ndoa

  1. General Nguli

    Uhusiano (mawasiliano) hafifu wa koo na ndugu kati ya wana ndoa hakuleti shida lihali Kuna uvumilivu ndani ndani yenu...?

    Wakuu nauliza Kitibeli..?
  2. Damaso

    Ndoa ya D Voice na Lulu Diva: Dini dhidi ya Maadili ya Kiislamu

    Hatimaye msanii D Voice, amefunga ndoa ya Kiislamu na msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Lulu Diva. Hatua hii ya heri imepokelewa kwa pongezi nyingi kutoka kwa mashabiki na wadau wa burudani, ikionekana kama mfano bora wa vijana kuamua kuishi maisha ya halali na kukamilisha nusu ya dini yao. Hata...
  3. C

    Jinsi Show ya Fally Ipupa inavyotaka kuvunja ndoa yangu

    Yaani ni Bora fally asingekuja maana wife anataka either niende nae kwa fally au nibaki home tuangalie kideoni na mm tayari nililipia VIP na washkaji zangu nilimpanga mchepuko wangu tukaenjoi nae rhumba Sasa wadau nisaidieni hapa nafanyaje kwenye hili?
  4. lord atkin

    Nini kinafanya wanawake wa siku hizi kutotaka ndoa?

    Ninaona kuna trend imeibuka na inakuwa kwa kasi ya wanawake wengi hasa mijini kutotaka kuingia kwenye ndoa. Imekuwa kawaida kukutana na mwanamke ana miaka 33 au 34 hajaolewa na hana mpango huo. Ni nini kinasababisha hali hii? Je ni mihangaiko ya maisha? Je wanawake hawaoni faida tena ya ndoa?
  5. Liu Yun

    Baadhi ya Wanaume walio kwenye ndoa wanapata changamoto ya wake zao kukosa hisia

    Wanaume wengi walio kwenye ndoa wanapata changamoto kwa wakezao kukosa hisia za kufanya mapenzi. Wakezao wamekuwa wakitafuta mbinu za kuwatolea nnje waumezao.... Kama kusema "Sijielewi nimekuaje, najikuta Sina hisia za kufanya hivi" "Mara nimechoka". Wanaume wangapi wamekutana na Changamoto...
  6. M

    Ndoa ni muunganiko wa familia mbili, Ni kero gani umewahi kuipata kutoka ndugu wa mwenza wako kwenye ndoa yenu ?

    ndugu wanaojazana nyumbani Yote kwasababu umemuoa ndugu yao Ndugu wanaomchochea mkeo muachane kwa ajili ya mali Ndugu wenye tamaa huanza kumshinikiza mkeo akusanye nakala za hati za nyumba, viwanja, kadi za magari, au taarifa za akaunti zako za benki kwa siri ili wajiandae na kesi ya mgawanyo...
  7. Kazanazo

    Toka mke wangu awe na ujauzito imekuwa ngumu kupata michepuko

    Hii kwangu ni faida na hasara Faida: ninatunza sparms zangu kuja kupata mtoto mwingine huyu akizashazaliwa, uchumi unakuwa pia pesa za kuhonga karibia 200k kwa mwezi zinaenda Moja kwa moja kwenye mipango Hasara:hisia zitaniua maana kila ninaemtongoza hanitaki wala michepuko ya zamani...
  8. M

    Mwanamke mwenye kiburi na dharau, siku Mmeo akichoka utajua tu ! utahaha kusuluhishwa, kwa waganga, maustadh na wachungaji lakini it will be too late!

    Inauma sana kuona jinsi ambavyo huko mitandaoni mmepata watu mnaowaona kama mifano ya kuigwa, kumbe taratibu wanawapa njia za kubomoa ndoa zenu bila ninyi wenyewe kutambua. Inasikitisha kwa sababu wengi wao ndoa zao zilishavunjika zamani, na mioyoni mwao hawafurahii kuona ndoa zenu zikisimama...
  9. Jannatul Firdaus

    Mkurugenzi mkuu wa NIDA: Kama huna NIDA, hakuna ndoa

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza rasmi kuwa kuanzia sasa, mwananchi yeyote nchini hataruhusiwa kufunga ndoa endapo hatakuwa na Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Tamko hilo limetolewa hivi karibuni na Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  10. Waufukweni

    Mkurugenzi Mkuu NIDA, Kaji: Tumeshaongea na viongozi wetu wa dini, hata ndoa—huna NIDA, hakuna ndoa

    Kitambulisho cha Taifa cha NIDA kinatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya taratibu za kufunga ndoa nchini, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha wahusika wanatambulika rasmi na kuzuia wageni kujifanya Watanzania kupitia ndoa ili kupata utambulisho wa uraia. Akizungumza katika uzinduzi wa kitambulisho kipya...
  11. BICHWA KOMWE -

