maisha

  1. Baba jayaron

    Najuta kudate na Ordinary Ladies, wanaharibu maisha yangu

    Wasalamu wana bodi Kama kichwa kinavyo jieleza mi ni kijana mtu mzima btn 35 - 40yrs old. Changamoto yangu ni kwamba spendi stress zakufukuzia wanawake wenye usumbufu na maanisha hao ma slay queens. Sasa naona uvuvi wangu unaniingiza kwenye matatizo makuubwa. Wanawake hao wakawaida ambao...
  2. L

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri Kifungo cha Tundu Lissu Kitawaamsha Usingizini Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanapenda sana Uropokaji mihemko kutukana Matusi na kutoa lugha chafu mbaya na hatari kwa Usalama wa Taifa letu. Walikuwa wanahisi pengine Sheria inaangalia sura ama cheo cha mtu kisiasa...
  3. M

    Katika maisha ya kweli umewahi kumjua mwanaume mwenye maisha ya chini aliepata zali la mentali, kupendwa hadi kumuoa binti mwenye uchumi mzuri?

    Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
  4. Yoda

    Maisha ya Isaka na dingi yake Ibrahim yaliendeleaje baada ya jaribio la kafara ?

    Kulingana na Biblia Ibrahim wakati anaenda kumtoa kafara mtoto wake Isaka alimficha bila kumuambia anaenda kumtoa kafara (Quran yenyewe inasema alimwambia wazi Isaka kwamba mungu amemuambia amtoe kafara na Isaka aliridhia na kukubali kuchinjwa kama kafara😁), Sasa mahusiano yao yaliendeleaje na...
  5. M

    Vitabu vya kubadili maisha

  6. Pakome

    Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara lakini viongozi hawataki kuishi maisha ya ufukara

    Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
  7. BR Stationary

    Maisha hayaitaji uwe mkamilifu

    “Maisha hayahitaji uwe mkamilifu, yanahitaji uwe mvumilivu. Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kupambana na kusonga mbele. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kama ulivyopanga. Wakati wako bado unakuja.” 💯🔥
  8. PAYE

    Hivi kuhama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea, ni kipimo cha mafanikio ya maisha?

    Wakuu Ni kweli kuhama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea, ni kipimo cha mafanikio ya maisha?
  9. 1995El

    KUNA NYAKATI MAISHA YANAKUPA MAJARIBU MENGI KWA WAKATI MMOJA.....

    Wana JF, naomba mnivumilie kwa dakika chache. Kwa kweli nimefika kipindi ambacho hata kupata maneno ya kuelezea hali yangu imekuwa changamoto. Nimefiwa na baba yangu. Hili ni pigo ambalo si rahisi kulikubali wala kulizoea. Kuna pengo ambalo halizibwi kwa maneno, kuna kumbukumbu ambazo zinabaki...
  10. O

    Taharuki Barabarani: Vijana Wazua Kizaazaa kwa Stunt za Hatari za Kuhatarisha Maisha

    Nairobi, Kenya — Hali ya taharuki na mshangao imezuka mitandaoni kufuatia kusambaa kwa video fupi inayoonyesha kundi la vijana wakifanya vitendo vya hatari barabarani huku gari likiwa linaendelea kusafiri. Katika video hiyo inayosambaa gari jeupe aina ya Toyota lenye namba za usajili za Uganda...
  11. Z

    Bibi Titi na wenzake walipo kutwa na hatia kwa kesi ya uhaini, walifungwa kifungo cha maisha. Leo Lisu itakuwaje?

