ELITE HOME TUITION tumefungua rasmi usajili wa huduma za HOME TUITION kwa likizo hii!
Mzazi, huu ndio wakati sahihi wa kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako. Badala ya kutumia likizo yote kucheza na kutazama televisheni, mpe nafasi ya kujifunza, kukuza vipaji, kuongeza uwezo na kujiandaa kwa...
Watu gani walitabiriwa hawataonja mauti kabla Bwana hajaja mara ya pili
Ni wakina nani ambao Bwana alisema hawataonja mauti mpaka atakapokuja?
Yesu akiwa anafundisha watu katika eneo la Kaisaria Filipi, ambalo liko karibu kilomita 25 hivi kutoka mlima Hermoni, aliwatangazia mitume wake jambo...
Leo nilikwenda kununua soundbar bei kitonga..
Sasa kufika eneo husika(kariakoo) nilikutana na kijana mmoja in his mid 20s kama sikosei..
Alikuwa na simu kubwa iPhone hizi 17... Japo sio latest ila ni gharama kwa nafasi alivyo kuwa, Sidhani kama ana familia yule kijana.
Nilipo muuliza bei...
Kesi ya uhaini inayokuikimkabili Tundu Lissu, upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 17, ambapo tisa walikuwa mashahidi waliolindwa kwa kufichwa utambulisho wao. Miongoni mwa mashahidi waliotajwa hadharani ni ACP George Bagyemu (PW1), aliyekuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi, na ACP Amini...
Watu wa maana, bila hawa dunia isingekalika.
Wakulima:- hawa uhakikisha jamii inapata chakula cha kutosha,matunda pamoja na mali ghafi za viwandani.
Wafugaji:- hawa uhakikisha jamii inakula nyama na bidhaa zingine kutumika kama malighafi viwandani.
Wamiliki wa viwanda:- hawa uhakikisha jamii...
Lifestyle ya uongozi wa sasa wa chama na serikali yake ni KUTEKA wanaowakosoa.
Order of the day imekuwa leo mteke yule kesho tumeni watu Kenya wakateke wanaotukosoa, hawajihangaishi na maendeleo ya nchi, zaidi ya hapo wanawaza uchaguzi wa 2030.
Hadi leo nchi imeteka wangapi mbona magereza...
Kuna maswali najiuliza majibu sipati, ila JF siku zote ndipo yalipo majawabu.
Kuna huyu kijana kila nikichungulia Morning trumpet ndio muda wangu wa kuangalia tv ni asubuhi nakuta mchambuzi mwaliko ni huyu Godfrey Mchungu.
Shida yangu ni moja, kuna wachambuzi manguli kama Abdulkarim Atiki...
Swali liko wazi. Kuna msemo wa kipumbavu kuwa heri kuzaliwa paka Ulaya kuliko binadamu Afrika.
Sijui kama bado una mashiko hasa pale ambapo Afrika inaanza kuikimbiza ulaya japo bado kuna baadhi ya wenzetu wanaikimbia. Je ungekuwa unazaliwa upya, ungependa au kutamani uzaliwe nchi gani na kwanini?
Kuna baadhi ya makabila kama vile wachaga na wahaya hupenda kujenga mahekalu vijijini mwao. Si jambo baya. Ila kipi utafanya. Utajenga jumba la kifahari kijijini na kuwa mpangaji mjini au utaanza kujenga mjini unakohangaikia na kuishi muda mrefu?
Nini faida na hasara za haya mambo mawili kama...
JITU LINAJIJUA NI LIMCHEPUKO(BIDHAA ya MAGENDO) ALAFU LINADAI NILIPE HAKI. HAKI GANI KIROBOTO WEWE.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Kwanza ujue wewe ni bidhaa ya magendo. Hilo liweke Akili.
Kama uliwahi kuona Bangi inauzwa Famasi au Duka la dawa muhimu Dai haki zako.
Mimi ni Mhuni kwako kwa...
Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku?
Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
Kwa utulivu wa fikra,
elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza.
Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
gani
hali
hata
kamwe
kilio
kujikomboa
kujikwamua
kulia
kuomba
kusaga
kusaga meno
kutoka
kutumia
kwenda
mbaya
meno
mlango
msaada
mtakuja
mtego
nchi
vijana
Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.