Mzigo wa SADC wazidi kusombwa kuelekea Chato

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Bado malori mengi yanaendelea kusomba silaha za SADC zilizokuwa Goma na Sake,mashariki mwa DRC. Silaha hizi zilikosa kazi na kuangukia mikononi mwa M23,baada ya kuizidi nguvu SADC, FARDC,Wazalend, FDLR na mamluki kutoka nchi za ulaya, mnamo Januari mwaka huu.
Ni silaha zinazopitishwa nchini Rwanda, baada ya M23 kukubali kuziachia. South Afrika ndo ilikuwa na nyingi.
Hata hivo, zipo nyingine nzito,ambazo haziwezi kusafili kwa njia ya barabara, mpaka hapo uwanja wa ndege wa Goma utakapokarabatiwa na kuanza matumizi, jukumu ambalo kwa sasa ni la SADC.
 

Attachments

  • Harya ngo u Rwanda rwari muri Congo Iyi ni impamvu yatuma bajyayo ntawe basabye .mp4
    2.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…