sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Kwa nini hukumu ya sheria ya ubakaji ni kali sana ?

    Kwa nini mtu afungwe miaka 30 kwa sababu amebaka? Kwa nini tusifuate sheria za mungu mjuzi wa yote kuhusu ubakaji ? Biblia katika Kumbukumbu la Torati 22:28-29 iliweka Sheria ya ubakaji ambayo inapuuzwa. "Mtu mume akimwona binti aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye...
  2. D

    Hapa nimetumia sana, sio Siri. Hii ni dharau kubwa sana!

    https://youtu.be/HQPDq3JtHgQ?si=G2AVQ4M4DAw7WzdH
  3. Insidious

    HOJA Malipo ya Kidijitali Yanatia Sana Shaka: Kuna Faida Gani ya Mfumo Usiofanya Kazi Kila Mara?

    Kuanzia Januari, Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfumo wa malipo ya kidijitali kwa shughuli zote. Hata hivyo, kuna swali najiuliza: Je, tunawezaje kuhamia kwenye mfumo wa malipo ya kidijitali kwa asilimia 100 wakati watoa huduma za kifedha na mitandao ya malipo wamekuwa na hitilafu za...
  4. Kaka yake shetani

    Hii nchi inachekesha sana kwa sanaa za serikali ya CCM

    Kuna mda mwengine unajiuliza hivi hawa ndio viongozi au vichaa tuliopo nao wameshika daraka. Katika hii tume mpya watajitokeza maishi wa kulazimishwa kwa mateso na wengine wakulipwa kusema yale yaliyotokea tanzania nzima hakuna hata polisi wala serikali walikuwepo kwenye kuhusika. Watadai...
  5. Yoda

    Maneno ya Kiislamu yaliyozoeleka sana katika Kiswahili

    Haya maneno ya kiislamu yamekuwa sehemu ya lugha ya kiswahili kabisa. 1. Riziki/Rizq 2.Husda/Hasada/Hasid 3. Kudra/Qudra/Kadara
  6. Yoda

    Kwanini story ya Yesu kufufuka ilisambaa kwa nguvu sana?

    Ilikuaje story ya Yesu kufufuka ilisambaa ikashika kwa kasi na nguvu sana kuanzia Israel, katika himaya ya Rumi mpaka kote duniani bila ushahidi wowote ?
  7. The Burning Spear

    Wakatoliki ni wagumu sana duniani kote usiwachukulie kiwepesi wepesi wanajua mambo mengi sana.

    Nashangaa mtu anasema wakatoliki sijui wamekuwaje lakini in short hawa watu wamenyooka kama rula hawataki bla bla. Viongozi wakikatoliki.hata kama utawapa nchi waiongoze mtapiga hatua hadi mkashagaa, ndio maana wanajiamini kupita kiasi Labda blabla uzilete wewe na ukizileta kwao wanakupiga...
  8. Dennis Robert Shughuru

    Eneo nyuma ya soko la Karume ni duni sana na sh billion 300+ inatosha kuwahamisha watu ili kuliboresha

    Ukienda eneo la nyumba ya soko la karume la mchikichini utaona lilivyokaribu na mchini na jinsi kulivyokuwa duni Hakuna barabara hata moja za mitaani ambazo zinalami nyumba nyingi sana ni duni Nyumba zilizoko kata ya mchikichini ni 2136 kutokana na idadi ya sensa ya mwaka 2022 hii idadi ni...
  9. D

    Kwani Samia alichelewa wapi kuwa Rais? Magufuli alipata urais bahati mbaya sana

    Kipindi cha jpm kazi za kujitolra watu walikuwa wanaaply kwa sasa hakuna kitu kama hicho. Ajira sasa hivi kila kona ushindwe mwenyewe. Jpm aliharibu nchi kiasi graduates wanaambiw awawe machinga lakini sasa hivi hakuna graduate machinga wala bodaboda nchii imekuwa tamu
  10. Chizi Maarifa

    Hali ni Mbaya sana Pemba. Jamii imeharibika wamezagaa tu Mtaani hawa watu

    Pemba, kwa miaka na miaka imekuwa ikiongoza kwa haya mambo ya kizandiki.kishetani. huko ndo nyumbani kwake. https://www.instagram.com/reel/DgCTtUxtJ91/?bqrl=djJmejd5dGpmaTF5
  11. Red black

