Binafsi miongoni mwa vitu ambavyo vimeshatokea na vinanikwaza ni kuona samia ni rais wa nchi.
Kwa wanaompenda ni sawa kwa matakwa yao ila kwangu naona aibu sana kumtambua au kusimamama kidete kusema samia ndiye rais wa nchi yetu.
Siwezi kumsikiliza samia hata sekunde 10 bila kukwazika na...
Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu
Uraibu ni hatari sana kwenye maisha ya binadamu na unaweza kupelekea kupoteza maisha
Kuna uraibu wa aina nyingi sana, kwa kufupisha nikuwa uraibu ni hali ya kutumia hisia mbaya au kitu kwa kupita kiwango
Ni kazi ngumu sana...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Mwaka 2014 mpaka 2016 mimi yalinishinda. Nilifanya kazi ya mkataba wa miaka 2 mkataba ulipoisha tu, wakataka kunipa mwingine nikakataa. Nikaondoka zangu kutoka Kigoma, huyooo nikarudi zangu Tanga kufanya kazi ya conductor wa daladala. Na ndio kazi yangu mpaka leo hii...
Naona karata zilichangwa wakaona huyu tukimuondoa na jinsi soko la hisa linavyo poromoka tutawapa chat hawa wachina.
Kumbuka wachina nao wanakuja juu kwenye mifumo ya chip,Ai na teknolojia kubwa na uzuri wa wachina wangetumia dau kumchukua au kumshawishi kwao hata bei yoyote.
Hii ndio rahaa ya...
Nilikuwa sijui hayo ila maarifa ni kama bahari hayana mwisho leo nimejifunza kitu kipya
Kuna watu wana uraibu wa kulala unaowatesa na kuwakoseha mengi kama walevi wa pombe
Mnamo Jumatatu ya mwezi Mei 18, 2015 Profesa Joseph L. Mbele aliandika katika Blog yake (mtandao wa jamii) akiwahimiza Watanzania kusoma vitabu viwili: Kitabu cha Dr. John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, kilichochapishwa na Shirika la Kanisa Katoliki la...
Shekhe Yassin alipokianzisha chama cha HAMAS alijua kitakuwa ndio chama mbadala wa PLO ya mzee Arafat. Hamas walitawala huko Gaza wakati PLO walikuwa kule West bank. Nini ilikuwa tofauti ya itikati kati ya Hamas na PLO? PLO walikuwa wanaomba haki za wapalestina na Hamas wao walikuwa wakidai na...
Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree).
Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
Motivational speakers watakuambia "Knocked down? You can stand up"... mwingine atakutolea mifano ya watu walioanguka na kusimama upya na mara nyingi huwa ni watu wa Ulaya na America. Hatakupa mifano ya watu maelfu walioanguka na kushindwa kuinuka upya hadi ile siku wanavuta pumzi ya mwisho...
Je ni uvivu wa kusoma au ni spana
maana miaka ya nyuma nili wafundisha baadhi ya watu kwa wakati tofauti tofauti jinsi ya kutumia Jf na kuwafungulia ID ila baada ya muda wakakimbia sikujua sababu hasa ni nini
Hellow wakuu,
Mimi binafsi huwa naleta thread kutoka field moja kwa moja kutoka mtaani mwaka 2020 yalinikuta enzi za anko Magu Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku yaani nilikonda nkachakaa 😄 usiombe uwe na biashara halafu huna backup unaitegemea hiyo hiyo na wateja...
Nenda kajionee mwenyewe katika Instagram Akaunti zao uone watu wakubwa na Maarufu wanaowa-Follow kwenye Instagram Akaunti zao wenye jinsia ya kiume na wale ambao wao kina Uncle T na Mauzinde wanawa-Follow katika akaunti zao au biashara zao zinazomilikiwa na Wanaume.
Ndiyo maana sikushangaa...
Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu.
Hii kazi mungu ni samahee
Huyu jamaa anadai kuwa inaamika wanaume ndio hawawezi kutulia na Mwanamke mmoja lakini yeye baada ya kuanza kufanya kazi na Wanawake amegundua kuwa hata wanawake ni ngumu kutulia na Mwanaume mmoja.
Anasema jambo hilo lipo pande zote mbili, japo wanawake wanajitetea kuwa wanampenda fulani na...
Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote.
Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa...
Sijui kama tittle imeeleweka.
Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali.
Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.