Hizi ni takwimu kutoka mtandaoni. Siwezi kuhakikisha ukweli wake, but all in all wengi wako Western World. Kwanini hawaendi kwa wenzao wanakwenda kwa " makafiri"?
Ilham Omar ni mbunge Marekani, why not Pakistan Afghanistan and the like? kwanini alikimbikia kwa makafiri?
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.
Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima...
Rekodi za haki za binadamu za nchi 14 zinatarajiwa kuchunguzwa wakati wa kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha Mapitio ya Mara kwa Mara ya Hali ya Haki za Binadamu (UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kitakachofanyika Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026.
UPR ni utaratibu wa...
Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi.
Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha.
Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
Kataa au ukubali lawama kwa yanayoendelea nchi hii Nyerere hazimkwepi hata kidogo yeye anahusika kwa yanayoendelea wala tusifichane uungu mtu wake na kujifanya Godfather ndiyo imeifanya nchi hii iwe hapa
Umasikini,udini,unyonge,ujinga na katiba mbovu yeye ndiyo muhusika kwasababu hakutaka...
Akizungumza Bungeni Oktoba 30, 2026, Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga Kampala, ameitaka Serikali kuongeza nguvu na kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta ya kilimo, akisema kuwa sekta hiyo tayari inachangia asilimia 19 ya Pato la Taifa (GDP) licha ya kutokupewa msukumo wa kutosha.
Akichangia...
Hata kama ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani Chadema, lakini kwa mwenendo wake wa kichochezi inapoteza uhalali na sifa ya kufanya maridhiano.
Haitakiwi kufanya maridhiano na genge la wahuni/ wahalifu magaidi wahaini.
Tunaomba msajili wa vyama akifute mara moja chama cha Chadema kwamaslahi ya...
Unapozungumzia nchi zinazowajali raia wao kuliko zote duniani, jibu linategemea kabisa swali moja la msingi: Je, unatafuta utajiri wa mali za kifahari kwa wachache, au unatafuta mfumo wa haki na usalama kwa kila mwanadamu?
Kabla ya kukimbilia nchi za Ulaya Kaskazini, hebu tuangalie mfano wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimemsikia Kiongozi Mmoja wa Dini Eti anasema Tanzania Tumetoa Wakimbizi. Ningependa kusema Tanzania na Kama Taifa hatuna wakimbizi na Hatujatoa Wakimbizi . Sisi ni Taifa na Kisiwa cha Amani Cha Kupigiwa Mfano Duniani Kote.
Viongozi Wa Dini wajifunze kutofautisha Kati...
Habari wanabodi!!
Naleta taarifa hii ili mamlaka zinazohusika waweze kutolea ufafanuzi nini kinaendelea huko ndani.
Baadhi ya nchi za Afrika wameanza kuzuia watanzania kuingia na VISA on arrival. Nina uhakika wa asilimia 100 kwa nchi mbili e.g Madagascar.
Kwa Madagasca ilikua ni kuingia na...
Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya...
Nianze na kumpongeza Rais wa JMT DR SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuendeleza utawala Bora nchini, Dunia
Imejionea yenyewe jinzi utawala Bora unavyotekelezwa nchini na ikizingatiwa hivi karibuni USA ilitoa waraka ukisema Tanzania ni nchi salama. Narudia tena: HONGERA SANA MH. RAIS DR SAMIA SULUHU...
Nawasalimia wanabodi.
Inatia hasira,
Inakera,
Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.
Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.
Wengi wapo abroad...
Leo jioni nilikuwa napita sehemu ila sikuwa sehemu ya kundi pembeni mwangu ila lipo karibu na maeneo ambayo ni kama hayo maeneo wanaishi umoja au walipo Zanzibar .
Hapa mkoa X .Cha kwanza wanafurahi kuona tunavyo kufa,wanasema wao ndio wenye nchi ila mengine ni kama kuumiza na kuleta hasira...
Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
africa
bora
botswana
duniani 80
imepanda
kutoka
mauritius
morocco
nchi
new
rwanda
tanzania
tanzania yashika nafasi 5
utawala
utawala bora
utawala bora afrika
Ukifika tinde pale ndio utajua kuwa kwa nini Congo ,rwanda , uganda na sudani yule jamaa alikuwa tajiri na kuwashika maraisi mmoja wapo huyu bi msumi.
Yoyote kama ni mtetezi wa huu ushenzi wa CCM kumbuka ukijitoa au kustaafu wanakufa na wewe.
Friends and our enemies,
KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.
KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.
Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama...
Ndugu Raia wa Taifa la JF,
Hujambo?
Leo tarehe 24 Oktoba 2026, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki migomo kwa lengo la kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kuanzishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, Jumatatu, Oktoba 26, 2026.
Wito huo unakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.