hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Wakili Peter Madeleka katema sana shule humu kwenye hii podcast, watu wengi tunahitaji Elimu ya sheria

    Jamaa kaongea sana humu, watu wengi tunakosa maarifa https://youtu.be/u2aZFKR9NKQ?si=ZvTGb_CQ7YGspu3R
  2. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š...
  3. J

    Piga story yoyote kwenye picha hii.

    Piga story yoyote kwenye picha hii.
  4. M

    Bora Fatma Karume aka Shangazi alivyoachana na dunia hii

    Jambo gumu, utapoteza marafiki, utalaumiwa na wanaharakati, utalaumiwa na wanasiasa, vidole havikubali vitataka kuttype ktk social media. Jambo Zito. Lakini Fatma Karume amefanikiwa, hivi sasa amejikita zaidi ktk kumtumikia muumba wake, kuitafuta akhera yake na kuipa kisogo dunia. Ameiepuka na...
  5. Wanaume inabidi tukubali ukweli MCHUNGU kuhusiana na aina hii ya wanawake.

    Jambo moja kuhusu wanawake wanaopenda zaidi night party sherehe pamoja na unywaji wa pombe kuliko hata kuwajali baba zao ni kwamba, kwa namna fulani, huishia kuwa na ndoa very successful . Amini nakwambia ๐Ÿซต ๐Ÿซต ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ Tutajifanya tuwananga na kuwakejeli ila deep down kwa ground Hali ni tofauti...
  6. R

    Wapendwa hii kesi ya Lissu ya lini tena jamani?

    Hii ni kesi mpya au ni ile ya Kisutu ya zamani
  7. Na hii biashara ya kuuzia watu internet ndiyo ikoje?

    Nimeona sana promo za watu kuanzisha na kushawishiwa waanzishe biashara ya kuuza internet. Hii business ndiyo ikoje?
  8. M

    Pesa halali imekuwa ngumu sana nchi hii

  9. B

    Kenya yafungiwa kote kusafiri sababu Ebola

    10 November 2026 EBOLA ALERT IN KENYA https://m.youtube.com/watch?v=bkqiUh3Z1XY By Mercy Chelangat Africa CDC has called on Saudi Arabia to review its travel restrictions on Kenya, arguing that a country that detects and contains an imported Ebola case should be supported, not penalised. The...
  10. Wazazi wenye watoto wenye changamoto za kiafya au ukuaji, mnawezaje kuishi na hali hii kila siku?

    Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau. Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
  11. Huu wimbo umenigusa sana na nimeuweka maalum kwa Tundu Lissu kwa kipindi hiki kigumu anachopitia

    Nimejikuta naisikiliza kwa kujirudia the all night and asubuhi hadi sasa, nikiwa natafakari meengi ambayo yamekua yanaendelea hapa kwetu. Mungu akasimame na wale wote wanao pitia mambo magumu sio kwa kupenda kwao.
  12. Tovuti ya mahakama kama hii kesi ilikuwa kubwa kwa nini muweki kuwa mlifanikiwa kuhukumu.

    Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa. Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
  13. Tufanye amendment: Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akose sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa. hii itadhibiti tabia za wanasiasa Nchini

    Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu. Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
  14. Mkopo wa riba ya 10% "flat" kwa kweli ni takriban 18% kwa mwaka. Hesabu yake hii hapa

    https://youtu.be/MGQpSnlHZJU Unakopa TSh milioni 10, halafu unarejesha karibu milioni 19.4? Huu ni mfano wa mkopo wa miaka mitano, wenye riba ya 30% kwa mwaka (nominal), inayokokotolewa kwa salio linalopungua. Ukiulipa kwa awamu 60 sawa za kila mwezi, riba pekee ni karibu TSh milioni 9.4, bila...
  15. Kwanini ligi kuu Tanzania bara imesimama? Hii ni hujuma

    Kifurushi kinalipiwa 28,000 kwa mwezi kwa ajili ya match mbili tu? Hapo bongo sijui wanawaza nini au mamlaka sinafanya kazi gani zipo zipo tu zinawaza upigaji, ligi mara ya mwisho imechezwa tarehe 2 Simba na Namungo, ila calendar ya fifa inaanza kesho tarehe 09/10 takribani siku 10 hakuna...
  16. Ujinga zingine ziko kwa DNA ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ

    UJINGA ZINGINE ZIKO KWA DNA ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† NI NGUMU KUWATOA WAFUASI WA HUYU KWA HUYU .......APELI Najua kuna watu bado na hii wataamini ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ
  17. Natatuaje hii changamoto?

    CC: Moderator
  18. M

    Bara Kuna Uncle T na Visiwani Kuna Mauzinde: Hii vita bado ni Ngumu

    Nenda kajionee mwenyewe katika Instagram Akaunti zao uone watu wakubwa na Maarufu wanaowa-Follow kwenye Instagram Akaunti zao wenye jinsia ya kiume na wale ambao wao kina Uncle T na Mauzinde wanawa-Follow katika akaunti zao au biashara zao zinazomilikiwa na Wanaume. Ndiyo maana sikushangaa...
  19. Hii ndio sababu kwanini wanawake wa mbeya wanamiguu yenye nunduu nyuma

    Nimefika hapa jijini mbeya ninamuda wa Wiki kadhaa hapa baada ya kukaa hapa kwa hizi siku nimejua kwanini wanawake wa mbeya by original wanamiguu yenye nundu kwa nyuma hii ndio sababu maeneo mengi ya jiji la mbeya ni milima hivyo wanawake hulazimika kupanda milima kufata huduma za kikajamii kila...
  20. M

    Hii ni maajabu.

    Unashtakiwa kwa kosa la kuiba ng'ombe mwishowe unafungwa kwa kosa la kuendesha gari ukiwa umelewa. Wakati huo Jaji yupo comfortable kukusomea kifungo. Hii ni maajabu kweli kweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