Actihema jirani is a species of moth of the family Tortricidae. It is found in Uganda. The habitat consists of open spaces close to mountainous rainforests.
The wingspan is 12–15 mm. The forewings are bicoloured. The basal half is fuscous intermixed with brown scales and with black marks and the distal half is whitish. The hindwings are light fuscous, with darker transverse striae.
Mimi kuna siku mama yangu alichelewa kurudi nyumbani kutoka kazini. Nilikuwa na kama miaka 7 hivi
Ilikuwa kama mida ya saa mbili mbili hivi jirani yetu akanikuta pale nje nimekaa
Akaja akaniambia mwanangu karibu ndani, nikaenda. Nimekaa kidogo naangalia tv yule mama akaniletea msosi wali na...
Jirani ni mtu yoyote ambaye unatakiwa kumuonesha upendo kwa kumsaidia, Au Kumlinda.
Usipotimiza Wajibu wako wa upendo kwa wahitaji, Shetani anaowatu wa kulitimiza hilo kwa hila!
MAUMIVU YA KUTOKUTIMIZA WAJIBU WA UPENDO KWA JIRANI NI MAKUBWA ZAIDI KUPITIA MAJUTO
Kumbuka kisa cha msamaria hadi...
Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake!
omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie
Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
AMRI YA 9; USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO. UNAWEZA KUMSHUTUMU MWĪZI AMBAYE HUJATHIBITISHA KUWA AMEIBA?
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna jambo moja ambalo watu wengi hulikwepa wanapozungumzia haki, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi: Je, kupigania haki kunakupa ruhusa ya kutoa tuhuma...
Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M
Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi.
Kinachonifanya nisite kulipia...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi.
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
Siri nyingine ya kuishi maisha yenye maana ni kumpenda jirani yako kama unavyojipenda.
Lakini swali ni: unawezaje kujipenda?
Kujipenda siyo tu kutambua uwezo wako, mafanikio yako na mambo mazuri uliyonayo. Pia ni kuwa na ujasiri wa kutambua udhaifu wako, kuukabili na kuukubali ukweli kwamba...
MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI!
📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye)
🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni
🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road
📐 Ukubwa: Mita 20 × 20
💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja
✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa
✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A.
Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
Anonymous
Thread
amani
jirani
maeneo
mliman city
presha
sinza
usiku
wakazi
Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi.
Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho
Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda
kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui...
Ndugu zangu..
Yule jirani amefanikiwa kuliwa, na alikuwa ana taka sana kumbe...!
Asubuhi ya leo niliamshwa na ngo ngo ngo....mlangoni mwa mchumba changu.
Binafsi nilidhani ni jamaa wa taka, kufika mlangoni alikuwa yule jirani niliye wasimulia jana.
Anasema simu yake imegoma ku unlock, kumbe...
Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu..
Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko..
Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi...
Ni kheri wakuu....
Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X.
Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
Kuna msikiti na madrasa vinajengwa jirani kabisa na nyumbani kwangu mimi ni mkristo, je wakristo wenzangu wenye uzoefu na mambo hayo nauliza tu kuna shida yoyote kuishi jirani na msikiti?
Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa.
Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida ...
Wenzetu wanamaisha tofauti na huku afrika.Unaweza kupishana na kiongozi mkubwa mtaani wala usimjue kabisa.
Wenzetu wamejijengea kutofautisha kazi na nzengo.
Sio wote ambao wanafanya hivyo ila wengi wao wanataka kuishi hivyo.
Kuna vyeo vinaweza kukufanya kuwa tofauti ila vyeo vingi kwa wenzetu...
Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki
Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.