    Awamu ya kwanza chini ya utawala wa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwatuhumu Bibi Titi na wenzake kwa kosa la uhaini na walipo tiwa hatiani na mahakama walifungwa kifungo cha maisha gerezani. Leo Lissu itakuwaje? Kunyongwa au kifungo cha maisha gerezani?
  12. BR Stationary

    Kwenye Maisha usitegemee Kila mtu akuelewe

    "Kwenye maisha usitegemee kila mtu akuelewe, wala usilazimishe kupendwa na kila mtu. Jifunze kusimama mwenyewe, kutabasamu hata unapopitia magumu, na kuendelea na safari yako bila kueleza kila kitu unachopitia. Mwisho wa siku, maisha ni yako na hakuna atakayeyaishi kwa niaba yako." 🖤🥀
  13. H

    Simu zetu zina password, lakini maisha yetu yote yapo kwenye status!

    Je, bado tunaelewa maana ya privacy?
  14. 1995El

    Hamna kutia huruma, kila mtu anapambana na maisha yake

    HAMNA KUTIA HURUMA, KILA MTU ANAPAMBANA NA MAISHA YAKE! Kuna kitu nimejifunza kupitia maisha na watu wa mitandaoni: Usidhani kila mtu anayepitia magumu anahitaji dhihaka zenu. Leo unaweza kuwa juu, kesho ukajikuta chini. Leo unaweza kuwa na uwezo wa kumcheka mwenzako, kesho ukahitaji msaada wa...
  15. mcTobby

    Je tunaishi maisha yetu au tunatimiza matarajio ya Jamii?

    Moja ya mambo yanayovutia katika jamii yetu ni jinsi tunavyoutazama ndoa na maisha ya mtu asiyeoa au kuolewa. Mwanaume anaweza kuwa ameoa, ana watoto, ana nyumba na kwa nje akaonekana kuwa amefanikiwa kila kitu. Jamii humpongeza na kumwona kuwa ni mtu aliyefanikiwa, anayewajibika na...
  16. F

    Baba wa rafiki yangu awaandikia wanae kitabu cha mwongozo wa maisha. Ni vizuri kila ukoo ama familia iwe na katiba yake ifatwe kama biblia na quran,

    habari wadau. Rafiki yangu mmoja kanionesha kitabu walichoandikiwa na baba yao kwa ajili ya kuwapa miongozo katika mambo mbali mbali ya kimaisha. kitabu kina sura 10 ambazo zimegawanyika, mfano sura ya muongozo kuhusu elimu dunia na jinsi ya kuipata, sura kuhusu ukweli wa dini, sura kuhusu...
  17. Print

    Ishi maisha ukijua duniani ni mahari pa mapito

    Kesho hatuijui, tukiwa kama binadamu, tuache dhambi, mipombe, ulevi, dhuluma, chuki, ni ushetani, Mungu wetu anapenda mtu mwenye moyo wa kujutia na toba ya kweli
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Simulizi ya Emmanuel Eni, mchawi mkubwa aliyekuwa msaidizi wa karibu wa shetani, akiendesha mihadhara chini ya bahari

    Simulizi ya Emmanuel Eni (ambaye mara nyingi hujulikana kama Mchungaji Emmanuel Eni) ni moja kati ya ushuhuda maarufu na wenye mjadala mkubwa sana barani Afrika kuhusu mambo ya uchawi, nguvu za giza, na wokovu wa Kikristo. Aliweka wazi mkasa wa maisha yake kupitia kitabu chake kilichopata...
  19. Rebuild

    Vita ya mwanaume kwenye Maisha ni Real Battle

    Wanaume tunapitia vitu vingi Sana kwenye maisha. Utafutaji wa Hela. Changamoto za ndoa ndani ya nyumba. Kudharauliwa na baadhi ya wanaume wenzetu waliotuzidi kipato. Kudharauliwa na wake zetu sababu ya tamaa za nje au wanawake waliotuzidi kipato au sababu ya urembo wao alafu sisi ni apeche...
  20. Dogoli kinyamkela

    Maisha yenyewe mafupi mke mrefu wanini?🤣🤣😂🤣

    Maisha yenyewe mafupi mke mrefu wanini? 🤣🤣😂🤣
Back
Top Bottom