Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia askari wanane wa Maliasili Wilaya ya Mbozi kwa mahojiano kufuatia tukio la kupigwa risasi kwa mwanafunzi wa miaka 13, Vanesa Mgala, aliyefariki dunia, na kujeruhiwa kwa Kiriana Mwashilindi, 26.
Tukio hilo lilitokea Novemba 24, 2026, saa 11 jioni...
Familia ya Njile John, mkazi wa Kijiji cha Imalilo Songwe, Kata ya Ubaruku, Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, imegoma kuzika mwili wa mtoto wao Mboto Njile aliyefariki kwa kupigwa risasi, ikidai kuhusika kwa walinzi wa Mbarali Highland Estate baada ya mtoto huyo kutuhumiwa kuingia katika shamba la...
Mbunge wa Narok Magharibi, Gabriel Tongoyo, amedai kuwa kulikuwa na njama ya kumuua kwa kumpiga risasi wakati wa Tamasha la Utamaduni na Utalii la Maa lililofanyika katika Kaunti ya Narok na kuhudhuriwa na Rais William Ruto.
Kauli hiyo inajiri siku chache baada ya vurugu kuzuka katika tamasha...
Kifo cha binti huyu ni cha kusikitisha sana lakini pia chaweza kuwa alama ya MO29 kama vile mauaji ya Sharpville, Soweto Afrika ya Kusini Machi 21, 1960 Mazishi makubwa yaandaliwe na yawe pia alama ya wale ambao hatukuona na kuizika miili yao! Tupo tayari kuchangia!
Baada ya kusambaa kwa taarifa ya binti Angel Wariaeli aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29, 2025, kwamba amefariki Dunia ~ Angel aliyepigwa risasi 29 Oktoba, 2025 afariki dunia, Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa neno kuhusu taarifa hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa...
TANZIA: ANGEL WARIAELI AFARIKI DUNIA AKIWA MUHIMBILI
Dar es Salaam. Binti Angel Wariaeli, aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29 na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya matibabu, amefariki dunia.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa leo na mmoja wa...
Miaka kadha kitambo huko, enzi hizo inshu ya miamala y kifedh almaarufu mpesa, ndio yameanza kuingia mawakala walikua wachache sana, hasa mikoani.
Pale geita alikiwepo tajiri mmoja aitwae walwa shop, jamaa alikua na duka kubbwa la miamala, njia ya kwenda benki ya nmb na nbc miaka hiyo, biashara...
Hali ya taharuki na hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa maeneo ya mipakani kufuatia tukio la kusikitisha ambapo watu nane waliripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi. Shambulizi hilo lilihusisha watu wenye silaha kali wanaodhaniwa kuwa wanamgambShabaab, jambo ambalo limezua wimbi la majonzi makubwa...
Mshukiwa wa mauaji ambaye anatuhumiwa kuwafyatulia risasi na kuwaua takriban watu sita katika shambulio la kwenye mji wa kitalii wa kraków nchini poland siku ya jumamosi, amefariki dunia akiwa hospitalini,
Tukio hilo la nadra la ufyatuaji risasi kiholela katika uwanja mkuu wa kihistoria wa mji...
Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo?
Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025?
Kwa...
Mtu kama tundu Lissu alipigwa risasi 16 na akapona huyo hana Mungu?
Wakati wewe Nape Nauye ulitishiwa bastora tu na yule askari aliyeukumiwa kifungo cha maisha na sasa yuko jera siku hiyo ulijamba ushuzi ambao hukuwai kujamba leo unataka Lissu mtakatifu amgeukie Mungu wa Ntwara au?
Nani wa...
Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria.
Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake.
Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .
Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .
Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa...
Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania.
Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu.
Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
Pia soma ~ Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana...
Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu.
Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi.
Kama ni...
Laurent Kweka anaye tuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Mkoani Dar es salaam, Kufikishwa Mahakama ya Kinondoni leo.
Tukio hijo la mauaji lilitokea alfajiri ya Oktoba 1, 2026 ambapo Kweka alimuua...
Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.