gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kama Serikali inawapoteza Vijana wenye maono kama haya wanataka Taifa la aina gani?

    Wakuu, habari za muda huu. Nimekutana na kipande hiki cha video cha kumbukumbu cha mwanaharakati na kiongozi wa vijana, Twaha Mwaipaya, ambaye mpaka sasa bado hajulikani alipo tangu ripoti za kutekwa kwake mwishoni mwa Oktoba 2026. Katika video hii, Mwaipaya anasikika akitoa msimamo mzito kuwa...
  2. Waufukweni

    Rais Samia: Tumezoea kutoa leseni, mameli ya wageni yanakwenda yanavua, hatujui yamevua kiasi gani

    Rais Samia Suluhu ameiagiza wizara ya Uvuvi kufanya mabadiliko ya haraka katika sera ya uvuvi, hususan wa bahari kuu, ili kukomesha utaratibu wa meli za kigeni kuvua samaki nchini na kuondoka nao bila uwajibikaji wala taarifa kamili za kiasi kinachovunwa. Akizungumza Novemba 27, 2026, wakati...
  3. Lamomy

    Ni member gani wakiwa couple wana-match kwa mtazamo wako?

    Hello mambo vipi wakulungwa 😹 Tusichoshane, kwa mtazamo wangu Gunner11 a.k.a Chiwawa na SweetyCandy a.k.a Da Mau Hawa viumbe wana sayari yao inayofanana, wana tabia za kufanana. Mpaka nyuzi na kujiliza kwa kufanana…!! Kwangu hawa wakiwa couple JF itasimama 😹😹😹 NB: Couple itakayoainishwa...
  4. Kazanazo

    Nataka kujua, endapo chadema mkichukua nchi mtaiendesha kwa mlengo gani?

    Hapa nazungumzia ubepari na ujamaa, nataka nijue chadema sera zao ni za mlengo gani. Tunaona nchi kwa sasa chini ya ccm imekuwa ikionesha kwa vipindi kuwa haijafungamana na upande wowote endapo, kuna kipindi akiingia rais huendesha nchi kwa sera za kijamaa kama vile karudisha nguvu ya taasisi za...
  5. PAYE

    Ni tabia gani ambazo mtu akiwa nazo si rahisi kufanikiwa kwenye maisha?

    Eti Wakuu Hivi ni tabia gani ambazo mtu akiwa nazo si rahisi kufanikiwa kwenye maisha...?
  6. Isenye

    Hivi nyie wenzangu mnatumia mbinu gani kula pesa za wanawake?

    Niaje wana jf! Nina mwanamke ni mbahiri sijawahi kuona. Pesa zangu tunatumbua wote, ila zake sijawahi kujua zinaenda wapi. Sasa nataka mnipe mbinu na mimi niwe nakula pesa za huyu mpare, haiwezekani hata nikifulia nikamwambia aniazime pesa kidogo anasema hana. Kiuchumi sio kwamba yuko...
  7. C

    Unatumia kigezo gani kumkopesha mtu

    Je mtu anapotaka umkopeshe hela au bidhaa kwenye biashara yako, kama anachitaka kukopa unacho kweli ni kigezo gani unatumia kujua napaswa kumkopesha mtu fulani kiwango fulani ?
  8. Kazanazo

    Hivi kuna faida na raha gani binadamu kumtawala binadamu mwenzie?

    Hiwe kundi moja la kikabila, dini, rangi, dhehebu, chama nk kulitawala lingine haliyakuwa wote ni binadamu Kwa wanyama porini huwa kuna ambao wanakula wenzao ndio maana wanatawaliana kutokana uhai wa mnama mmoja unategemea kifo cha mnyama mwingine. Hali hiyo ni tofauti kwa binadamu ambapo huwa...
  9. K

    Biashara gani nzuri ya kuanzia kama kijana unayejitafuta

    Nina 1Milioni but nashindwa nifanye biashara GANI naomba usaidizi wenu ili nipate mwangaza kidogo wa mahali pa kuanzia. Nipo zangu Arusha
  10. Yoda

    Utachukua hatua gani kwa mtu wako wa karibu anayekusudia kutoa kafara ya binadamu?

    Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
  11. M

    Bima ya kampuni Gani ni nzuri nautatibiwa hospital zote

    Wakuu msaada wenu nataka kukata bima ya afya nauliza kampuni ipi ya bima ni nzuri ambayo utahudumiwa mpaka hizi hospital kubwa aga Khan,regency,muhimimbili Bima ambayo itacover magonjwa yote makubwa na operation kubwa kubwa
  12. Insidious

    HOJA Malipo ya Kidijitali Yanatia Sana Shaka: Kuna Faida Gani ya Mfumo Usiofanya Kazi Kila Mara?

    Kuanzia Januari, Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfumo wa malipo ya kidijitali kwa shughuli zote. Hata hivyo, kuna swali najiuliza: Je, tunawezaje kuhamia kwenye mfumo wa malipo ya kidijitali kwa asilimia 100 wakati watoa huduma za kifedha na mitandao ya malipo wamekuwa na hitilafu za...
  13. M

    Changamoto kwenye matumizi ya application ya NMB Mkononi

    Tangu Asubuhi ya leo niamke nashindwa kufanya muamala yangu kupitia NMB MKONONI Kila nikiingia inaniletea mauzauza tu ambayo hata siyaelewi kama picha inavyojieleza. Mambo ya kuthibitishana sura yanatoka wapi tena nyie NMB??? Wekeni hii APP iwe rafiki kwa wateja wenu kutumia, la sivyo wateja...
  14. PAYE

    Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?

    Najua tumetofautiana changamoto za kiuchumi kulingana na mahitaji, malengo n.k lakini ikitokea kazi ya kumaliza shida hii...Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?
  15. N

    Mazao gani ambayo haya haribiwi na ngedele na nyani?

    Habari? Nina shamba langu lipo Tanga kando ya mto mkurumuzi , Kunachangamoto ya ngedele kila zao unalo lipanda wana kula na kufanya uharibifu , Je? Nipande zao gani ambalo nitavuna bila shida au njia za kitumia kuthibiti hao ngedele
  16. Seran

    Hivi kubanwa msuli kunasababishwa na kitu gani?

    Nauliza hili jambo limekuwa geni kwani, mara ya kwanza(2018)nilipiga yowe, nilihisi nimefyatuka mguu! Jana tena nimefanya kujinyoosha mguu msuli ukakaza kama dk.4 hivi nilihisi kuchanganyikiwa nimejikaza ukaachia, sasa tangu jana mguu wa kushoto unaniuma. Hali hii inasababishwa na kitu gani...
  17. M

    Msanii gani anakukosha kwa kalamu yake ya uandishi? Anastahili sifa ya kioo cha Jamii

    Siku hizi ni kama ule msemo wa Msanii ni kioo cha jamii imebadilika kabisa, wasanii wengi wamekuwa Vyoo vya Jamii, nikimaanisha wanayotoa ni takataka kwa jamii hayaisaidii jamii bali yanaingamiza, wamekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu wa maadili na kuongeza misamiati ya matusi mitaani. Wengi...
  18. M

    Mzazi wako alikuagiza kitu gani ukaona anazingua?

  19. Dr. Zaganza

    Binti unapaka kipako gani? Tutajie na Bei. Nimependa hii set

    Tutajie kipako na bei. Nimependa hizi bidhaa ,cha kwanza zinatengenezwa mimea. Cha pili zinaandaliwa kwa kuzingatia ngozi ya mu-Africa uwezo wa Melanin (kizalisha rangi ). sebun (kizalisha mafuta ) na UV light ( kiasi cha jua kinachoweza athiri unyevu wa ngozi. kila kipodozi elf 15.Piga 0713...
  20. Yoda

    Bila dini ungekuwa mtu wa aina gani ?

    Bila dini ungekuwa mtu wa aina gani katika jamii na ukiishi maisha gani ? Unafikiri ungekuwa mbakaji, jambazi, mwizi, muuaji, pedophile, mtukanaji shoga, mlevi, tapeli, mtekaji, wasiojulikana, muuza dawa za kulevya, Teja, mfanya ngono holela na kila mtu hadi na wazazi wako na ndugu zako...
Back
Top Bottom