Usinchoshe na nsikuchoshe,Tusichoshane!
Wakuu nipo hapa Geita kwa takribani siku kadhaa,kuna rafiki yangu mmoja yeye ni dereva wa magari makubwa ya mizigo yanayokwenda nchi za nje,wakati ananipigia simu kunipa hai alijua nipo Dar es salaam lakini nikamwambia kwa muda ule tulipokuwa tunazungumza...