nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  2. Idugunde

    Hii habari ya Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu imekaaje? Dalili zinaonyesha kuna mpasuko mkubwa sana.

    Kama hii kitu ina ukweli basi taifa letu lina mpasuko mkubwa sana👇
  3. O

    MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  4. Idugunde

    Wakati wanaCCM wanahangaika kumparura Dk Nchimbi CHADEMA wao wanapambana kupata sapoti toka kwa wananchi.

    Mikakati ya CHADEMA ni kuhakikisha wananchi wanakiunga mkono kama wanavyofanya kwenye tonetone. CCM wao wanakata viuno vya kisiasa kwa kumparula Nchimbi kuwa anataka uraisi 2030. Hii inaonyesha namna gani CCM haipo kwa ajili ya wananchi bali kwa matumbo yao.
  5. B

    Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa - Kauli Ya Nchimbi Kuhusu Tupiganie Katiba Mpya Ni Kauli ya Mungu

    04 August 2026 Kyela, Mbeya Tanzania KATIBAKITAA - Mbunge Mstaafu wa G-55 Anafunguka Juu ya Katiba Mpya na Maridhiano Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kyela Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa akifanya mahojiano maalum kwenye kipindi cha Katiba Kitaa https://m.youtube.com/watch?v=gMXhLrtH45Q Emmanuel...
  6. Pascal Mayalla

    Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidia...
  7. Idugunde

    Alichofafanua Dk Nchimbi ni kuwa katiba ya sasa haifai sababu haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na wanaCCM ishirini ni mali ya CCM.

    Hii ndio tafsiri sahihi ya ujumbe wa Dk Nchimbi. Kwamba watanzania wapambane ili kupata katiba ambayo ni mali ya wananchi. Mwaka 1977 baada ya Asp na Tanu kuungana Mwl Nyerere kwa udikteta wake aliunda kamati ya watu 20 ikiongozwa na Thabiti Kombo. Wakatunga hii katiba ya sasa ya mwaka 1977...
  8. Sifi Leo

    Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Mpaka sasa, Emanuel Nchimbi na Kasimu Majaliwa ndio wenye ushawishi humu JF kupeperusha Ticket ya urais 2030

    Hamjambo! Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita. Ingawaje kura nyingi zimewakataa...
  10. R

    Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  11. upupu255

    POTOSHI Kitima amshukia vikali Nchimbi, anaigiza na kutudanganya. Je, kuna ukweli hapa?

    Kitima huwa hapindishi kanyooka kama rula. Kumbe Nchimbi anaigiza! Anatudanganya. Roma Locuta; Causa Finita est.!
  12. Pulchra Animo

    Dkt. Slaa naye atupia lake neno kuhusu kauli ya Dr. Nchimbi ya kuwataka Watanzania wapambane wapate Katiba Mpya

    https://www.youtube.com/watch?v=_BjgSiVTCP0
  13. M

    Sasa nimemwelewa Dr. Nchimbi

    Siku ile aliyotoa hotuba Dr. Nchimbi kwamba Watanzania wapiganie Katiba mpya, sikumwelewa vizuri, lakini kwa sasa nadhani nimemwelewa kwa kwa asilimia kubwa. Mambo makuu matatu aliyoyasema ambayo yamenifanya nimwelewe ni kama vile:- 1. Mmemwalika mtu anayefanana fanana na kazi yenu(kutetea haki...
  14. Mzee Mwanakijiji

    Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba...
  15. K

    Kwa sasa Nchimbi anasikilizwa kuliko Mama Rojo

    Nchimbi amekataa kubaki bench badala yake kaingia uwanjani na mchezaji ambaye sio mzuri Mama rojo sasa kamaki anatembea tu uwanjani lakini hawezi tena kucheza. Anategemea marefa tu ambao ni jeshi na polisi. Mama rojo hata mwaka mmoja bado yuko chali
  16. K

    Nafungua Masikio Kumsikiliza Emmanuel Nchimbi, na Wengine Wooote wa Aina Hiyo Waliopo Huko

    "Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa. Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama...
  17. The Palm Beach

    Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  18. Mwanamwana

    Mchungaji Msigwa: Watanzania tumshukuru Dkt. Nchimbi, 'ametusanua'

    Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
  19. Tlaatlaah

    Dkt. Emmanuel Nchimbi ndie pekee mwanasiasa mzoefu kitaifa na kimataifa anayeaminika na kukubalika pasina chembe ya shaka ndani na nje ya CCM

    Hali hiyo inampa Dr.Emmanuel John Nchimbi turufu ya kipekee sana kwamba ndie kiongozi pekee wa kisiasa nchini anae enjoy suport ya uhakika na ya kutosha ndani ya ccm, lakini suporti ya uhakika na ya kutosha miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania. Zaidi sana Dkt. Emmanuel J. Nchimbi...
  20. R

    Kauli ya Heche juu ya hotuba ya Nchimbi juu ya Katiba mpya

    Msikilize HECHE akidadavua moja wapo ya kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba mpya
Back
Top Bottom