VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Mke na Mume walimfuata mchungaji kuomba awasaidie kuvunja ndoa, walichokana, na muda wote walikuwa wakiona mabaya tu toka kila upande. Wakakubaliana kuachana ila kikwazo kikawa wamefunga ndoa ya Kikristo( Kanisa) ambayo kifo tu hutenga, WAKAONA WAJARIBU BAHATI PASTOR WAO AWASAIDIE WAACHANE.
Mchungaji akawapa kila mmoja kipande cha karatasi akawaambia KILA MMOJA AANDIKE MAMBO MATANO MAZURI AU MEMA, AMBAYO ANADHANI MWENZAKE ANAYO, kila mtu akaandika kisha akawaambia wabadirishane zile karatasi, WAKAISHIA KUCHEKA NA MCHUNGAJI AKAWAAMBIA SASA NENDENI KAANZENI NA MAMBO HAYO MEMA MATANO, NA NDOA IKAPONA.
Sisi sote ni binadamu tuna madhaifu mengi na mapungufu, WAKATI MWINGINE NI VIZURI KUSAMEHEANA NA KUANGALIA JEMA MOJA NA KULISHIKA HILO KULIKO KUMSHIKILIA MTU KWA UBAYA UTADHANI HANA HATA JAMBO ZURI HATA MOJA.
Nimeona watu wanaong'ang'ania wenzao kwa mabaya tu, muda wote wamejaa uchungu, kelele, roho mbaya na huwa hawafanikiwi. MWANADAMU NI KAMA MTI, ACHA KUHANGAIKA NA MIIBA YAKE WEWE CHUMA MATUNDA TU, KULA NENDA UKASTAWI, MIIBA HAIKUHUSU NI MAALUMU KWA ADUI ZAKE. SHIKA LILILO JEMA TENDA JEMA