VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Kinachoendelea mjini Uvira ni aibu. Kundi la Wazalendo, linadai Gen Gasita si raia wa DRC, hivyo anatakiwa aondoke. Serikali yake, na yenyewe inaonekana kutomzingatia.
Mpaka sasa, badhi ya wanajeshi wa DRC pamoja na wa jeshi la Burundi, wametumwa kumchungia usalama, ili asidhuliwe na kundi hili. Toka vurugu za kumhisi usaliti zimeanza, vurugu haziishi.
Ikumbukwe, amehusishwa na M23 matukio mengi ya kuuwa wanyamlenge, hivyo uwezekano wa kujiunga na kundi hilo, ni kama haupo, kwa sababu ni mmoja wa watu wanaotafutwa kuwajibishwa mauaji hayo.
Wakati huo, uongozi wa M23, umetangaza kwamba, mikutano yao ya kisiasa ijayo, itafanyika katika miji ya Kalemi, Kindu na Kisangani.