gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Nimeona huu mtindo wa ndugu Kiranga akiwa na mazoea ya kuuliza hili swali kila linapotajwa Jina la Mungu hapa JF, na swali lake ni lile lile miaka yote "thibitisha Mungu yupo" Sasa swali tunamrudishia yeye, je akisikia, kuona, kusoma neno "Mungu" anapata tafsiri Gani katika uelewa wake, je...
  2. G

    Majina haya kwenye tangazo hili yakupa picha gani kwa Tanzania ya sasa?

  3. Likizo imeanza ya Miezi miwili umemuandalia programme gani mwanao au unahitaji ashinde kwenye game na television?

    ELITE HOME TUITION tumefungua rasmi usajili wa huduma za HOME TUITION kwa likizo hii! Mzazi, huu ndio wakati sahihi wa kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako. Badala ya kutumia likizo yote kucheza na kutazama televisheni, mpe nafasi ya kujifunza, kukuza vipaji, kuongeza uwezo na kujiandaa kwa...
  4. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    ๐—™๐—ฅ๐—ข๐—  ๐—ฃ๐—”๐—ฌ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง๐—ฆ ๐—ง๐—ข ๐— ๐—”๐—ฅ๐—ž๐—˜๐—ง๐—ฆ: ๐—๐—˜, ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐——๐—œ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ญ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”? ๐˜”๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข 2025 ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข (๐˜—2๐˜‰) ๐˜ฏ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ข ๐˜›๐˜ก๐˜š ๐˜ต๐˜ณ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 37.52 ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 2.30, ๐˜ด๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ฌ๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 16 ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข. ๐˜ž๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข...
  5. 5000 CEDIS NI KIASI GANI KWA Tsh?

    Nina 5000 cedis ,hii ni sawa na pesa ngai kwa bongo?
  6. Kazi za DPP zinapimwaje? Ni wakati gani unafaa atenguliwe?

    Kila kazi ina vipimo vyake (KPIs), hii nafasi ya DPP inapimwaje performance yake? Je, anaweza kutenguliwa kama akionekana anapwaya kwenye nafasi yake?
  7. J

    Watu gani walitabiriwa hawataonja mauti kabla Bwana hajaja mara ya pili

    Watu gani walitabiriwa hawataonja mauti kabla Bwana hajaja mara ya pili Ni wakina nani ambao Bwana alisema hawataonja mauti mpaka atakapokuja? Yesu akiwa anafundisha watu katika eneo la Kaisaria Filipi, ambalo liko karibu kilomita 25 hivi kutoka mlima Hermoni, aliwatangazia mitume wake jambo...
  8. Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Leo nilikwenda kununua soundbar bei kitonga.. Sasa kufika eneo husika(kariakoo) nilikutana na kijana mmoja in his mid 20s kama sikosei.. Alikuwa na simu kubwa iPhone hizi 17... Japo sio latest ila ni gharama kwa nafasi alivyo kuwa, Sidhani kama ana familia yule kijana. Nilipo muuliza bei...
  9. HEBU TUWAFAHAMU MASHAHIDI WA SIRI KATIKA KESI YA TUNDU LISSU,NI NANI NA WALITOA USHAHIDI GANI?

    Kesi ya uhaini inayokuikimkabili Tundu Lissu, upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 17, ambapo tisa walikuwa mashahidi waliolindwa kwa kufichwa utambulisho wao. Miongoni mwa mashahidi waliotajwa hadharani ni ACP George Bagyemu (PW1), aliyekuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi, na ACP Amini...
  10. Upo kundi gani kati ya hawa watu wa maana?

    Watu wa maana, bila hawa dunia isingekalika. Wakulima:- hawa uhakikisha jamii inapata chakula cha kutosha,matunda pamoja na mali ghafi za viwandani. Wafugaji:- hawa uhakikisha jamii inakula nyama na bidhaa zingine kutumika kama malighafi viwandani. Wamiliki wa viwanda:- hawa uhakikisha jamii...
  11. Je, Tundu Lissu katenda kosa la uchochezi katika kipindi gani?

    Tunachojua kosa lazima lijulikane limetendeka lini.. Je, hilo kosa la Tundu Lissu hadi anafungwa, alilitenda lini?
  12. Q

    Tangu waanze kuteka, nchi imepata faida gani, wamemfunga Lissu CCM imenufaika na nini.

    Lifestyle ya uongozi wa sasa wa chama na serikali yake ni KUTEKA wanaowakosoa. Order of the day imekuwa leo mteke yule kesho tumeni watu Kenya wakateke wanaotukosoa, hawajihangaishi na maendeleo ya nchi, zaidi ya hapo wanawaza uchaguzi wa 2030. Hadi leo nchi imeteka wangapi mbona magereza...
  13. Azam tv, Utv Channel mna deal gani na huyu Godfrey Mchungu? Mbona mtupu kabisa kichwani?

    Kuna maswali najiuliza majibu sipati, ila JF siku zote ndipo yalipo majawabu. Kuna huyu kijana kila nikichungulia Morning trumpet ndio muda wangu wa kuangalia tv ni asubuhi nakuta mchambuzi mwaliko ni huyu Godfrey Mchungu. Shida yangu ni moja, kuna wachambuzi manguli kama Abdulkarim Atiki...
  14. F

    Kama ingekuwa inawezekana kuzaliwa upya, ungependa uzaliwe nchi gani?

    Swali liko wazi. Kuna msemo wa kipumbavu kuwa heri kuzaliwa paka Ulaya kuliko binadamu Afrika. Sijui kama bado una mashiko hasa pale ambapo Afrika inaanza kuikimbiza ulaya japo bado kuna baadhi ya wenzetu wanaikimbia. Je ungekuwa unazaliwa upya, ungependa au kutamani uzaliwe nchi gani na kwanini?
  15. F

    Kuna busara gani kujenga jumba la kufa mtu kijijini halafu ukapanga mjini?

    Kuna baadhi ya makabila kama vile wachaga na wahaya hupenda kujenga mahekalu vijijini mwao. Si jambo baya. Ila kipi utafanya. Utajenga jumba la kifahari kijijini na kuwa mpangaji mjini au utaanza kujenga mjini unakohangaikia na kuishi muda mrefu? Nini faida na hasara za haya mambo mawili kama...
  16. Jitu linajijua ni limchepuko(bidhaa ya magendo) halafu linadai nilipe HAKI. haki gani kiroboto wewe

    JITU LINAJIJUA NI LIMCHEPUKO(BIDHAA ya MAGENDO) ALAFU LINADAI NILIPE HAKI. HAKI GANI KIROBOTO WEWE. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Kwanza ujue wewe ni bidhaa ya magendo. Hilo liweke Akili. Kama uliwahi kuona Bangi inauzwa Famasi au Duka la dawa muhimu Dai haki zako. Mimi ni Mhuni kwako kwa...
  17. Kwa wewe ambae una uwakala wa fedha, unatumia mfumo gani wa kufunga hesabu yako kila siku?

    Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku? Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
  18. Basi gani Zuri Dar Iringa?

    Kuna dogo anaenda chuo Iringa hapa basi gani lina uhakik
  19. Ni kwa kiasi gani uhuru wa mahakama ya Tanzania unachochea ustawi wa demokrasia na utawala bora Tanzania

    Kwa utulivu wa fikra, elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
  20. D

    "..............is following you" Ina maana gani wakuu?

    Isijekuwa ni mossad mara unaamka unakuta hao wamefika mlangoni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