nchi

  1. Nchi za Afrika Mashariki zatakiwa kupitia mikakati ya ulinzi ili kukabiliana na vitisho vipya vya kiusalama

    Mabadiliko ya hali ya usalama katika eneo la Afrika Mashariki yanazitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuendelea kupitia na kuimarisha mikakati yao ya ulinzi ili kukabiliana ipasavyo na vitisho vipya na vinavyovuka mipaka ya nchi. Wito huo umetolewa Novemba 19, 2026...
  2. Ukifanyika utafiti Tanzania tunaweza kuwa nafasi ya juu sana Afrika katika nchi zinazoongoza kuvujisha video za utupu wa watu mitandaoni

    In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
  3. Ubora wa elimu ya chuo kikuu ulidumaa sana tangu utawala wa awamu ya nne kuingia madarakani.

    Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana. Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni 1. Matumizi ya mkopo (Boom) 2. Ngono 3. Uchawa kwa watawala Habari za wanachuo nchi nyingine ni 1...
  4. Hivi nchi za Afrika zinatumia script moja au?? 🤔

    Neno ugaidi limekuwa kwa wapinzani na wanaharakati kwa nchi za afrika
  5. U

    Mhubiri 12:7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa

    Naomba mwenye uelewa wa hilo funguo hapo juu atupe elimu
  6. Nchi za EAC zatakiwa kuungana dhidi ya vitisho vya usalama mipakani

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda ili kukabiliana kwa pamoja na vitisho vya kiusalama vinavyovuka mipaka, ikiwemo ugaidi, makundi yenye silaha, uhalifu wa kimataifa, ukosefu wa usalama mipakani, milipuko ya magonjwa na uhalifu wa...
  7. L

    Ndani ya Muda Mfupi Sanaaaa Lissu Kasahaulika ,Pambalu Kapuuuzwa. Vijana wa CHADEMA ni Lazma Wajifunze Kuacha Kufuata Mkumbo na kutumika Kuharibu Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana wa CHADEMA ni lazma wafahamu kuwa usije kufanya vurugu ama kuvunja sheria kwa makusudi kwa kufikiri kuwa Utasaidiwa na mtu ukiingia kwenye Mkono wa sheria. Lazima ufahamu Mchuma Janga hula na wa Kwao. Ukivunja sheria utadonolewa wewe Kama wewe na kufikishwa...
  8. Ukivunja Sheria za nchi hata Mabeberu huwa yanakaa pembeni yanawaona ni watukutu hamna nidhamu

    Kuna watu wanavunja Sheria za nchi wakidhani mabeberu yatawatetea mnajidanganya, lazima mtanyooshwa na Sheria za nchi bila haya. Hata mabeberu huwa yanaogopa kuvunja Sheria za nchini kwao. Moja ya msingi wa Demokrasia ni "rule of law " all people are equal before the law, no one is above the...
  9. F

    Ikibainika nchi A, imetuma watu wake nchi B kufanya vitendo kinyume na Sheria, Nini hutokea?

    Yani Kwa mfano, nchi A ina wakosoaji waliokimbilia nchi B na kupewa hifadhi, Nchi A ikituma "watu wake" wakafanya operation Kwa siri nchi B kinyume na Sheria za nchi husika kama ubakaji, ufiraji, mauaji nk nk ,na baada ya uchunguzi ikabainika nchi A imehusika, Swali . Hatua zipi huchukuliwa...
  10. Hii nchi inahitaji Rais hodari kama Murtaza Mangungu Kiboko ya Mafisadi

    Huyu mwamba anajua sana, anafaa kuongoza hii nchi ili apambane na mafisadi. Mheshimiwa Professor Dr. Jenerali Murtaza Mangungu shikilia hapohapo. Simba nguvu moja.
  11. T

