nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. NCHIMBI sasa usubiri comeback

    Baada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari
  2. CHADEMA tusiingie kwenye mtego wa Nchimbi na CCM yake

    Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali yafuatayo. 1. Kwanza, Kama Nchimbi anahimiza watanzania waipiganie katiba mpya, kwanini wanachama...
  3. Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

    Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?. Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya...
  4. Anayendelea kuchafuka ni samia, alie rahisi kushawishika ni mwananchi, anaejua anachokifanya ni Nchimbi

    Mitazamo mitatu 1. kama Nchimbi anamaanisha anachosema, maana yake haungi mkono mwenendo wa serikali ambayo na yeye yupo, na huenda ndio Yuda alietajwa kwa mtazamo wa wanaCCM washabiki wa kizimkazi: i. hapa Samia anaendelea chafuka na raia wanazidi kumchukia, ii. Nchimbi anasimamia prosperity...
  5. Kwa maoni yangu, Samia na Nchimbi wanatuchezea akili

    Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa. Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais. Nawatambua kama walioshindwa...
  6. K

    Hongera Rais Samia kwa kutupa makamu anayekuwakilisha vema, kwa sasa hatukudai

    Hongera Dr.Nchimbi kwa kumuwakilisha vema Rais wetu kipenzi cha watu Dr.Samia Suluhu Hassan hakika haikuwa bahati mbaya kuwa mteule wake. Kiukweli leo umegusa mioyo ya watanzania wengi. Umeiambia dunia kuwa Tanzania ni nchi inayothamini haki ya kila mtanzania ili kudumisha amani na mshikamano...
  7. Nchimbi wanaharakati tunakushukuru siyo yule alituita sisi ni magaidi, Asante kwa kumtaja Maria Sarungi

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchimbi anadai kuwa anawaheshimu Wana harakati kwa uwezo wao wa kujenga hoja Amkumbuka dada yangu maria sarungi Asante Sana sisi ni wapigania Khaki sisi siyo magaidi LONDON BOY
  8. PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

    Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI. Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
  9. Dkt. Nchimbi: Taifa haliwezi kuwaza kila kitu pamoja binadamu sio maroboti, kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na kwamba kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa, amesema hayo leo Julai 24, 2026.
  10. DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  11. Baada ya misheni ya bifu Kati ya Samia na NCHIMBI kubuma Sasa TISS wamekuja na misheni ya Muungano

    Je watafanikiwa ? Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar. Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano? Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya...
  12. Q

    Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

    Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani. Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo. Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead...
  13. Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔 Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye.. ======================= Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
  14. R

    Hivi, Team Samiah (Russia, China na Umoja wa Falme za Kiarabu na washirika wake)vs Dkt. Nchimbi (USA, European union, Israel, Vatican) nani atashinda?

    Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!? Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!? Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
  15. R

    Nabii Lema: YUDA ni nani? Lema atengua kitendawili

    Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi Msikilize ============ Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada ya uchaguzi kumalizika badala ya kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wananchi...
  16. E

    Ndani ya CCM hadi sasa, Dkt Nchimbi viatu vya Urais 2030 vinamtosha

    Yepi maoni yako?
  17. Tetesi: Ulinzi wa Nchimbi waimarishwa maradufu

    Hi Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa na wasiojua lolote Tujiandae wakuu wa nchi wakimiliki vyama tofauti na kimoja tawala, na kumuweka...
  18. Kete ya Dkt. Nchimbi itawateka wajinga

    Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea. Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi. Sasa...
  19. Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

    Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence. Mmbunge...
  20. Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

    Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…