hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Judge Dunstan Nduguru na wenzake baada ya hukumu hii, basi ipo siku atasema nililazimishwa kwa mtutu wa bunduki kusoma hukumu hiyo!!

    Actually, atakuwa anafanya utetezi wa kijinga lakini usishangae kabisa ikitokea unless wawaue sasa... Na hawa mabwana watatu wanajiita "Majaji" watakufa kweli kwa kuwa kwa hiari zao wenyewe wamechagua fungu hilo la kuwa upande wa dhuluma na mauti badala ya kuchagua upande wa haki na uzima...
  2. K

    Vichekesho: Tulipata hukumu mitandaoni Mahakama gani hii?

    Walienda Lushoto kukaa na kupata maelekezo hayo . Hawajui kwamba ndiyo wameuwa Mahakama yao
  3. Mange Kimambi anatutukana matusi ya nguoni sisi Watanzania, hii laana hataikwepa.

    Kwakweli Mange Kimambi anatutukana sana ss watanzania, niseme tu kuwa Hii laana haitamuacha salama. nawaasa chadema watamke kutofungamana na kauli za matusi za Mange kimambi otherwise hii laana itaendelea kuwatafuna chadema kwenye maisha Yao yote ya Siasa. Tunachotakiwa kujua kwamba hakuna...
  4. Lisu hatamaliza mwaka akiwa gerezani kuanzia leo hii anavopelekwa gerezani

    Namaanisha tarehe 6 ya mwezi wa 9 2027 haitamkuta akiwa ndani ya jela
  5. M

    “Kama Mungu aishivyo” Dhuluma hii itawatafuna hadi kizazi chenu cha nne

    Hana kosa la kustahili dhuluma hii. Mlishamfanya mlemavu kwa kosa la kupigania haki za watu. Amenusurika kifo kwa kosa la kupigania haki za watanzania. Mmemfunga jela kwa kosa la kutengeneza. “Kama Mungu aishivyo” atatenda kadri ya mapenzi yake. Mshahara wa dhambi ni mauti.
  6. Paschal Mayala na wadau wa sheria hii imekaaje:? Hajakutwa na hatia katika kosa aliloshtawa nalo, lakini kakutwa na hatia kwa kosa asiloshtakiwa nalo

    ABC zangu ndogo za masuala ya kisheria,zinanikumbusha kwamba mahakama zetu mara nyingi zimekaa mkao wa kupima, kujadili na kuamua kesi iliyoletwa mezani kama ilivyofunguliwa na wadai au waendesha mashtaka. Kama shtaka kwa mtuhumiwa lilikuwa kuzidisha chumvi katika mboga, majaji hawawezi kutoa...
  7. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  8. Yaani hadi zambia wanakuwa na Barabara nzuri ndefu namna hii sisi Tanzania kweli tumelaaniwa

    Bila Magufuli hata hapo mbezi kibaha ingebaki ndoto tu. sasa inajengwa kimara kuja ubungo aisee kila siku wanachimba hata.kinachochimbwa hakieleweki. Ila Tanzania nyoko.sana wanawaza kunyonga wapinzani tu pumbavu kabisa. kwa barabara kama hii hata kama serikali ikawabana wapinzani ina haki...
  9. Japo kwao kuna vita na majanga kila aina Wasomali wanabaki kuwa jamii inayojielewa wanataka miongoni mwa jamii za kiafrika

    Unapo Zungumzia Jamii ya Wasomali Unazungumizia Harakati, Huezi Shindana na Jamii hii Zaidi utaumia Bure kwasababu jamii hii sio Taifa na Dini Pekee jamii hii ni Harakati ya Kiuchumi, Siasa na Elimu. Jamii hii Ipo Ndani ya kila Serikali Yenye Ushawishi, Jamii hii ipo katika kila Nchi kiuchumi...
  10. K

    Tujiulize Kwanini serikali hii fake inateka watu

    Kwasababu ya kuendeleza wizi na ufisadi hasa kwa familia za kikwete, Mwinyi na Samia
  11. Hii ndio maana ya kichinjio

    America siku zote inaonyesha njia, ndio maana ya big brother, hawacheki na kima. Unaharibu unalipwa hapa hapa duniani, hii aibu kubwa sana kwa Trumpuu! Futa doła 6 kwa galoni eti anacheka tu, wamekula za uso na kuonyesha dunia maana ya baba wa demokrasia! Elon na mchuzi wake watu wamekula na...
  12. Sababu ya kimbelembele na kiburi cha Gerson Msingwa ni hii

  13. Hii ndoto inamaana gani? ndoto nyingi nilizoleta humu zilikuwa na maana kulingana na wadau waliozitafsiri

    Kuna ndoto niliwahi zileta humu kulingana na tafsiri za wadau nyingi zilileta maana. Leo nimeota hivi usiku. Nilikuwa mm na mke wangu na mdogo wangu wa kiume ambaye pia naishi nae huku nilipo sasa tulikuwa tumetokea mjini tunatembea na mguu tunarudi kwenye mitaa tunayoishi. Sasa njiani...
  14. B

    Kwa staili hii, CHADEMA bado ina safari ndefu;Wasaliti ni wengi sana kwenye chama, kina Deogratius Mahinyila Amkeni mkitetee chama chenu.

    Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti. Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe.. Huenda...
  15. Mama yetu kwa video hii tunaomba turudishie huyu myu mambo ya ndani

    Sitaongea mengi maana video inajieleza https://youtube.com/shorts/hfQqDQmlbPg?is=Ygc4h9-7jNlpQXhc
  16. Traffic ashindwa kumsaidia bodaboda aliyepata ajali Ilala

    TRAFFIC NA BODA BODA KUNA UGOMVI? Leo, jijini Dar es Salaam, eneo la Ilala, tukio la ajali ya boda boda limeibua maswali baada ya askari wa usalama barabarani (Traffic) kudaiwa kushindwa kutoa msaada kwa dereva wa boda boda aliyepata ajali. Kwa mujibu wa maelezo ya mdau aliyeshuhudia tukio...
  17. R

    Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

    ! Kwa kauli hii wanajua hukumu itakuwaje! Time will tell
  18. Tunamlaumu Mama Gwajima kukaa kimya bure na kutochukua hatua kali? Huenda hii vita si rahisi kama tunavyofikiri

    Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
  19. Ushindi huu wa Simba usheherekewe week hii nzima

    Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli. Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
  20. Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa

    Simba Bingwa 😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…