MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI NI NGUMU KUDUMU NAYE KWENYE MAHUSIANO.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
1. Mwanamke mwenye mdomo, anaongea kuliko kawaida (umbea umbea)
2. Anayeamini uchawi (mshirikina)
3. Mwanamke anayependa hela kama ATM
Mwanamke aliyeweka pesa mbele ni ngumu kudumu nae kwenye mahusiano
4. Mwanamke ambae mapenzi yake yako kwa baba yake.
Kila kitu....daddy, ukimuudhi kdg..daddy
5. Mwanamke mlokole (hasa makanisa ya kiroho)
Hawa heshima yao kubwa iko kwa viongozi wao wa dini, atasikilizwa mchungaji kuliko wewe
6. Mwanamke anayependa kujirusha
Anataka outing,kuparty ,viwanja vyoote anavijua mpk band anazijua
7. Mwanamke anayependa kushindana (Asiyepitwa)
Mwenzake kavaa wigi mpya na yeye anataka, simu mpya imetoka, anaitaka
8. Mwanamke asiyeridhika.
Haridhiki kwenye mapenzi, au hata kipato au pesa unazompatia.




Iwapo hukuhudhulia kikao cha mwisho cha wanaume, utalia bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…