Wanawake acheni uvivu. Hakuna mwanaume aliezaliwa kuwahudumia nyie

Wanawake acheni uvivu. Hakuna mwanaume aliezaliwa kuwahudumia nyie

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Mwanaume pia ni mtoto wa mtu.
Mliskia wapi bibilia ikisema mwanaume atunze mwanamke na mwanamke asimtunze?
Mke ni msaidizi wa mwanaume; so pia mwanamke amtunze mumewe,ndoa ni kusaidiana muache uvivu na kuwapa mizigo wanaume.
Gender balance mbayolalamikia, ina maana gani?
Mwingine amekaa tu hapo na ana uwezo wa kufanya kazi; akiitiwa kazi haendi eti yeye atatunzwa tu.
Akomae atunzwe, ila matunzo anayosubilia asiyapigie hesabu sasa.
Wengine wanafanya kazi, na hata kiberiti hawezi nunua eti anangoja mwanaume alete hata akichelewa kufika. Hata chakula tu hawezi pika kwa pesa yake; sasa huyu ndio alichanganyikiwa, that's why waume zenu wanaishia kwa michepuko.
Sometimes wanaume hawa wanahitaji msaada, na ndo maana mkaitwa wasaidizi, japo kwa sasa hamuelewi mnachokitaka. Ukiwa na uwezo wa kufanya kitu as a woman just do,a man will never tell you eti anahitaji Masada. Ni wewe utumie akili; Mnajiliza kwenye ndoa zenuuuuu, mnataka kulelewa kama watoto ?As long as mwanaume hakupigi na hakudhulumu haki yako funga mdomo. Pokea tu unachopewa, maana ndo unachostahili.
Akikosa kukidhi mahitaji yako yote we ujue hana huo uwezo huenda hajapata chochote kitu.

Wanawake, ukiona mwanaume wako ni hurstler he's also struggling na hizo pesa hazitoshi mahitaji yenyu, ni muda na wewe ujitume hata kama ni mboga panda uuze.

Uwe wa msaada kwa mwanaume, siyo mzigo.
Punguzeni kamdomoeti mimi amenioa lazima anishugulikie okay no problem,
what if afike mahali akose hiyo kazi kabisaa mtamla mshibe? Wanawake mjitume,wewe mwenyewe umelelewa na wazazi wako wakihangaika wote wawili ndio ule na mambo mengine.
Halafu sasa wewe uko hapo heti nimeolewa wanilee, mengine eti yanahitaji mwenye hela, wakati hata chupi huwezi jinunulia. Uliskia wapi? Jitume dada dunia ni ngumu,ndoa sio daycare ni kusaidiana ulete kidogo mkusanye na mme wako mjiendeleze kwa pamoja.
Ila dada zangu sina ubaya mkikasirishwa na hili, njooni mnidunde.

Kwanza msinipige sijisikii vizuri mtaniua
 
Back
Top Bottom