Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Naomba kueleweshwa.
Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi?
👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya?
👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya?
👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku...
Baada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari
Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali yafuatayo.
1. Kwanza, Kama Nchimbi anahimiza watanzania waipiganie katiba mpya, kwanini wanachama...
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.
Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya...
Mitazamo mitatu
1. kama Nchimbi anamaanisha anachosema, maana yake haungi mkono mwenendo wa serikali ambayo na yeye yupo, na huenda ndio Yuda alietajwa kwa mtazamo wa wanaCCM washabiki wa kizimkazi: i. hapa Samia anaendelea chafuka na raia wanazidi kumchukia, ii. Nchimbi anasimamia prosperity...
Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa...
Hongera Dr.Nchimbi kwa kumuwakilisha vema Rais wetu kipenzi cha watu Dr.Samia Suluhu Hassan hakika haikuwa bahati mbaya kuwa mteule wake. Kiukweli leo umegusa mioyo ya watanzania wengi. Umeiambia dunia kuwa Tanzania ni nchi inayothamini haki ya kila mtanzania ili kudumisha amani na mshikamano...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nchimbi anadai kuwa anawaheshimu Wana harakati kwa uwezo wao wa kujenga hoja
Amkumbuka dada yangu maria sarungi
Asante Sana sisi ni wapigania Khaki sisi siyo magaidi
LONDON BOY
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na kwamba kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa, amesema hayo leo Julai 24, 2026.
https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA
DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
Je watafanikiwa ?
Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania
Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano?
Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya...
Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead...
https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu
Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔
Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye..
=======================
Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!?
Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!?
Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi
Msikilize
============
Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada ya uchaguzi kumalizika badala ya kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wananchi...
Hi
Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo
Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa na wasiojua lolote
Tujiandae wakuu wa nchi wakimiliki vyama tofauti na kimoja tawala, na kumuweka...
Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa
Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea.
Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi.
Sasa...
Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence.
Mmbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.