maisha

  1. A

    Je, ni bora kuwa na pesa nyingi bila amani au kuwa na kipato cha kawaida lakini maisha yana utulivu?

    Ndugu zangu, kuna jambo ningependa niongee hapa. Yani unakuta mtu ana kipato kikubwa, ana uwezo wa kununua vitu vingi anavyotaka na anaonekana kufanikiwa kimaisha. Lakini kila siku anaishi kwenye msongo wa mawazo, hana muda wa kupumzika, mahusiano yake hayana utulivu na wakati mwingine...
  2. A

    Je, ni sawa kuendelea na uhusiano na mtu ambaye hana muelekeo wa maisha ilhali unampenda?

    Wapendwa habari zenu, kuna suala nimelifikiria hapa naomba nipate ku-share na ninyi. Kuna hii hali unakuta unakuwa kwenye uhusiano na mtu unayempenda kwa dhati, mnaelewana na mnafurahia kuwa pamoja vizuri tu. Lakini kadiri muda unavyokwenda, unaanza kujiuliza kuhusu maisha yenu ya baadaye kwa...
  3. Kazanazo

    Kwenye maisha ukikosa backup unateseka sana

    Yani unajikuta huna kulia wala kushoto ndugu wanajua kusaidiwa wao likikupata no one is there kiuhalisia unaweza tamani uwe mwenyewe bila ndugu ila ndio hivyo tena
  4. K

    Uchambuzi wa Kina wa Msemo wa Eleanor Roosevelt na Uhusiano wake na Maisha ya Sasa

    Msemo wa Eleanor Roosevelt na kioo cha fikra zetu hapa jukwaani, Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili la kipekee. Leo nimekaa chini na kutafakari kwa kina kuhusu kauli moja maarufu sana duniani inayohusishwa na Eleanor Roosevelt, mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Franklin D. Roosevelt. Aliwahi...
  5. K

    Uchambuzi wa Kina wa Msemo wa Eleanor Roosevelt na Uhusiano wake na Maisha ya Sasa

    Msemo wa Eleanor Roosevelt na kioo cha fikra zetu hapa jukwaani Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili la kipekee. Leo nimekaa chini na kutafakari kwa kina kuhusu kauli moja maarufu sana duniani inayohusishwa na Eleanor Roosevelt, mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Franklin D. Roosevelt. Aliwahi...
  6. Gunner11

    Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Naamini kuwa dini ni kama mtego tu, Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua. Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi. Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha. Watu wako so brainwashed mpaka...
  7. 1995El

    Ukweli Mchungu: Dunia haikudai chochote kwa sababu tu una ndoto kubwa

    Kuna ukweli ambao vijana wengi tunapaswa kuuelewa mapema: dunia haikulazimiki kukupa nafasi kwa sababu una nia nzuri, una akili au unapitia kipindi kigumu. Unaweza kuwa na moyo safi, ukawa na mipango mikubwa na ukawa na uwezo mkubwa kuliko watu wanaokuzunguka, lakini kama hutageuza uwezo wako...
  8. La Roche

    Hamna mtu ambaye Maisha yalim-GUARANTEE chochote pale alipoamua kufanya jambo.

    Hey, mambo vipi? It’s me, La Roche, Kuna watu walisoma LLB na walikuwa na ndoto za kuwa Wanasheria wakubwa lakini leo wanafanya kazi Benki Kitengo cha Corporate Affairs... Unaweza usisome ukawa Tajiri kwa sababu tu Mungu amempa kila mtu AKILI...Kuna Akili ya Mtu mwenye Degree na Akili kwa mtu...
  9. 1995El

    Vijana wa Tanzania: Tunajenga maisha yetu au tunasubiri maisha yatujenge?

    Kuna swali ambalo kila kijana wa Kitanzania anapaswa kujiuliza kwa uaminifu: Kama maisha ni yetu, kwa nini mustakabali wetu unaonekana kutegemea maamuzi ya watu wengine? Tunakua tukiamini kwamba tukimaliza shule, maisha yataanza kuwa mazuri. Tunamaliza shule, tunakutana na changamoto ya ajira...
  10. ndege JOHN

    Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
  11. Gobole Lenye Risasi

    Kusema ukweli hii Buku 7 haitutoshi kwa maisha haya. Mtufikirie na sisi

    Kuna wakati tunakatishwa tamaa na ninyi viongozi. Sisi tunajitahidi sana kumpambania mama. Tunaanzisha threads na IDs mpya kila mara ingawa tupo wachache tuonekane wengi. Tsh 7,000 kwa siku haitoshi. Ukiacha wale wachache ambao wameajiriwa na viongozi binafsi kuwapambania wao wanapata mpaka...
  12. Ndagullachrles

    Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  13. bless on

    Maisha Hayana Formula, Yana Kanuni

    Tulipokuwa wadogo tulifundishwa kwamba kwenye hesabu kuna majibu sahihi. Ukiandika 7 + 5, kila mtu atapata 12. Ukiandika 20 ÷ 4, kila mtu atapata 5. Hapo ndipo akili zetu zilipoanza kuamini kwamba maisha nayo yana formula. Tukafanya kila kitu kwa kufuata hatua fulani tukidhani mwisho wake...
  14. Manyanza

    Mwanaume na maisha: Unalalamika au unawajibika ?

    Wanaume wenzangu, kuna wakati tunahitaji kuacha kulalamika kuhusu dunia na kujiuliza swali moja muhimu: Je, tunafanya nini kujenga maisha tunayotamani? Unalalamika kuhusu wanawake, uchumi, ukosefu wa fursa na maisha magumu. Lakini je, unajifunza ujuzi mpya? Unatafuta fursa? Unasimamia vizuri...
  15. Eli Cohen

    Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  16. Jemima Mrembo

    Hii ni fursa ya kubadilisha maisha yako. Kwa mtaji mdogo, unaweza kuanzisha fleet line yako mwenyewe.

    Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe. Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa. Starting price ni 21 million, maongezi pia...
  17. Mboju

    Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine...
  18. Titicomb

    Mwisho wa maisha ya tajiri Reginald Mengi ulianzia hapa kwenye kufuatilia na kuwataja mafisadi papa?

    Angalizo: Zingatia alama ya kuuliza. Ndugu msomaji usitoe hukumu na kuwachafua watu. Hili ni swali siyo tamko (declaration). Anaandika mdau wa kuitwa Diplomacy Arena: Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi"...
Back
Top Bottom