gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Palac

    Way back kwasasa viboko vimeondolewa mashuleni je ni tukio gani unalikumbuka uliwahi tenda ukiwa shule mpaka kengele ya dharula kugongwa

    Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
  2. Dogoli kinyamkela

    Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭

    Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭
  3. K

    Je mafuasi na machawa ya samia kwa uelewa wenu kisaikolojia yana hali gani baada ya kuhumu ya mchongo kwa lissu jana?

    Sote tunafahamu kuwa lissu alishtakiwa kwa uhaini ambapo mafuas na machawa ya samia humu jf na kwingineko yakaanza kuimba wimbo mhaini dawa yake ni kunyongwa tu, "of course machawa haya wakati yalipokuwa yakiimba wimbo kuwa dawa ya lissu ni kunyongwa tu mimi binafsi niliyaona mehu maana nikiwa...
  4. econonist

    Jaji Ndunguru anachekesha sana

    Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana. 1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
  5. K

    Vichekesho: Tulipata hukumu mitandaoni Mahakama gani hii?

    Walienda Lushoto kukaa na kupata maelekezo hayo . Hawajui kwamba ndiyo wameuwa Mahakama yao
  6. Rungwe88

    Samia vua vazi la ushungi na juba, unalishusha heshima kwa matendo yako.

    Naandika hii baada ya kuona hukumu ya kufungwa miaka minne kwa Mh Tundu Lisu. Lakini ukiona aina ya hukumu hiyo imekaa kisiasa ikiwa ni kama kumkomoa au kumkomesha ili ashindwe kufanya shughuli zake za kisiasa na kijamii. Sasa swali ni kwamba huo ushungi na majuba yana maana gani anapovaa...
  7. K

    VIDEO: Luhaga Mpina atuma makombora mazito kwa Samia: "Umeua watu eti wametaka kukupindua, kwani ukipinduliwa we kuna shida gani ??"

    https://youtu.be/Rb1zzjsgDAc?t=2360 SASA UKIPINDULIWA NDIO UUE WATU ?????? UKIPINDILIWA UNARUDI NYUMBANI. UKIPINDULIWA WE KUNA SHIDA GANI ??? Watu wamechoka na ukandamizaji aiseee... Watanganyika wanazidi kuendelea kuamka kila uchwao.....
  8. ngorokori

    "UTUMIE UJANA WAKO VIZURI KABLA YA UZEE WAKO, UJANA WAKO NDIO UTAKAO AMUA UZEE WAKO UISHI NAMNA GANI"

    Umeshawahi kusikia mzee au watoto wa mzee Fulani wanatoa lawama kuhusu Ujana wa Baba yao ulivyogharimu maisha yao? Ndugu zangu sehemu ya ujana wetu Ina nafasi kubwa sana ya kuamua ni aina gani ya maisha utayaishi katika sehemu ya maisha yako ya uzee. Usibiri mbaka uzee ukufike ndy uanze kujutia...
  9. Mstahiki Mea

    Madereva Wa Tanzania mna matatizo Gani? Ulevi? Ujinga?

    Huwa ni ajabu sana kumaliza wiki hujasikia ajali Tanzania. Tofauti na chi nyingine ambazo vifo vya ajali ni vichache sana Madereva wa Tanzania mna matatizo gani ? Unakuta dereva anaendesha huku anaongea na Simu, au amelewa au ana ovoer take sehemu isiyo sahihi au hafuati sheria za barabarani Je...
  10. Desierto

    Hii ndoto inamaana gani? ndoto nyingi nilizoleta humu zilikuwa na maana kulingana na wadau waliozitafsiri

    Kuna ndoto niliwahi zileta humu kulingana na tafsiri za wadau nyingi zilileta maana. Leo nimeota hivi usiku. Nilikuwa mm na mke wangu na mdogo wangu wa kiume ambaye pia naishi nae huku nilipo sasa tulikuwa tumetokea mjini tunatembea na mguu tunarudi kwenye mitaa tunayoishi. Sasa njiani...
  11. N

    VIDEO: Hili shangwe la Shaka!! Shaka Hamdu!! Shaka!! linatupa picha gani sisi wengine wenye mamlaka?

    Maana halisi ya kiongozi ni mtu anayewaongoza, kuwaelekeza, kuwahamasisha na kuwajibika kwa ajili ya watu anaowaongoza ili kufikia lengo au maono fulani. Kiongozi si mtu mwenye cheo au mamlaka tu, bali ni mtu mwenye uwezo wa kuonyesha njia, kutoa mfano mzuri na kubeba wajibu wa maamuzi yake...
  12. N

    Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya Mkoa husika. Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  13. D

    Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  14. The Dictator

    Girls be honest, ni kitu gani kimoja ambacho wanaume wanacho mnaokionea wivu?

  15. Manyanza

    Teknolojia imebadilisha maisha yetu kwa kiwango gani?"

    Wakuu, Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadilisha kwa kiasi kikubwa namna binadamu tunavyofahamiana, kuwasiliana, kufanya biashara na kuendesha maisha yetu ya kila siku. Miaka kadhaa iliyopita, kumfahamu mtu aliyeko Marekani, Nigeria, Uingereza au hata mkoa mwingine wa Tanzania...
  16. U

    Ndugu zangu Wasabato naomba mtueleze siku ya Jumapili ina maana gani kiroho kwenye imani yenu? je ukisikia Jumapili mnajisikiaje mioyoni mwenu?

    Hamjamboni nyote? Tuwape nafasi Wasabato pekee tafadhali. Ukisikia Jumapili inatajwa huwa mnajisikiaje?
  17. M

    Tukiachana na wamasai ni kabila gani lingine ni vigumu kumuona mtu mwenye ulemavu aliozaliwa nao

    Kuna wengine ?
  18. tucker carlson

    Ni kitu gani ulinunua kutokana na Presha ya ndugu na marafiki ila baadae ukajikuta hukitumii kabisa?

    Mimi najuta kabisa kununua TV. Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda...
  19. Yoda

    Vitu gani vitatu ungekuwa na uwezo ungeviondoa kuifanya Tanzania kuwa bora ?

    Ondoa vitu vitatu kuifanya Tanzania kuwa bora 1. CCM 2. Dini 3. Machawa 4.Ushoga 5. Rushwa 6. Muungano 7. Ukosefu wa ajira 8. Gharama kubwa za maisha 9. Uoga
  20. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
Back
Top Bottom