Mafundi watakuja wengi,ila kazi yako utasusiwa.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Ladies ukifika miaka 20 harakisha kutafta mtu akuoe.
Hapa ndo damu inakuchemka zaidi, ndo maana unahitaji mtu wa kutulia nae, ili isikuchemkie vibaya kikakuramba.

Ukifika miaka 25 na hujaolewa hio ni hatari sana, mAana hapo Socket huanza kukaa mbovu kama hakuna fundi wa maana karibu.

Ukifika miaka 30 hapo Hata yule fundi mahili akieweka testa hivi, hata yeye anashangaa kwa nini nyumba nzima,umeme unafifia. Atafanya kila analoliweza,mwishoe muanze kutafuta mchawi. TANESCO hawatahusika,kikubwa kwenye main switch wao umeme upo. Atakususia kazi,utaita kila aina ya fundi, mwishoe hawakanyagi maana wataambizana.


Nahisi wahusika mmeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…