Raia wahofia usalama wao, baada ya kuwajibisha viongozi wao

Raia wahofia usalama wao, baada ya kuwajibisha viongozi wao

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Badhi ya raia katika wilaya ya Nyarugenge jijini Kigali, wanaomba uongozi na vyombo vya dola kuwahakikishia usalama wao. Ni baada ya kugundua kuwa wengi wao wapo kwenye orodha ya watu wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya waasi wa serikali ya Rwanda.
Chanzo, inasemekana ni badhi kuongea na vyombo vya habari na kutoa kero zao ambazo zimekuwa hazifanyiwi kazi, ikiwa wao wenyewe hawawezi kufika ngazi za juu kutoa malalamiko yao hayo.

Hata hivyo, Emma Claudine, msemji mkuu wa jiji la Kigali, amewaondoa hofu, na kuwataka waendelee hivo hivo, kwa sababu ni haki zao wanazodai, na akaongeza kuwa, hakuna raia atakaepata tatizo lolote kisa kuongea na vyombo vya habari.








Hari abaturage bo mu murenge wa Kigali mu karere ka Nyarugenge
bari kwishinganisha nyuma yuko ubuyobozi bubabwiye ko bashyizwe ku rutonde rw’abakorana n’imitwe irwanya ubutegetsi buriho bubishingiye ku kuba baragaragaye mu itangazamakuru bavuga ibitaragendaga neza.Umuvugizi w'umujyi wa Kigali Emma Claudine Ntirenganya yasabye abo baturage kujya bavuga ibyo bibazo kuko nta muntu ukwiye kurenganywa ko yavuganye n'itangazamakuru
 
Back
Top Bottom