hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    Hizi ndo sababu za Sheikh Mziwanda kuchukiwa na kupingwa?

    https://www.instagram.com/reel/DgIbSHlII9E/?avpt=MWlla255ZXE2NTg4Yg==
  2. and 998 others

    UDSM ilikuwa zamani! Siku hizi uchawa, uchakavu na staff omba-omba!

    Inasikitisha kuona Chuo Kikuu hiki UDSM kubakia historia tu. Machawa, majengo chakavu (ikiwemo vyoo) pamoja Staff kuwa omba-omba
  3. Y

    Nuru na Giza Duniani, na namna ya kuzifikia nguvu hizi!

    Salaam! Leo ni jumapili nyingine tena! Kwanza niwapongeze members wote wa JF ambao wana mchango chanya katika platform hii. Binafsi ninaamini kwa asilimia kubwa watu waliopo JF ni wamepevuka kiakili na wako na nia ya kujifunza vitu vipya kila siku. Breakdown; Nilianzisha maada last week...
  4. leroy

    Mfumuko wa Bei (Oktoba 2026): Tanzania 4.2%, Kenya 7.3%, Rwanda 19.5% – Kwanini Takwimu Hizi Hazipimwi kwa Rula Moja?

    Ukitazama takwimu rasmi za mfumuko wa bei kwa mwezi Oktoba 2026 katika nchi tano za Afrika, picha inaonekana hivi: Tanzania (Bara): 4.2% Uganda: 5.8% Kenya: 7.3% Nigeria: 14.06% (14.1%) Rwanda (Mijini): 19.5% https://youtu.be/yW8k807JsTs Kwa jicho la haraka, unaweza kusema maisha ni rahisi...
  5. N

    Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi?

    Wakuu kwema utani kidogo Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi ? Mimi binafsi nikiwa kawaida napiga chapati tano na nikiwa na mood mbaya napiga hadi nane
  6. M

    Mwanaume! Hizi ni siku 6 ambazo unatakiwa umkaze kisawasawa mke wako

    1.Siku aliyokusamehe kosa lako.hakikisha siku hii unatumbua vijipu vyake vyote vya hasira vilivyoiva kwa wakati huo. utajua wewe utatumia mbinu gani ila hakikisha hilo bro! Ombi la msamaha kwa mwanaume linakamilishwa na mikazo. Ukimkaza vizuri hapo ndio atakusamehe mazima kutoka...
  7. N

    Siku hizi ni unasomea Biblia unapata unapata udokta wa PhD ya Theolojia, eti Joyce Kiria ni Dr kwa sasa...utani huu

    Jamani, nilikuwa mtandaoni nikaona Joyce Kiria anajiandaa kupata PhD, nikavutiwa sana..mana kutoka kuwa housegirl mpaka kuwa msomi na kuwa Dr ni jambo kubwa. Niliamua kufuatilia nikakuta kumbe ni amepata uzamivu wa theolojia...huu ni utani siku hizi..yani theology imekuwa rahis hivi, wawaulize...
  8. Seran

    Hivi yale majambazi ya zamani siku hizi yamenyamazishwa na nini?

    Zamani kulikuwa kuna majambazi yanayosimamisha mtaa! Yanavamia maduka hata saa mbili usiku bado mapema kabisa! Kuna siku ilitokea mtaani kwetu, risasi zililindima, mtaa wote kimya, watu walikimbizana kujifungia majumbani! Mama mmoja akaamrishwa atoe pesa kwenye min supermarket yake akawa...
  9. Yom HaDin

    Hata kama una Degree/Masters: kama huna kazi jitahidi uwe na CV hizi ili angalau maisha yaende. Sio dhambi kujishusha kwa muda.

    Hata kama unadegree na huna kazi. Jitahidi uwe na CV pembeni ya -STD 7. -ya Form 4. -ya Form 6 au Diploma. Maisha hayajanyooka kama unavyodhani. Wakati unasubiri kazi au biashara ya ndoto lazima uishi. Kuishi inabidi uwe tayari kwa lolote. Kuna jamaa aliitwa Interview akasweka vyeti vyote. CV...
  10. Mifugo Planet

    Una shamba la Mifugo?. Weka record hizi upate mkopo chapu!

