Vikosi vya usalama vya Israeli vilizuia majaribio mengi ya ulanguzi wa magendo kando ya mpaka wa Misri baada ya kugundua puto zilizobeba silaha na dawa za kulevya kuingia katika eneo la Israeli usiku kucha.
Vikosi kutoka Kikosi cha 80 cha IDF na kitengo cha siri cha Southern Mista'arvim...
Hamas imemteua Ahmad Arafat Anzio kama mkuu mpya wa Vifaa vyake vya Usalama wa Ndani, kufuatia kuongamizwa kwa Naeem Abu Nakhal na mrithi wake aliyekusudiwa, Mohammad Abu al-Awf, katika mashambulizi mfululizo ya Israeli.
Katika picha ya kumbukumbu, Anzio anaonekana pamoja na Said Siam, mmoja wa...
Zambia nchi imekuwa ilipo baada ya vyombo vya usalama kuacha uchawa na kujali nchi . Wazalendo ndani ya vyombo ni lazima waende kwenye mpango wa kutoa mafisadi hata kama ni maafande wao.
Hawajahapa kwa afande bali kwa taifa.! Inabidi mgome kufanya mambo mabaya na sio kusingizia maagizo kutoka juu
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameielekeza Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania (TASHICO) kutekeleza hatua za kiufundi na kiutawala kufuatia ajali ya meli ya MV New Mwanza iliyogonga mwamba katika Ziwa Victoria, huku akisisitiza kuwa meli hiyo haitarejea kutoa huduma hadi Mamlaka ya...
Tanzania imeunga mkono mapendekezo ya kuimarisha ushirikiano wa ulinzi na usalama miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ikisisitiza umuhimu wa maamuzi ya kimkakati yatakayosaidia kukabiliana na vitisho vya kiusalama na kudumisha amani na utulivu katika ukanda huo...
Video inayosambaa mitandaoni imeibua maswali kuhusu usalama wa chakula kinachouzwa na kuliwa na Wakenya kila siku.
Katika video hiyo, wanaume wanaonekana wakiwa karibu na lori lililojaa matikiti maji. Mmoja wao amebeba kifaa cha kunyunyizia dawa mgongoni huku akielekeza bomba lake kwenye...
Kipindi hiki cha likizo ya kimasomo kwa miezi miwili kwa watoto wetu, wazazi na walezi tuongeze umakini katika usalama wa watoto wa kike na wa kiume. Tusidhani kila ndugu, mjomba, shangazi, dada au kaka wa kazi ana nia njema kwa watoto wetu. Baadhi ya vitendo vya ukatili wa kingono dhidi ya...
Ukiangalia kule haiti walikuwa na makundi ya kutishia serikali.
Ila mnakumbuka kimbindi cha iddi amini kuvamiwa na Israel basi hizi nchi zetu ambazo funika kombe CCM na nchi zipite kuna siku zita kuja kufanyiwa jambo baya.
Hesabuni siku nchi fulani.
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda ili kukabiliana kwa pamoja na vitisho vya kiusalama vinavyovuka mipaka, ikiwemo ugaidi, makundi yenye silaha, uhalifu wa kimataifa, ukosefu wa usalama mipakani, milipuko ya magonjwa na uhalifu wa...
Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa.
Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power.
Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
Aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Marison Mwakyoma, ameingia katika huduma ya kichungaji katika kanisa la Kanisa la Evangelical Brotherhood baada ya kustaafu utumishi wa serikali.
Mwakyoma amesimikwa kuwa mchungaji Novemba 8, 2026, katika kanisa...
Kama ni muhimu naomba maoni yako hapo, nakama sio muhimu nipe comment yako, kwa sababu nahitaji kuanza rasmi kutoa elimu ya ulinzi na usalama hapa.
.
.Mafunzo yetu yatajikita katika ulinzi wa afya, ulinzi wa maisha, ulinzi wa mali au haki. Ili kila mtu awe nauwezo wa kujilinda yeye mwenyewe ...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Azimio la mapendekezo ya Tanzania kujiunga na Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Usalama wa Angamtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa mwaka 2014, maarufu kama Mkataba wa Malabo.
Azimio hilo limewasilishwa Bungeni na Waziri wa Mawasiliano na...
Salaam JamiiForums.
Kumekuwa na tabia za kuiga,naita za kuiga kwasababu tunapelekeshwa sana na mabandiko ya mitandao huku tukiyachukia majeshi yetu bila sababu za msingi.
Hapa nitaongelea jeshi la polisi ambalo kila siku ,yaani kilwa iitwapo leo hupokea,malalamiko,visa na mikasa isiyo na idadi...
Juzi niliwambia kwamba kuna mtu alimshauri Pambalu arudi Bongo ila sikumtaja huyo mtu nani.
Sasa iko hivi, huyo mtu ambae alimshauri Pamablu arudi bongo ni Godbless Lema na yeye ndo alimuhakikishia Pambalu kwamba atakuwa salama alienda mbali zaidi akasema kwamba kazungumza na Mafwele kila kitu...
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda.
Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. 🌍
Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo...
Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, SACP Simon Maigwa, amewataka madereva wa vyombo vya Serikali kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani, akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, bila kujali nafasi au cheo alichonacho.
Akizungumza Oktoba 23, 2026, katika kipindi...
DKT. MWIGULU: USALAMA WA CHAKULA NI USALAMA WA TAIFA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema usalama wa chakula ni msingi wa usalama wa taifa na uthabiti wa uchumi. Amesisitiza kuwa wakulima wawezeshwe kupata mitaji, teknolojia, pembejeo bora na masoko ili kuimarisha uzalishaji.
Amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.