    Mikopo, Nchi ya Mikopo

    Katika mwezi huu wa Novemba, kuna mikopo 3 imeingiwa..mikopo 2 na waziri wa fedha kutoka AfDB na Exim Bank ya uturuki, mkopo mmoja na KM-wizara ya Fedha kutoka Exim Bank-korea.. Nina maswali kwa katibu wa baraza la mawaziri.. 1. Hivi itawezekana kila fani mpya ikitokea ni lazima kuwepo chuo...
  12. Ni kwanini mpaka leo hakuna sheria ya kuilinda ndoa duniani ukitoa nchi zinazofata sharia

    Mpaka leo napoandika mada hii nakamilisha uchunguzi wangu wa kina katika swala la ndoa na kuhitimisha na swali moja.Ni kwanini mpaka leo hakuna nchi iliyopitisha sheria ya kuilinda ndoa kwa wanandoa? Mfano hakuna sheria ya ugoni.Yaani hakuna sheria kuwa nikikulombea mkeo utanishtaki wala hakuna...
  13. Tanzania kuwa na Rais mwanamke ni mapinduzi kwa haki na usawa wa wanawake sio tu nchini bali kwa Afrika na dunia

    Nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana, siku mkewe alipojifungua alikosa furaha sana baada ya kujifungua mtoto wa kike. Eti alikuwa akitaka mtoto wa kiume wa kwenda nae salon kunyoa pamoja kama nilivyokuwa nafanya mimi tukikutana salon. Sababu ya kutaka mtoto wa kiume ilikuwa ya kipumbavu sana...
  14. Katika nchi inachekesha kwenye uongozi kila mahali ni Tanzania

    Huwa naona nchi yetu tunachekesha sana na hatuko serious kabisa katika uongozi. Hivi inakuaje kwamba wabunge wa majimbo karibia nusu ya nchi nzima huwa wanaishi Dar es Salaam halafu wanaenda kutembelea kwenye majimbo yao wanayoyawakilisha bungeni ?! Mfano kuna mbunge wa Kigoma huwa naona...
  15. Nikiwa Rais wa nchi nitamlipa kila mama mjamzito laki 1 kwa mwezi, kila mama anayenyonyesha laki 1 kwa mwezi mpaka miaka 3 ya mtoto

    Ukitaka kuandaa Taifa imara andaa mtoto toka siku ya kwanza ya usutubishaji inatakiwa sheria impe kipaumbele mama mjamzito awe kama mwanjeshi namba 1 wa nchi awe na utulivu wa kiakili atungiwe sheria mma mjamzito na anayenyonyesha mwisho kuonekana mtaani saa kumi na mbili jioni, muda mwingi akae...
  16. M

    Facts over feelings: Waislam wanaishi kwa amani nchi zilizojaa wakristo lakini wakristo wanaishi kwa mateso nchi zilizojaa waislam

    Tuweke hisia pembeni, Hizo ni Facts !! Wakristo wanaoishi nchi zilizojaa waislam kama Somalia, Nigeria, Libya, Misri, Algeria, Morocco, Afghanistan, n.k. wanaishi kwa taabu sana, wamepewa label ya MAKAFIRI na kuonekana watu wasiopaswa kuishi. Ila ukija nchi zilizojaa wakristo kama Tanzania...
  17. Nchi ambazo kupiga kura hakubadilishi kitu

    Je, kuna ukweli wowote hapa?
  18. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  19. Q

    Tangu waanze kuteka, nchi imepata faida gani, wamemfunga Lissu CCM imenufaika na nini.

    Lifestyle ya uongozi wa sasa wa chama na serikali yake ni KUTEKA wanaowakosoa. Order of the day imekuwa leo mteke yule kesho tumeni watu Kenya wakateke wanaotukosoa, hawajihangaishi na maendeleo ya nchi, zaidi ya hapo wanawaza uchaguzi wa 2030. Hadi leo nchi imeteka wangapi mbona magereza...
  20. M

    Pesa halali imekuwa ngumu sana nchi hii

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…