Mabadiliko ya hali ya usalama katika eneo la Afrika Mashariki yanazitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuendelea kupitia na kuimarisha mikakati yao ya ulinzi ili kukabiliana ipasavyo na vitisho vipya na vinavyovuka mipaka ya nchi.
Wito huo umetolewa Novemba 19, 2026...
In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana.
Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni
1. Matumizi ya mkopo (Boom)
2. Ngono
3. Uchawa kwa watawala
Habari za wanachuo nchi nyingine ni
1...
awamu
awamu ya nne
bado
chuo
chuo kikuu
elimu
elimu ya
elimu ya chuo
habari
kikuu
kuingia
madarakani
masikini
nchinchi masikini
sana
tanzania
ubora
ubora wa elimu
utawala
wanachuo
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda ili kukabiliana kwa pamoja na vitisho vya kiusalama vinavyovuka mipaka, ikiwemo ugaidi, makundi yenye silaha, uhalifu wa kimataifa, ukosefu wa usalama mipakani, milipuko ya magonjwa na uhalifu wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Vijana wa CHADEMA ni lazma wafahamu kuwa usije kufanya vurugu ama kuvunja sheria kwa makusudi kwa kufikiri kuwa Utasaidiwa na mtu ukiingia kwenye Mkono wa sheria. Lazima ufahamu Mchuma Janga hula na wa Kwao.
Ukivunja sheria utadonolewa wewe Kama wewe na kufikishwa...
Kuna watu wanavunja Sheria za nchi wakidhani mabeberu yatawatetea mnajidanganya, lazima mtanyooshwa na Sheria za nchi bila haya. Hata mabeberu huwa yanaogopa kuvunja Sheria za nchini kwao.
Moja ya msingi wa Demokrasia ni "rule of law " all people are equal before the law, no one is above the...
Yani Kwa mfano, nchi A ina wakosoaji waliokimbilia nchi B na kupewa hifadhi,
Nchi A ikituma "watu wake" wakafanya operation Kwa siri nchi B kinyume na Sheria za nchi husika kama ubakaji, ufiraji, mauaji nk nk ,na baada ya uchunguzi ikabainika nchi A imehusika,
Swali .
Hatua zipi huchukuliwa...
Huyu mwamba anajua sana, anafaa kuongoza hii nchi ili apambane na mafisadi.
Mheshimiwa Professor Dr. Jenerali Murtaza Mangungu shikilia hapohapo.
Simba nguvu moja.
Katika mwezi huu wa Novemba, kuna mikopo 3 imeingiwa..mikopo 2 na waziri wa fedha kutoka AfDB na Exim Bank ya uturuki, mkopo mmoja na KM-wizara ya Fedha kutoka Exim Bank-korea..
Nina maswali kwa katibu wa baraza la mawaziri..
1. Hivi itawezekana kila fani mpya ikitokea ni lazima kuwepo chuo...
Mpaka leo napoandika mada hii nakamilisha uchunguzi wangu wa kina katika swala la ndoa na kuhitimisha na swali moja.Ni kwanini mpaka leo hakuna nchi iliyopitisha sheria ya kuilinda ndoa kwa wanandoa?
Mfano hakuna sheria ya ugoni.Yaani hakuna sheria kuwa nikikulombea mkeo utanishtaki wala hakuna...
Nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana, siku mkewe alipojifungua alikosa furaha sana baada ya kujifungua mtoto wa kike. Eti alikuwa akitaka mtoto wa kiume wa kwenda nae salon kunyoa pamoja kama nilivyokuwa nafanya mimi tukikutana salon.
Sababu ya kutaka mtoto wa kiume ilikuwa ya kipumbavu sana...
Huwa naona nchi yetu tunachekesha sana na hatuko serious kabisa katika uongozi.
Hivi inakuaje kwamba wabunge wa majimbo karibia nusu ya nchi nzima huwa wanaishi Dar es Salaam halafu wanaenda kutembelea kwenye majimbo yao wanayoyawakilisha bungeni ?!
Mfano kuna mbunge wa Kigoma huwa naona...
Ukitaka kuandaa Taifa imara andaa mtoto toka siku ya kwanza ya usutubishaji inatakiwa sheria impe kipaumbele mama mjamzito awe kama mwanjeshi namba 1 wa nchi awe na utulivu wa kiakili atungiwe sheria mma mjamzito na anayenyonyesha mwisho kuonekana mtaani saa kumi na mbili jioni, muda mwingi akae...
Tuweke hisia pembeni, Hizo ni Facts !!
Wakristo wanaoishi nchi zilizojaa waislam kama Somalia, Nigeria, Libya, Misri, Algeria, Morocco, Afghanistan, n.k. wanaishi kwa taabu sana, wamepewa label ya MAKAFIRI na kuonekana watu wasiopaswa kuishi.
Ila ukija nchi zilizojaa wakristo kama Tanzania...
Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya.
Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni.
Kwa mujibu wa matokeo ya...
baada
bila
bungeni
hana
israel
kiongozi
kukosekana
kuongoza
kushikilia
kuwa
madaraka
mkuu
mpya
muafaka
nchi
ndogo
netanyahu
nguvu
rais
serikali
uchaguzi
viti
vyama
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Lifestyle ya uongozi wa sasa wa chama na serikali yake ni KUTEKA wanaowakosoa.
Order of the day imekuwa leo mteke yule kesho tumeni watu Kenya wakateke wanaotukosoa, hawajihangaishi na maendeleo ya nchi, zaidi ya hapo wanawaza uchaguzi wa 2030.
Hadi leo nchi imeteka wangapi mbona magereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.