    Je, unaweza kuthibitisha gharama halisi za uendeshaji wa shamba lako? Unaweza kuonesha historia ya uzalishaji, mapato, matumizi, matibabu na ukuaji wa mifugo yako kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita? Kutunza kumbukumbu za shamba (Farm Records) ni sehemu muhimu ya biashara ya...
  11. L

    Ili Upate Leseni Ya Kampuni Yako Unahitaji Documents Hizi

    Habari Mjasiriamali, hapa nitaongelea wale waliosajili biashara zao au Kampuni zao Brela. Unahitaji documents hizi wakati wa kuomba leseni. 1. Mkataba wa pango Huu utaonesha location ya biashara yako na frame number. 2. Tax clearance Hii itaonesha kua ume clear kila kitu TRA na kwamba upo...
  12. ndege JOHN

    Hizi ndizo wilaya kongwe za Tanganyika zilikuwepo kabla ya mwaka 1947

    Kwa mujibu wa ramani ya kihistoria ya Tanganyika ya Januari 1, 1947, mgawanyo wa kiutawala ulikuwa kama ifuatavyo: A. MAJIMBO YA KIUTAWALA (PROVINCES) Lake Province Western Province Central Province Northern Province Tanga Province Eastern Province Southern Highlands Province Southern Province...
  13. kyagata

    Hizi ndo mbinu wachungaji wa makanisa ya kilokole wanazitumia kuwala wake zenu

    Akizubaa tu analiwa
  14. BOB LUSE

    Shule zimefungwa, hela zimetengwa na kutumika kwaajiri ya Elnino! Elnino Mungu kaizuia! Hizi tahadhali!

    Wakati mwingine ukishindwa jambo sio Vizuri ulazimishe hata kama Mazingira hayaruhusu! Watoto wapo majumbani, elnino haipo! Kwanini wasiendelee kusoma kwakuwa walichotarajia kitatokea tishio lake halipo. Kwanini wasitumie vyombo vilevile kueleza uhalisia huo. Mzazi kalipa ada mpaka hela ya...
  15. A

    KERO EWURA kuna changamoto ya mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation

    Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
  16. min -me

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na aina, kabila fulani la sisi 🤣

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na wanaume wa aina fulani ,tambua hao wanaume ni magoigoi ya mwisho , ambayo hao wanawake wanaweza kuwamudu . Hakuna mwanaume mwenyewe akili timamu , mwanamke wa kizazi hiki atamkubali moja kwa moja . Kwa sasa hizi jinsia zinavutiwa na...
  17. M

    Leo tuachane na Forbes na kampuni hizi ndo zenye uwekezaji mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania

    1. Bakhresa group of companies 2.taifa group of companies 3.oilcom group of companies 4.lake energies group 5.amsons group of companies 6.metl group of companies 7.azania group of companies 8.motisun group of companies 9.mac group of companies 10.murzah group of companies 11.gsm group...
  18. raiswenu

    Kama unajitafuta kwenye biashara, zijue hizi kodi

    Tuseme unajitafuta kwenye biashara, -Utalipa pango -utalipa kodi TRA(inategemeana na biashara) -Utalipa leseni (wastani 100,000) -Utalipia mazingira wastani (3000 kwa mwezi) -utalipa zimamoto(wastani 25,000 kwa mwaka) -Kodi ya bango (inategemeana na ukubwa wake) -Hapo hujaweka pesa ya...
  19. Kipenzi Changu

    Hizi sio siasa,bali ni ufitini na upumbavu wa kinyaa

    Unaacha kueneza sera na itikadi ya chama chako, unaeneza chuki na kuthibitisha huko hamtumii akili kabisa. Hata ile heshima ndogo mnayopewa kwa sababu ya nafasi zetu mnaipuuza. Mmfunge kwa hila baba wa watu halafu bado mumfitinishe.
  20. M

    Nimefanya kazi na makabila mbali mbali, hizi ni tabia nilizoziona zikijirudia

    Nimekutana na makabila kadhaa ila katika haya nimekutana na watu zaidi ya saba na tabia hizi niliweza kuziona zikijirudia rudia. Wachaga - ni wachapakazi, wanajituma, lakini muda mwingi wana plan ya kutafuta tobo la kupiga hela. Kwenye maelewano ya pesa hakikisha mnaenda kwa mikataba, mkienda...
Back
Top Bottom