Nchi jirani ya Burundi, iwekwe kwenye maombi kwa wale mnaoomba!

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Hali imekuwa tete nchini Burundi, kutokana na ukosefu wa umeme kwa muda mrefu.

Mbali na kusitishwa huduma nyingi zinazohitaji umeme, vichanga katika hospitali mbali mbali nchini vilivyokuwa chini ya uangalizi wa ahudumu wa afya kupitia vifaa vya kuwapa mwanga,joto na oxygen, vinaendelea kupoteza maisha, wagonjwa wengine wenye uhitaji wa huduma zinazoendana na umeme, na wenyewe wakizidi kupoteza maisha. Ni tatizo la nchi nzima, hivyo hata uwezekano wa kuhamishwa, haupo.

Mola linusuru taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…