Binafsi nilipoteza ama tuseme nimepoteza a first quarter of my life, kuishi maisha ni siyo yataka.
Baada ya kujikuta naumza nafsi yangu miaka nenda rudi, ndipo nilijikuta narudi kwenye ukweli Mchungu kuwa..
No amount of external wealth can quench inner thirst.
Hivi, umeshawahi kujiuliza...
SIKU UTAPOSHINDWA MAISHA, USIJE UKAJILAUMU
Anaandika: Robert Heriel
Mtibeli.
Basi mwanangu, utakapofanya kila juhudi na kutumia kila uwezo ulio nao, lakini bado ukashindwa kufikia kile ulichokitarajia katika maisha, usije ukajilaumu.
Ni yule Mtibeli, mzee wa siku nyingi ambaye kifo kipo...
Baada ya kuripotiwa kuwa atafikishwa mahakamani Novemba 20 kwa kesi ya kumchafua Diamond Platnumz, Mwijaku ameibuka na kusema riziki zake zote zinapitia mikononi mwa msanii huyo.
"Alaikum Salaam. Kwa ninavyomjua Diamond Platnumz, Simba la Masimba, kwa moyo wake wa huruma, unyenyekevu wake kwa...
你好,你们好吗?
Wadau sipingi ajira,hata mimi nimewai kuajiriwa,na ajira ndiyo source ya mtaji wa kuanzia biashara kwa mtu ambaye hana cha kuanzia.Kinacho nishangaza ni inawezekanaje mtu anaajiriwa akiwa na umri wa miaka 25 mpaka anafikia umri wa kustaafu miaka 60 kakomaa tu na ajira? Hivi huyu mtu...
Baada ya kukamilisha kazi waliyokuwa wamepewa, natamani sana kuona jinsi watu hawa wanavyoishi na kupokewa na jamii wakiwa maofisini, mitaani na sehemu nyinginez kama kwenye misiba, n.k
Hivi huwa mnadhani wanawake hawajui?
Mwanamke anaweza kusmell a mile away wewe ni mwanaume aina gani...
She knows what kind of dude she's dealing with.
Ila aisee ndugu zangu huwezi kula mali nzuri kama wewe ni kapuku, utaishia kula kwa macho wenzako waliojipata wakisaza
Jisake, there's no...
Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo?
Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate
Usidharau steps zako sasa keep moving, focus
Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi hawakipendi kufanya, lakini kina mchango mkubwa katika ukuaji na uendelevu wa biashara zao. Nacho ni kutengeneza maudhui (Content Creation) mara kwa mara kwa ajili ya kuitangaza biashara.
Najua inachosha kila siku kufikiria cha kupost, kupiga picha...
Bila kupepesa macho tuseme ukweli.
Hali imekua mbaya sana kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida ukiachana na baadhi wachache waliopo kwenye mifereji ya pesa kwa mwaka huu 2026
Kwa ground hali sio poa kabisa.
Ndugu na jamaa wa karibu hadi kuna mda nawahurumia juu ya vilio kuwa vingi, haina jinsi...
Ni full mavibe tu..
Yaani kuna machimbo ya pisi kali..
Leo, bwana nimepelekwa sehemu hiyo mzee kuna mishangazi, imenona balaa.
Nikasema nilikuwa wapi mie, aisee tena unaambiwa ni wewe tu na hela yako..
Ila, truth be told japo uswazi kuna lay people ila wanaishi maisha simple na...
Uarabuni Kuna fursa nyingi sana za kazi, kama umesoma na hupati kazi Tanzania nenda Uarabuni, tena kama ni Muislamu ndio mambo yanakuwa rahisi zaidi na unaweza kujipatia hata mke au mume Mwarabu huko.
Huwa nashangaa kumuona Muislamu msomi wa degree, diploma au VETA anahangaika na ajira...
Kijana huyo anayeimba nyimbo za bongo flava, ameonekana akifurahia kukutana na rafiki yake kutoka Nigeria Bw. David.
Akiwa na msalaba shingoni
Kwa story za chini chini inasemekana alishabadii DINI na kua mkristo kwani alionekana kupendezwa na DINI hiyo akiita ni ya "wanyamwez" ikafikia hatua...
Hapa akili kubwa iko kazini
Kama ni darasa la tatu D , tikisa kichwa sana kwanza kabla ya kukitumia.
Iko hivi, pale unapoingiza miguu au kichwa kwenye hii dunia, changamoto zinaanza chap kwa haraka. Mwenye hii dunia hapoi wala hachoki, he wired this world kwa namna ambayo hautakaa upate raha...
Miaka 5 ijayo (2026 - 2031) dunia haitaenda pole pole. Kitaalamu, tunakwenda kwenye miaka ya AI kufanya kazi badala ya kuongea tu.
Hizi ndizo tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja:
1. AI Agents - AI itakufanyia kazi, sio kukujibu tu
Sasa hivi unaniuliza, nakujibu. Miaka 5 ijayo...
Kuna siku nimekutana na mama ametoka kujifungua kwenye bajaji ya kushare nilikuwa naenda sehemu so kufika maeneo ya hospital bajaji ika simamishwa pale yule bibi aka muita mwanae wapande kwenye bajaji na yule bint alikuwa ana tembea kwa kujivuta sana nikauliza huyu si mzazi? wakajibu yes...
Hali ya watu kukumbuka maisha yao ya nyuma yanayodhaniwa kuwa walishi kabla ya kuzaliwa mara ya pili inajulikana kitaalamu kama "Past-Life Memories" au "Reincarnation Cases". Ingawa jambo hili linasalia kuwa mjadala mkubwa wa kiimani na kifalsafa, watafiti kadhaa—wakiwemo wale wa Chuo Kikuu cha...
NI jiji la mwanza tulivu mida ya asubuhi baba kiki akifanya usafi kwenye duka kubwa la electronics, fridge, tv, pass, maredio nk
Amevaa nguo za ghaarama nyumba anayoishi ni ya gharama, watoto wake wakisoma chekechea za gharama kipindi hicho, mkewe mama kiki sijui ni mlinganishe na nani ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.