nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. GemMaster II

    Hili swala la Nchimbi kufukuzwa na kupotea mbona kama CCM wanacheza na akili zetu

    Naona kama kuna kitu kinasukwa ili Nchimbi apate sympathy kwa jamii na tumuone kama mkombozi wetu ila deep down ni mchongo wa wana mtandao. Naona 2030 Nchimbi anachukua nchi kwa kudhani ni mwenzetu. Kumbuka nchimbi alienda kumuona JK then drama za pambanieni katiba zikafuata then akapotezwa...
  2. F

    Kuna wakati gerezani kunaweza kuwa salama kuliko uraiani, Nchimbi alipotea akiwa nyumba kubwa

    Sikuwahi kuwaza kuwa mtu mwenye ulinzi Mkubwa kama Nchimbi aweza kutekwa na kupotezwa na kunyamazishwa kirahisi vile. Tukaambiwa na akina Pascal Mayalla kuwa, ndugu Nchimbi atatokea kukabidhi ofisi, ikapita hivyo hivyo, Sasa ulisema alipotezwa hujakosea. Ilifika mahali mfungwa Tundu Lissu...
  3. Gabeji

    Nipo tayari kufanya kazi na serikali mpya ya chini Tundulisu , Humphrey Polepole, Nchimbi nk

    Bila shaka hawa watu wanasifa zote za kuitwa wazalendo
  4. K

    Nchimbi kasema waTanzania wapiganie Katiba. Akapotea. Samia anasema maridhiano na Katiba. Wenye maslahi wanashangilia

    Samia anapambana , kutwa na kuchwa kuaminisha watu kwamba anatafuta maridhiano miongoni mwa waTanzania, ambayo yataielekeza nchi kwenye Katiba Mpya ambayo itarudisha hali ya utengamano ndani ya taifa hili. Tatizo ni moja tu, kwamba maridhiano haya ni lazima yawe anayoyasimamia yeye mwenyewe...
  5. C

    Msigwa amvaa Paul Chacha kuhusu sakata la Nchimbi

    Peter Msigwa amemjibu Paul Chacha kufuatia kauli yake kwamba wakati akiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), jukumu lake lilikuwa kushika simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi, akikanusha madai hayo na kusema hajawahi kufanya kazi hiyo. Msigwa amesema hakuna kazi halali inayomvunjia mtu heshima, hata kama...
  6. S

    Nchimbi awe somo kwa wanasiasa?!

    Ukitendewa umafia sio lazima ulalamike au kutapatapa kwenye vyombo vya habari Aksante Emmanuel John Nchimbi
  7. N

    Alute Mughwai Lisu alikuwa MwanaCCM haswa, kafanyiwa kama akina Polepole na Nchimbi

    Nimeshangaa sana msiba wake kutekwa na CHADEMA. Huyu marehemu CCM walimtenga siku nyingi sana. Sema tu yeye hakuwa aggressive kama Ndugu yake, angepotezwa kabisa huyu! Bora hata anafanyiwa sherehe za mazishi hadharani!
  8. Carlos The Jackal

    Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  9. R

    Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema; "Mimi nishawahi kufanya kikao nasema hapa na makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na...
  10. K

    Nape, Nchimbi sio mpuuzi

    https://youtu.be/xTGJUQFLlI4?si=YFELlBh43spliZUs
  11. K

    Je wametengeza Nchimbi fake

    Wametengeneza Nchimbi fake
  12. figganigga

    Mlioeneza story za Emmanuel Nchimbi kuonekana Dubai mlaaniwe

    Hizi siasa za CCM zimefika kikomo. Kwamba Nchimbi kuonekana wakahisi italeta nafuu. Nchimbi wa Mchongo. Halafu Nchimbi na Dubai wapi na wapi? Mumelaani mnaoleta siasa kwenye maisha ya watu. Leo kwa Nchimbi kesho kwenu.
  13. M

    Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  14. Crocodiletooth

    Dkt. Nchimbi adaiwa kuonekana Dubai, mapumzikoni. Je ni yeye au picha za AI?

    ===== Aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameonekana nchini Dubai hivi karibuni akiwa kwenye mapumziko, taarifa ambazo zinafuta uvumi uliokuwa ukienea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutoonekana kwake wiki kadhaa tangu ajiuzulu Taarifa za vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa Dkt...
  15. Idugunde

    Kama Dk Nchimbi hajashikiliwa kizuizini kesho tumuone kanisani na waumini wenzaje kisha apewe nafasi ya kusalimia

    Dk Nchimbi ni mkatoliki anapenda kwenda kanisani. Kama hajawekwa kizuizini kibabe huku akionyeshwa bastola basi kama ilivyozoeleka mruhusuni aende kanisani na kisha asalimie waumini na kutoa neno nini kilimsibu.
  16. Kaka yake shetani

    Kiduku yupo wapi ? .Sawa na nchimbi

    Kuna taarifa kuwa yule kiduku ni kama kizimkazi na tabia za matokeo na ziko huko huko.
  17. K

    Wana CCM ni dhaifu kunyamazia swala la Nchimbi!

    Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM . Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
  18. MSAGA SUMU

    Baada ya kumaliza muda wake IPU, usalama wa Tulia Ackson unarudi daraja moja la Nchimbi na Polepole.

    Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson. Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole. IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace. Kwa hiyo a jitahidi...
  19. S

    Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  20. Kaka yake shetani

    Hivi kwa nini serikali yetu pale wananchi wakijiwekea biashara shughuli au uchimbaji mnaingilia na kusingizia muwekezaji.

    Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika. Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji. Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
Back
Top Bottom