    Kuna familia zina siri kubwa sana

    kuna familia zinaua watoto wao wa uzao wa kwanza kama kafara wakiwa wachanga kabisa , kuna familia baba anawagonga wanae wa kike mpaka kuwazalisha, kuna famila mama anafanya mapenzi na watoto wake wa kiume, Kuna familia watoto wanaoana wao kwa wao na kuzalishana kabisa, kuna familia zina...
  12. U

    Shehe Muharram Mziwanda akabiliwa na tuhuma nzito sana

    Sheikh Muharram Mziwanda anakabiliwa na tuhuma nzito za kuhusishwa na vitendo vya kulawiti vijana wanaosoma Madrasa, huku madai hayo yakitajwa kuwahusu vijana kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, yakiwemo Tandika na Magomeni. Tuhuma hizo zimeibua mjadala katika jamii, hususan kuhusu...
  13. Crocodiletooth

    Nimeiangalia hii picha ikanifikirisha sana!...

    Southern Sudan president advisor on national security affairs Mr Tut Gatluak with the Russian ambassador Aleksandr Kosmodemyansky....At least Africa we are smart!...
  14. R

    Mbona wanayanga wanampigia chapuo Mangungu sana nini?

    Kuna kitu najiuliza sipati majibu,mbona wanayanga wengi wanatamani Mangungu aendelee kubaki madarakani,sababu nini wanasimba wakisema mangungu hatumtaki,wanayanga wanasema kwani ana shida Gani Au pengine kwasababu wamewafunga simba mufululizo kwenye uongozi wake.
  15. Yom HaDin

    Kwa nini majini ya waislam yanajibu haraka sana kuliko malaika wa wakristo?

    Najiuliza tu majini yako chap sana. Ukitupiwa jini huchukui round unaanza kutema udenda au kuchizi. Tena kama huombi unaweza kukata moto. Namkumbuka Dada mmoja alikuwa muislam akabatizwa, walikuwa wanamtafuta kwa udi na uvuma kijini Warudishe elimu yao aliyoondoka nayo. Njiwa anaruka kumlia...
  16. F

    Wanaume wa aina hii wamepungua sana katika ulimwengu wa sasa

    Katika miaka yetu tunakua, ilikuwa kawaida kabisa mkulima akaoa mwalimu wa shule ya msingi Bado akatii na kumuheshimu mumewe asiye na elimu. Mwisho wa mwezi ukifika, mke huchukua mshahara wote anamkabidhi mume ndipo anapangiwa namna ya kutumia pesa hizo na uti na utulivu ulidumu ndani ya ndoa...
  17. A

    KERO Watumishi wa Masasa DC wanadai fedha za likizo, fedha za uhamisho na madai mengine ya msingi

    Imekuwa jambo la kawaida kusikia malalamiko kutoka kwa watumishi wa halmashauri hiyo kuhusu kuhamishwa vituo vya kazi mara mbili au hata tatu bila kulipwa stahiki zao za kisheria zinazotokana na uhamisho huo. Hali hii inazua maswali kuhusu usimamizi na uwajibikaji wa viongozi wa halmashauri...
  18. A

    Bodaboda nilimwambia aniletee demu wangu geto lakini karuka naye yeye

    Hawa boda boda nimemuita demu wangu aje geto demu mshamba mshamba kunabodaboda sijui alikuwa naupwiru kampeleka geto kwake sasa hivi napiga simu hazipokelewi mara akipokea ananiambia anakuja amepitia kwa rafiki yake Dah Mara ya pili hii naona tabia yao hii wakijua huyudemu anaenda kwa msela...
  19. britanicca

    NIDA upigaji naye ana mkono mashine 5 Bilion 30 !!JIKA kuwa makin sana

    Nakushauri sana, tafadhali jiangalie kabla haujaingia kwenye huu mtego. Acha kabisa. Mmekaa na ****** kwenye Ofisn mnajadili asilimia zenu kabla hata Huduma hamjakamilisha what a f*ck? Hii siyo njia sahihi. Pesa zinazohusiana na miradi mikubwa ya serikali zina uangalizi mkubwa, hata kama si...
  20. Alexido jz instagram

    Ni starehe gani ulishawahi kuiona ilikushangaza sana, haya maconnection ni bomu la muda mrefu lilisubiri kulipuka tu

    Miaka hiyo ntena si zamani sana nadhani ni 2021 au 2022 kama sikosei, nilikuja dar nilikia na hela fulani hivi nikasema nikale bata. Sasa usiku nilienda pale buguruni, kuna club unaingia bure acha huku kwenye makolokolo ya kamali za wachina, hapa pembeni nika choma ndani mzee mziki huo waatu...
Back
Top Bottom