Mahakama kuu ya Ufaransa, yakataa mazishi ya Protais Zigiranyirazo.

Mahakama kuu ya Ufaransa, yakataa mazishi ya Protais Zigiranyirazo.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Huyu alihukumiwa kuhusika na mauaji halaiki nchini Rwanda dhidi ya watutsi, mwaka 1994. Alipomaliza kifungu chake, hakutaka kurudi Rwanda kufuatia hofu ya usalama wake. Pamoja na wenzie, walipokelewa na nchi ya Niger, na ndo alifia huko. Familia yake iishio nchini Ufaransa, ilisafilisha maiti yake, wakiamini atazikwa huko. Mpaka sasa, bado haijajulikana atazikwa wapi. Uongozi wa jiji, ulisema hauwezi kukubali azikwe huko, baada ya kuwa na hatia katika mauaji hayo dhidi ya watutsi, na kuhofia kaburi lake lingeleta taharuki, baada ya wahutu wengi kuligeuza kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom