mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. C

    Mahakama Kuu yaamuru Mtandao wa 'X' ufunguliwe mara moja; Yasema Serikali ilivunja Katiba

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeamuru Serikali na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa mara moja vizuizi vyote vilivyokuwa vikizuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa 'X' (zamani Twitter) nchini, ikitangaza kuwa hatua ya kuufunga mtandao huo ilikuwa...
  2. C

    Mahakama nchini kenya imesitisha mpango wa ujenzi wa kituo cha Ebola

    Mahakama kuu nchini Kenya imezuia kwa muda mpango tata wa kujenga kituo cha karantini cha Ebola kinachofadhiliwa na Marekani, huku mvutano ukiendelea kuongezeka miongoni mwa wananchi.Uamuzi huo umetolewa wakati maandamano makubwa yakishuhudiwa katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Hayo yanajiri...
  3. O

    Mahakama yatupilia mbali Mkataba wa Kituo cha Ebola Laikipia, Serikali yapewa Siku 45 kufichua Nyaraka

    Mahakama Kuu imeipa pigo serikali baada ya kutangaza kuwa mchakato wa kuanzisha kituo cha karantini ya Ebola katika Kambi ya Anga ya Laikipia ulikuwa kinyume cha Katiba, huku ikiamuru shughuli zote za ujenzi na uendeshaji wa mradi huo kusimamishwa mara moja. Katika uamuzi uliotolewa na Jaji...
  4. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu aonya watendaji wanaopuuza hukumu za mahakama

    ▪︎ Aagiza utekelezaji wa hukumu na utatuzi wa migogoro ya ardhi Ifakara WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewaonya watendaji wa Serikali wanaopuuza hukumu za mahakama na kusisitiza kuwa kiongozi au taasisi yoyote isiyoridhika na hukumu inapaswa kukata rufaa badala ya kukaidi utekelezaji wake...
  5. K

    Jaji mkuu kashindwa kusimamia kitengo cha mahakama

    Kosa lake kubwa ni kutokusoma nyakati sasa mahakama yake imeondoa heshima ndogo iliyo bakia kwa miaka 50 sasa. Mahakama inaonekana ya kisiasa na jaji sasa anaonekana kama mwana siasa yeyote chawa. Makanisa yamemkataa na unafiki wake wa mahubiri fake, majaji wanatoa maamuzi kwa kuangalia kiki...
  6. A

    Mahakama likizoni, haki za wananchi ziko likizoni pia? Nilitarajia hukumu Oktoba, sasa nasubiri februari!

    Je, ni sahihi kwa mwananchi kusubiri haki kwa zaidi ya miezi mitatu kwa sababu tu mahakama imeingia katika kipindi cha likizo? Kuna jambo ambalo linahitaji mjadala mpana katika mfumo wetu wa utoaji haki nchini Tanzania. Hili ni suala la utaratibu wa mahakama kwenda likizo kuanzia tarehe 15...
  7. S

    PostGE2025 Leo hii wanasiasa wameanza kuigeuka Mahakama baada ya Lissu kufungwa. Kesho watavigeuka Vyombo vya Dola kwenye mauaji ya Oktoba 29!

    Kama mlivyosikia kwenye clip moja ambayo kiongozi mmoja wa CCM, anatuhumu mahakama kuwa waliosimamia kesi ya Lissu walipewa chocolate kitu ili Lissu afungwe na kisha na wao kufaidika kupitia malipo ya Lissu anayodaiwa Lissu atalipwa akiwa gerezani. . Maelezo haya ya kiongozi huyo wa CCM licha ya...
  8. Waufukweni

    Mahakama yazuia kutajwa kwa Majina ya Mlalamikaji na Mashahidi katika Kesi ya Nabii Uebert Angel

    A Harare court has granted a State application to withhold the names of the complainant and witnesses from publication on security grounds in the case of Spirit Embassy Church founder Uebert Angel. The application was granted by consent. Angel has been placed on remand after appearing in court...
  9. O

    Mahakama Yamtaka Mkuu wa DCI Kufika Kortini Kuhusu Kutoweka kwa Mwanaharakati wa Tanzania

    Mahakama Kuu imeagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kufika mahakamani Desemba 3, 2026 kueleza hatua zilizopigwa katika uchunguzi wa kutoweka kwa mwanaharakati wa Tanzania, Twaha Mwaipaya. Agizo hilo lilitolewa na Jaji Alexander Muteti, ambaye alimtaka mkuu huyo wa DCI...
  10. C

    Askofu Bagonza: Mahakama ikikosea, tunaenda kudai haki wapi?

