kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Kocha wa yanga Fadlu Davis amezungumza kuelekea mchezo dhidi ya MC Alger

    Ni muhimu sana kuanza mashindano kwa ushindi, hasa tunapocheza nyumbani. Lengo letu ni kupata pointi zote tatu katika michezo yetu ya nyumbani. Tunataka kucheza kwa mtazamo wa kushambulia na kutafuta ushindi, lakini pia tunapaswa kuwa makini katika namna tunavyosawazisha majukumu ya kushambulia...
  2. C

    Sheikh Mgodo ataka dhamira ya dhati kuelekea mazungumzo na maridhiano nchini

    Mjumbe wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Aboubakar Mgodo ametoa mwito wa kuwa wakweli, kuwajibika ili kuponya majeraha na maumivu yanayowakabili wananchi waliopoteza ndugu na waliotoweka wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu. Sheikh Mgodo ameyasema hayo leo 29 Oktoba 2026, mkoani Dar es Salaam...
  3. Deus Jovin

    Wazo Mbadala: Rais Samia Aboreshe Tume ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya kwa Kufuta Tume ya Jaji LIla

    Baada ya kusikiliza kwa makini na kuchambua hotuba mbili za Rais Samia, sasa natoa mapendekezo katika hatua tatu. Katika hatua ya kwanza, napendekeza kwamba: majukumu ya "Kamati ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya" yafafanuliwe ili kukidhi matarajio ya wananchi wengi yenye kujikita kwenye...
  4. Soul21

    Sakata la Shule za Amali: Hatma ya Wanafunzi Iko Wapi?

    Mwaka huu, shule mpya za amali zilizojengwa zilipokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini. Hata hivyo, inasikitisha na kushtua kugundua kuwa, hadi sasa, shule hizo hazina vifaa vyovyote vya ufundi wala vya kujifunzia kwa ajili ya masomo ya kiufundi na kitaalamu. Cha kushangaza zaidi...
  5. O

    "Hata Mkafufue Kibaki, Wewe ni Wantam Tu!" Gachagua Amvaa Ruto Vikali Kuelekea 2027

    Joto la kisiasa nchini linaendelea kupanda huku kukiwa na misuguano mikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Aliyekuwa Naibu wa Rais, Rigathi Gachagua, ametupa kombora zito kwa Rais William Ruto akisisitiza kuwa utawala wake uko mashakani na utahudumu kwa muhula mmoja tu. Akizungumza kwa...
  6. M

    Mashabiki wa Simba waandamana kuelekea TFF, wanataka mabadiliko

    Mashabiki wa Klabu ya Simba leo Novemba 17 wameandamana kuelekea Makao Makuu ya TFF wakiwa na mabango wakishinikiza baadhi ya mambo yafanyiwe marekebisho ndani ya klabu yao ambapo wengi wanaamini yapo mambo mengi ambayo hayapo sawa. Mashabiki hao wamebeba mabango mengi moja ya mabango ambayo ni...
  7. A

    KERO Ni Kero Magari ya Abiria kujaa Round-About ya Samunge Arusha

    Barabara ya Samunge (Arusha) inayoanzia roundabout ya samunge kuelekea roundabout ya Fire inazidi kuwa kero kubwa kila siku kwa sababu ya hiace zinazosimama barabarani kuchukua abiria.... Mbaya zaidi askari wakati mwingine huwepo maeneo hayo bila kuchukua hatua zozote. Mara kadhaa waziwazi...
  8. Sister Abigail

    Wameanza kufungia mitandao kuelekea hukumu?

    Mbona naona hivyo bila VPN huingii kokote Au ni kwangu tu? Moderator nlimaanisha kufungia.
  9. DodomaTZ

    Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
  11. M

    Kuelekea Misa za October 29, 2026.

    Tunapokaribia kufanya Misa za October 29, 2026, napendekeza kwamba, siku moja kabla ya tarehe hiyo, kila mtu afanye mfungo Mtakatifu, yaani asile wala kunywa chochote, asifanye starehe yoyote ikiwa ni pamoja na kujizuia kabisa kula chapati ya usiku. Mfungo uambatane na kutubu dhambi zetu. Siku...
  12. technically

    Tetesi: Tishio la kiusalama kuelekea 29 October 2026

    Kuna tishio la kiusalama kuelekea tarehe 29/10/2026 TAARIFA kutoka makumbusho zinaeleza Wanapanga tuweka lockdown once again
  13. Deus Jovin

    Kuelekea 29 Oktoba 2026: Mbona serikali inaogopa TEC kuwaombea wauaji?

    Mapadre wawili, Stanslaus Muyebe na Alex Muyebe (2001), katika kitabu chao kiitwacho “The African Bishops on Human Rights: A REsource Book,” wanafafanua misimamo thabiti ya Maaskofu Kuhusu wajibu wetu wa kukuza na kuhami haki za binadamu, zikiwemo haki za kidini. Kuhusu haki za kidini, Muyebe...
  14. OMOYOGWANE

    Elimu ilianzia ikulu ikapelekwa tandale na haikuanzia buza kuelekea ikulu.

    Habari wakuu. Zingatia kichwa cha habari tajwa hapo juu, soma kwa kutafakari sababu huu uzi mfupi unakupa majibu kwanini elimu ya sasa licha ya kusoma mpaka chuo kikuu ila haimsaidii mtu mmoja mmoja asiye na ajira kujikwamua kiuchumi. Kihistoria elimu ilianzia ikulu special for kings, prince...
  15. BIOTOXINS

    Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
  16. Mudawote

    Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

    Great Thinkers, Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo...
  17. A

    KERO Malori yanayoegesha barabarani Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo ni kero kubwa

    Kwa masikitiko makubwa, napenda kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu hali inayoendelea katika Barabara ya Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo, ambapo malori makubwa yamekuwa yakipaki kandokando na hata sehemu ya barabara kwa muda mrefu, hali inayosababisha msongamano mkubwa wa magari, usumbufu kwa...
  18. Roving Journalist

    EAC Kuimarisha Ushirikiano Sekta ya Utalii Kuelekea AFCON 2027

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeazimia kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya utalii na usimamizi wa wanyamapori, ikiwemo kuoanisha sera, mifumo ya udhibiti, masharti ya utoaji wa leseni na viwango vya ubora wa huduma na kuitangaza EAC kama kituo kimoja cha utalii, ili kuongeza...
  19. A

    HOJA LATRA toeni vibali kwa daladala, Mwendokasi peke yake haiwezi kukidhi ruti ya Mbagala - Mjini

    Maeneo ya Mbande, Msongola, Kitonga kumeanza kuwa na shida ya usafiri wa kuelekea katikati ya mji yaani Posta na Kariakoo. Hii ni kwa sababu gari zote zenye hizo ruti za Stesheni, Posta & Gerezani Kariakoo zimekuwa zikinyimwa vibali za kutoa huduma kwenye hizo ruti. Ikumbukwe awali mnamo Juni...
  20. Deus Jovin

    Dokezo la Usalama wa Kimkakati: Wito wa Kupunguza Mbinu za Kimabavu na Njia Mbadala za Mabadiliko Kuelekea 2029

    Mheshimiwa Msomaji, Husika na mada iliyotajwa hapo juu. Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika la Ushauri Kuhusu Utawala Bora na Usalama wa Kimkakati. Jalada hili limetayarishwa kufuatia tathmini...
Back
Top Bottom