuwa na...
  2. A

    KERO Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati. Wanatuharibia vyakula, biashara zinaathirika

    Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati, kuna muda unaweza kukatika asubuhi mpaka kesho yake mchana, changamoto hiyo ipo kwa wiki tatu sasa. Changamoto hii ni kero na inajirudia, kuna vitu vyetu vingi tu vinakwama, biashara zinaharibika, vitu nyumbani vinaharibika pia na kupata Hasara.
  3. Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Niwachane tu ukweli wadau.. Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu. Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving.. Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai... I need to reshape my love life...
  4. W

    Majibu ya ChatGPT(AI) kuhusu matumizi ya Pombe yanapoteza sana

    Chatgpt niwakunishauri nisitumie pombe akili zake haziko sawa sawa
  5. Nilihuzunika sana na mchungaji wangu

    Jumapili iliyopita nikasema niende zangu kanisani. Ibada ilikua nzuri ilibamba. Changamoto ikaja muda wa neno mchungaji kapanda madhabahuni fresh tu, neno lilienda ikafika muda hata kipofu angeona suruali kwa mbele ikawa imetuna. Binafsi niliona aibu kama vile pale mbele nimesimama mimi...
  6. Wakili Peter Madeleka katema sana shule humu kwenye hii podcast, watu wengi tunahitaji Elimu ya sheria

    Jamaa kaongea sana humu, watu wengi tunakosa maarifa https://youtu.be/u2aZFKR9NKQ?si=ZvTGb_CQ7YGspu3R
  7. Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  8. Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  9. M

    Hata kama ni kweli Rais ataongeza awamu za ziada, MTAFANYA NINI ?

    Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni. If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂 Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
  10. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    𝗙𝗥𝗢𝗠 𝗣𝗔𝗬𝗠𝗘𝗡𝗧𝗦 𝗧𝗢 𝗠𝗔𝗥𝗞𝗘𝗧𝗦: 𝗝𝗘, 𝗨𝗞𝗨𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗝𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗭𝗔𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗧𝗛𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔? 𝘔𝘸𝘢𝘬𝘢 2025 𝘮𝘢𝘭𝘪𝘱𝘰 𝘺𝘢 𝘮𝘵𝘶 𝘬𝘸𝘢 𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 (𝘗2𝘉) 𝘯𝘤𝘩𝘪𝘯𝘪 𝘺𝘢𝘭𝘪𝘧𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘛𝘡𝘚 𝘵𝘳𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 37.52 𝘬𝘶𝘱𝘪𝘵𝘪𝘢 𝘮𝘪𝘢𝘮𝘢𝘭𝘢 𝘣𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 2.30, 𝘴𝘢𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘵𝘢𝘬𝘳𝘪𝘣𝘢𝘯 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 16 𝘺𝘢 𝘗𝘢𝘵𝘰 𝘭𝘢 𝘛𝘢𝘪𝘧𝘢. 𝘞𝘢𝘧𝘢𝘯𝘺𝘢𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢...
  11. Hivi ni kwanini baadhi ya Waafrika wana akili ndogo sana?

    Je, ni swala la Genetics au nini? Au wanazaliwa na ujinga kichwani?
  12. Malalamiko makubwa Dar es Salaam ni msongamano wa vyombo vya moto barabarani, ipo mbinu ya siri sana ya kumaliza changamoto hiyo

    Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
  13. Inaboa sana, lakini itafanya biashara yako iwe na maisha marefu!

    Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi hawakipendi kufanya, lakini kina mchango mkubwa katika ukuaji na uendelevu wa biashara zao. Nacho ni kutengeneza maudhui (Content Creation) mara kwa mara kwa ajili ya kuitangaza biashara. Najua inachosha kila siku kufikiria cha kupost, kupiga picha...
  14. Moja ya ushauri Bora sana kutoka kwa dada na mama yetu kipenzi hakika yuko real sana

    Zingatia paragraph ya mwisho Cc leo dada
  15. F

    Pesa za Abdul alizokataa Lissu zingetosha kujenga ghorofa nyumbani kwao, lakini alizikataa, abarikiwe sana.

    Jiulize nyumbani kwenu huna nyumba ya gharama, mara fuko la pesa za rushwa hizi hapa, ni wachache sana wanaweza kukataa. Zile pesa Abdul alizojaribu kumuhonga mwamba, zingebadili maisha ya ukoo wa lissu haraka mno, ila akazikataa . Katika dunia ya Leo ya ubepari, wengi wangeona hiyo ni fursa...
  16. kwanini watu wengi hawaipendi JF

    Je ni uvivu wa kusoma au ni spana maana miaka ya nyuma nili wafundisha baadhi ya watu kwa wakati tofauti tofauti jinsi ya kutumia Jf na kuwafungulia ID ila baada ya muda wakakimbia sikujua sababu hasa ni nini
  17. Sex ni kitu ambacho kiko overrated sana. Hata sex yenyewe inajaribu kukuonesha kuwa sio ya thamani pale unapo piga goli immediately unaanza kujilaumu

    Miaka 30 jela. Uraibu wa pornographia pedophilia Cheating. Kufirisika. Kuharibu mahusiano. Kufumaniwa. Kuzazaa ovyo na kuongeza watoto wa mitaani Aaaaargh!
  18. Tuseme ukweli, maisha ya mtanzania wa hali ya kawaida yamekua magumu sana kiuchumi kwa mwaka huu 2026

    Bila kupepesa macho tuseme ukweli. Hali imekua mbaya sana kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida ukiachana na baadhi wachache waliopo kwenye mifereji ya pesa kwa mwaka huu 2026 Kwa ground hali sio poa kabisa. Ndugu na jamaa wa karibu hadi kuna mda nawahurumia juu ya vilio kuwa vingi, haina jinsi...
  19. Hivi viwanja mbona bei rahisi sana

    Kkwanja cha sqm 500 kinauzwa 1.5m unatanguliza 300k kisha unamalizia ndani ya miezi 6, au ni mbwinde sana huku?
  20. F

    Ukame na kuadimika Kwa maji nchini kumeongezeka sana alipoingia Waziri Aweso, tatizo ni Nini?

    Hellow! Ndugu aweso, unapeleka wapi maji? Kuna Maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na shida ya maji, lakini Leo tatizo ni Kila mahali. Tueleze tujue njia unayotumia kukausha vyanzo vya maji ili wananchi tuhangaike, Maji yangekuwa ni twiga wa Serengeti, tungesema yanasafirishwa nje ya nchi, Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…