King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Nataka kutoka kwenye Fekon niingie humu. Ila nina mpango wa Kuagiza.
China nimeipata kwa around $750 ambayo ni around 2.1M gharama inainclude kuipeleka kwa transporter wa kuileta Bongo na Packaging.
Aliyewahi safirisha hii kitu kutoka nje naomba anipe gharama za usafiri alitumia sh. Ngapi na...
Watanzania inawezekana ni viumbe vya ajabu zaidi duniani ndl maana wengine husema inawezekana TZ ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni.
I magine mtu anaenda choni anakunya anajitawaza kwa kutumia mkono wake baadae huo mkono anaweza kutumia kula kitu na akaona sawa tu.
Ila Sasa mtanzania huyo...
Kwenye miaka ya 70 kulitokea mgogoro katika timu ya Simba kati ya waliojiita wasomi na wanachama wengine wa Simba kuhusu namna ya uendeshaji wa timu.
Wengi wao wakiwa wafanyakazi wa mamlaka ya bandari, reli na taasisi za serikali walitaka timu iendeshwe kisasa matokeo yake wengine waliondoka...
It's not business if competition is not allowed.
Kama biashara yako haiwezi kuendelea bila uwepo wa madaraka yako, basi hukuwahi kujenga biashara ya kweli. Ulikuwa umejipendelea tu (priveledge)
Watumishi wengi wakiwa serikalini hujijengea mazingira ya biashara yasiyo na ushindani. Huanzisha...
No reform No election ilianza hivi hivi. Chadema ambao ndio wanaopush agenda za wananchi, waliwaambia serekali na CCM kwamba bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi. Serekali ikiwadharau. Mh Lisu na kamanda Heche wakapita mikoani kuwaeleza wananchi wasiende kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu na...
Kwanza unaamini kuhusu Mungu? Hongera, na usitake kupambana kila mtu aamini
Pili huamini then well done usitake kuwaaminisha watu unachokiamini
Kiufupi kila mtu abaki na alichonacho
Binafsi naamini katika uwepo wa Mungu, tena mimi ni mkristo LAKINI kunacatch up lazima tufanye
Tulifundishwa...
Ndege hii aina ya Boeing 737, yenye namba ya usajili N313P, ilikuwa miongoni mwa ndege kadhaa zilizotumiwa na mashirika ya ndege yaliyokuwa yakifanya kazi kwa niaba ya CIA katika mpango wa siri wa kuwakamata na kuwahamisha washukiwa wa ugaidi (Rendition Program), ulioanza mwishoni mwa mwaka...
Habari wana Jf
Nimekua nikiota hii ndoto kwa kujirudia maranyingi sana mpaka nashindwa kuhesabu.
Ndoto yenyewe nii hii 👇👇
Kwanza niweke wazi sijawai panda au kutumia usafiri wa anga (kupanda ndege)
Ila huwa naota niko kwenye maandalizi ya kwenda kupanda ndege kwa lengo la kusafiri,
ila kwa...
Tunakumbushana, tunaambizana bila kufokeana polepole kwa upendo.
Watanzania wengi tumeamka kielimu bila kujali mtu hana uwezo wa kifedha lakini anajitutumuwa kupeleka mtoto private school.
Sasa mimi nawakymbusha, ili usitie huruma January nakuona kama ndugu na marafiki hawakujali serikali...
Wana jukwaa , hawa "Ninja" wapo likizo na sasa naona ni wakati wa sisi wazazi kuwakumbuka walimu na kuombea likizo iishe haraka! Imagine, sisi tunakaa na watoto wetu nyumbani kwa siku chache tu tunaanza kuchoka, walimu wao wanakaa nao karibu kila siku! Sasa naanza kuelewa kwa nini walimu...
Huyu mwamba anajua sana, anafaa kuongoza hii nchi ili apambane na mafisadi.
Mheshimiwa Professor Dr. Jenerali Murtaza Mangungu shikilia hapohapo.
Simba nguvu moja.
Ijumaaa hii, tar 20 nov 2026, saa 11 alfajiri, Hakikisha una akiba ya bando la kutoushaaaa ndani,
hakuna kutoka mzeer, 🛌🛌💃🕺🕺🕺
mzuka sana hallo ooo, lile saniii la kimataifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwa stageeeeeeeeeeeeeeeeee its
ZACHARIANO ALEXIDO jr🇹🇿
Nb, huyu ni mbongo, mwenye DNA ya tanzania na...
Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa.
Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power.
Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.