    Askofu Bagonza ameibua swali zito kuhusu uwajibikaji wa mihimili ya dola. Amehoji kuwa Bunge likikosea, wananchi wanakimbilia mahakamani. Serikali ikikosea, nako mahakamani ndipo haki inapodaiwa. Lakini je, mahakama yenyewe ikikosea, mwananchi wanakimbilia wapi kudai haki?
  11. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe

    ▪ Aeleza hatua tatu za kuharakisha miradi ya barabara nchini WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria, akisema mtu asiyeridhika na uamuzi wa mahakama anapaswa kutumia taratibu za kisheria kuupinga badala ya...
  12. R

    Jaji Mkuu Masaju tatizo ni kuwa mnawaona watanzania wote ni wajinga! Mahakama iko compromised, si lazima kusoma hukumu kuliona hilo, tumesikiliza!

    Hata mtoto wa IJA aliyefuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu , hata yule mwenye very basic education ya sheria, hata yule anayesoma hukumu TANZLII bila kwenda shule ya sheria, anaona ukweli kuwa kesi ya Lisu imekuwa flawed! Wewe ndiye una tabia ya hovyo kushindwa kuuongoza muhimili wa mahakama...
  13. Frank Wanjiru

    Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Jacqueline mahakamani ndani ya saa 24

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kwa Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani Bi. Jacquiline Valence Mlekezi ndani ya saa 24, baada ya kushikiliwa kizuizini kwa siku 27 bila kufunguliwa mashtaka wala kupewa dhamana. Amri hiyo imetolewa mbele ya Jaji Salima...
  14. G Sam

    Tetesi: Inadaiwa kuwa IGP Camillius Wambura ameitwa mahakama ya ICC

    Taarifa za ndani ambazo zinafichwa ni kwamba IGP Camilius Wambura jana aliondoka nchini kwenda kunako viunga vya mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu yani ICC baada ya kutakiwa na mahakama hiyo. Naona mambo yameanza sasa. Serikali wanajifanya wasiri ila tumezinyaka hizi. Huenda mahakama hiyo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama Kuu itakuwa likizo kuanzia Desemba 15, 2026 hadi Januari 31, 2027

    TAARIFA inatolewa kwa UMMA na kwa JAMII YA WANASHERIA kwamba, kuanzia tarehe 15 Disemba, 2026 hadi tarehe 31 Januari, 2027 Mahakama Kuu ya Tanzania itakuwa mapumziko. Katika kipindi hicho cha mapumziko, Mahakama itakaa kwa ajili ya mashauri ya jinai tu na kushughulikia mambo mengine ya dharura...
  16. Pascal Mayalla

    Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  17. Zack Abdul

    John Pambalu mbele ya mahakama kuanza kuvuna matokeo ya ubishi na ujuaji usio na tija

    Na. Dr Zack✍️ Haya mambo yanaumiza sana, imagine ndugu yako anafanya vitu vya hovyo unamshauri lakini hasikii eti kisa kutafuta umaarufu wa kisiasa. Ukiwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ukakosa busara unaweza kufikiria wewe uko juu ya sheria, shujaa na mtu asiyegusika hata...
  18. C

    Msumbiji: Kesi ya uchochezi dhidi ya Venancio Mondalane kuanza kusikilizwa mahakamani

    Mahakama ya Juu Msumbiji imethibitisha kuwa kesi inayomkabili aliyekuwa mgombea urais, Venâncio Mondlane, itaanza kusikilizwa Jumanne, Novemba 17, saa 4:00 asubuhi, katika Kitengo cha Makosa ya Jinai cha mahakama hiyo jijini Maputo. Kesi hiyo inahusiana na maandamano yaliyotokea nchini humo...
  19. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  20. mirindimo

    Watanzania kwa nini tusianzishe kampeni ya kuikataa mahakama na watumishi wake ?

    Tulikua na mahakama za kijadi ambazo zilisimamia mashauri kwa Haki na Usawa , kuzidi hii Mahakama ya hawa jamaa wa Law School zilizo chini ya CCM !! Kwa nini tusifanye kampeni ya kuikataa hii Mahakama sisi kama wananchi , tuikatae na watumishi wake wote. Mpaka pale itakapo thibitika...
Back
Top Bottom