hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Responded Halmashauri ya Rungwe: Tumetenga Tsh. 400M kukopesha vikundi 37, wanatarajiwa kuingiziwa wiki hii

    Taarifa ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Halmashauri ya wilaya ya Rungwe imekuwa ikitoa Mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu Kila robo ya Mwaka wa fedha ambapo katika Robo ya Kwanza mwaka wa fedha 2026/27 Halmashauri imetenga kiasi cha Shilingi Miliion 400 kwa ajili ya...
  2. Kaka yake shetani

    Hii nchi inachekesha sana kwa sanaa za serikali ya CCM

    Kuna mda mwengine unajiuliza hivi hawa ndio viongozi au vichaa tuliopo nao wameshika daraka. Katika hii tume mpya watajitokeza maishi wa kulazimishwa kwa mateso na wengine wakulipwa kusema yale yaliyotokea tanzania nzima hakuna hata polisi wala serikali walikuwepo kwenye kuhusika. Watadai...
  3. M

    Changamoto kwenye matumizi ya application ya NMB Mkononi

    Tangu Asubuhi ya leo niamke nashindwa kufanya muamala yangu kupitia NMB MKONONI Kila nikiingia inaniletea mauzauza tu ambayo hata siyaelewi kama picha inavyojieleza. Mambo ya kuthibitishana sura yanatoka wapi tena nyie NMB??? Wekeni hii APP iwe rafiki kwa wateja wenu kutumia, la sivyo wateja...
  4. UMUGHAKA

    Wakuu kwa hiki nilichokiona Geita, Itoshe kusema hii nchi inatafunwa vibaya mno

    Usinchoshe na nsikuchoshe,Tusichoshane! Wakuu nipo hapa Geita kwa takribani siku kadhaa,kuna rafiki yangu mmoja yeye ni dereva wa magari makubwa ya mizigo yanayokwenda nchi za nje,wakati ananipigia simu kunipa hai alijua nipo Dar es salaam lakini nikamwambia kwa muda ule tulipokuwa tunazungumza...
  5. G

    Wahi hii ofisi inauzwa uanze biashara

    OFISI INAUZWA Nauza ofisi yangu ya Juisi na Bites ipo Dar kijichi. Kodi ya frem bado haijaisha. Bei ni 1.8M Ofisi Ina vitu vifwatavyo: 1. Freezer 200L 2. Blender na jagi 3. Mashine ya popcorn 4. Counter ndogo na shelf ndogo mbili 5. Viti viwili virefu 6. Benchi za mito nne 7. Meza ndogo nne 8...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    HOJA TANESCO na hii El nino mkinikatia umeme usiku mnene mpango wenu ni upi hasa. Niwe ndafu, Ama!?

    Asalam alyekum! Yote nini! Nimelala zangu. Naota zangu! Ndoto zangu! Naam kwa raha zangu. Baada ya shurba za mchana. Nimehangaika nyie! Nimeteseka nyie! Nimesagika nyie! Mchana wote mie nilikuwa kwenye hekaheka za kutafuta ugali. Sio mimi pekee bali wote walia na mungu, wavuja jasho...
  7. T

    Ukiwa Hivi Utaonekana Wa Hovyo Kwenye Hii Dunia

    Habari za Muda Huu Ndugu mwana JF Kama Katika Maisha yako Una Tabia Zifuatazo Utaonekana wa Hovyo Sana Na Usiyejitambua Na Dunia Itakuweka Pembeni Maana Haikutaki Unaharibu Mipango Yake 1. Usipoona Pesa Ndio Kila Kitu na Kuzitafuta Kwa Namna Yeyote ile (msemo wa Vijana Wa sasa) Yaani Wewe...
  8. GwajiBoy

    YAMAHA DT 175: Kwa mafundi pikipiki na wazoefu, Nipeni makadirio ya ufundi wa hii chombo

    Habarini wakuu, Kuna hii chombo ya mzee ilipumzishwa mwanzoni mwa 2000s, changamoto ilikuwa uchumi kuyumba akaamua aipaki kwa muda mwisho wa siku akashindwa kuirekebisha kabisa. Injini yake ilikuwa nzima kabla, naomba makadirio ya juu na ya wastani ya kuirekebisha bila kigusa injini. Tairi la...
  9. Dogoli kinyamkela

    baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena

    baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena
  10. Kaka yake shetani

    Kama kutafika 2030 basi hii Africa Mashiriki hawa wanaosema usalama wa taifa ni usalama wa CCM

    Ukiangalia kule haiti walikuwa na makundi ya kutishia serikali. Ila mnakumbuka kimbindi cha iddi amini kuvamiwa na Israel basi hizi nchi zetu ambazo funika kombe CCM na nchi zipite kuna siku zita kuja kufanyiwa jambo baya. Hesabuni siku nchi fulani.
  11. Crocodiletooth

    Nimeiangalia hii picha ikanifikirisha sana!...

    Southern Sudan president advisor on national security affairs Mr Tut Gatluak with the Russian ambassador Aleksandr Kosmodemyansky....At least Africa we are smart!...
  12. N

    Hii kulinda mgongo wako, ni wanaume tu walinde ama na wanawake pia?

    Wanawake wanafanywa njia ya haja kubwa, walioolewa wanawapa waume hiyo njia wakiamini wanaume hawatatoka nje ya ndoa...mabinti wadogo haswa wanafunzi nao wanaingiziwa huko ili wapewe macho matatu...madada wanapewa nauli za kwenda uchina kwa kuingiziwa huko... Sasa huko mtandaoni unakuta wamama...
  13. Dr. Zaganza

    Binti unapaka kipako gani? Tutajie na Bei. Nimependa hii set

    Tutajie kipako na bei. Nimependa hizi bidhaa ,cha kwanza zinatengenezwa mimea. Cha pili zinaandaliwa kwa kuzingatia ngozi ya mu-Africa uwezo wa Melanin (kizalisha rangi ). sebun (kizalisha mafuta ) na UV light ( kiasi cha jua kinachoweza athiri unyevu wa ngozi. kila kipodozi elf 15.Piga 0713...
  14. Echolima1

    Muonekano wa fukwe za jiji la Tel Aviv jioni hii

    Jioni hii ndani ya Tel Aviv 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱
  15. K

    Kama hii Safina ya Nuhu ni ya kweli atheist wote chali

    Kuna mijitu haiamini katika uwepo wa Mungu ipo ipo tu inajificha kwenye kivuli cha Uatheist. Ndugu zangu mmefeli sana. Katika hali ya kushangaza mabaki ya Safina ya Nuhu yamepatikana huko Uturuki katika mlima wa Alarati ambao ndo mlima ulioandikwa kwenye vitabu vya dini zote. Sasa ndugu yangu...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwa unatumia misemo na unamitazamo hii nisamehe, wewe ni zezeta;

    Hamjambo! Bila maneno mengi 1.Wote tutakufa. Mwisho wa yote ni kaburini. Kwanza hicho ni kitisho cha mtu aliyekata tamaa. Aliyefeli. Loser! Wenzako wanawaza kuishi wewe unawaza kufakufa. Umekata tamaa kiasi cha kusikitisha. Kauli hizi ni maarufu sana uswahilini, watu waliofeli, watu...
  17. F

    Wanaume wa aina hii wamepungua sana katika ulimwengu wa sasa

    Katika miaka yetu tunakua, ilikuwa kawaida kabisa mkulima akaoa mwalimu wa shule ya msingi Bado akatii na kumuheshimu mumewe asiye na elimu. Mwisho wa mwezi ukifika, mke huchukua mshahara wote anamkabidhi mume ndipo anapangiwa namna ya kutumia pesa hizo na uti na utulivu ulidumu ndani ya ndoa...
  18. M

    Huyu jamaa hata kama ni tapeli hakupaswa kuteswa namna hii. Sheria ilipaswa kufuata mkondo

    Acheni kutesa watu ninyi wana usalama
  19. Pascal Mayalla

    Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Wanabodi, Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania. Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi? Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM? Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
  20. J

    DC Shaka: Bodaboda Hassan Seleman kauwawa na kuwekwa kwenye kiroba. Tumewakamata watu 6 na kila aliyehusika na dhambi hii lazima akamatwe popote alipo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, ametoa taarifa ya kusikitisha kuhusu kupatikana kwa mwili wa kijana Hassan Selemani, mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa Kijiji cha Maguha, Kata ya Maguha, Wilaya ya Kilosa, ambaye alikuwa akijishughulisha na shughuli za usafirishaji kwa pikipiki...
Back
Top Bottom