    Tafsiri tunduizi ya ndoa: Tafakuri ya Bichwa Komwe

    Baada ya mapito mengi, mimi mama yenu nimekuja kugundua tafsiri ya ndoa ni kama ifuatavyo:- 'Marriage is a branch of science that deals with money and stress.' :1Head: Jadili (10 marks). Cc: leo dada Seran secretarybird :1Head:
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Bila kuwa na vitambulisho hufungi ndoa

    https://www.facebook.com/reel/2150748608866868/?app=fbl
  13. kavulata

    Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Familia ya Dewji imeing'ang'ania timu ya Simba kama ruba. Ni jina hilohilo miaka nenda rudi kwanini? Inahonga kila mtu kila kundi ndani ya Simba dhidi ya kila mtu anaeonekana kutaka mabadiliko ndani ya Simba. https://www.youtube.com/live/qRWXxpl8KvE?si=Aw7wneVxmHK45JP9
  14. Miguel Felix Gallardo

    Ni kwanini mpaka leo hakuna sheria ya kuilinda ndoa duniani ukitoa nchi zinazofata sharia

    Mpaka leo napoandika mada hii nakamilisha uchunguzi wangu wa kina katika swala la ndoa na kuhitimisha na swali moja.Ni kwanini mpaka leo hakuna nchi iliyopitisha sheria ya kuilinda ndoa kwa wanandoa? Mfano hakuna sheria ya ugoni.Yaani hakuna sheria kuwa nikikulombea mkeo utanishtaki wala hakuna...
  15. Jack Daniel

    Umuhimu wa tendo la ndoa Kwa mwanaume

    Salaam jamiiforum. Siyo lazima kuwa kwenye ndoa ndipo ufanye hivyo,japo Kwa mujibu wa maandiko kwenye vitabu vya dini,kufanya tendo hilo bila ndoa au mwenzi anayetambulika kisheria,huhesabika ni zinaa. Yaani ni chukizo mbele za Mungu. Ila ukweli ni kwamba hili jambo ni tulizo Kwa wanaume...
  16. M

    Kwenu dada zetu, Mitandao inawaufundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini haitakufundisha jinsi ya kuishi na matokeo ya kupoteza ndoa yako.

    Mitandao inawajaza kiburi na kuwafundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini kamwe haitawafundisha jinsi ya kuishi na upweke, aibu, na maumivu ya kupoteza ndoa zenu. Leo hii, magroup ya makungwi, podcasts za ovyo, na hao mnaowaita 'role models' waliofeli kwenye maisha yao ya ndoa ndiyo...
  17. D

    Je, umasikini ndio chanzo kikubwa cha migogoro katika ndoa?

    Habari wanajamii, Nimekuwa nikitafakari kuhusu mahusiano, mapenzi na ndoa katika jamii yetu ya sasa. Kuna jambo moja ambalo ningependa tulijadili kwa kina: Je, hali ngumu ya kiuchumi inaweza kuwa sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi?
  18. Expensive life

    Wengine freshi tu wakiomba wanapewa, wewe sasa "boya" ukiomba unaambiwa mpaka ndoa

    Oyah, wengine bila hiyana wanapewa tunda, wewe sasa boya, ukiomba unaambiwa mpaka ndoa, mwanangu nakusanua, ukioa huyo umewaolea wajuba stuka. Ukiona kona kona nyingi za kupewa utelezi, kaa ukijua kuna mwamba anatunziwa akaichape, shauri yenu mnao oa wake za watu.
  19. F

    Je ni rahisi watoto na wajukuu kuvunja ndoa ya wazazi waliokwisha kufa zamani(Tanganyika na Zanzibar)?

    Wazazi walifunga ndoa wakamaliza, na wamefariki wakiwa ndani ya ndoa. Sasa watoto na vijukuu baada ya kusoma wosia wa marehemu Babu na bibi zao waliokwisha kufa, hawaridhiki na mirathi, Sasa wameamua kuomba ndoa ivunjwe, Watoto hawa wamejaribu muda Sasa kuhoji ilipo hatia ya ndoa ili watafute...
  20. lord atkin

    Sehemu 5 za kumshika mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Mwanamke hakikisha wakati wa tendo na mwanaume wako unazichezea, unazibusu na kuzinyonya sehemu zifuatazo 1. Uume 2. Shingo 3. Sikio 4. Chuchu 5. Navel (sehemu ya kitovu au tumbo la chini) Zingine ongeza
Back
Top Bottom