Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Kujivunia kuwa peke yako ni ishara ya ukomavu wa kihisia na kujitosheleza, ambapo mtu hufurahia uwepo wake binafsi badala ya kuhisi upweke au kutengwa.
Kitaalamu katika saikolojia, hali ya mtu kuwa peke yake kwa hiari na utulivu huitwa Solitude (upweke chanya/utulivu wa kuwa peke yako), tofauti...
PowerBank hii inaweza kuchaji iPhone yako mara 9 ndio uichaji. Inafaa kwa mainjinia, project managers nk na wale ambao wanakaa maeneo ambayo yana changamoto ya umeme.
Sifa zake kwa ufupi;
1. Inachaji simu mara zaidi 9 (inategemea na ukubwa mAh za battery)
2. Inawaka taa (tochi)
3. Ni rahisi...
Nafahamu jukwaa hili limejaa mitoto mikubwa yenye ndevu zake, kutwa kucheza michezo ya kudhihakiana na pengine kutukanana na kuchongeana kwa mods ili I'd zifungiwe na mmoja akishinda mwenzie anashangilia ( utoto wa namna gani huu)
Hivyo ndugu yangu wa jf mwenye I'd mahususi ya nati iliyolegea...
Jirani ni mtu yoyote ambaye unatakiwa kumuonesha upendo kwa kumsaidia, Au Kumlinda.
Usipotimiza Wajibu wako wa upendo kwa wahitaji, Shetani anaowatu wa kulitimiza hilo kwa hila!
MAUMIVU YA KUTOKUTIMIZA WAJIBU WA UPENDO KWA JIRANI NI MAKUBWA ZAIDI KUPITIA MAJUTO
Kumbuka kisa cha msamaria hadi...
Najua tumetofautiana changamoto za kiuchumi kulingana na mahitaji, malengo n.k lakini ikitokea kazi ya kumaliza shida hii...Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?
AMRI YA 9; USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO. UNAWEZA KUMSHUTUMU MWĪZI AMBAYE HUJATHIBITISHA KUWA AMEIBA?
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna jambo moja ambalo watu wengi hulikwepa wanapozungumzia haki, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi: Je, kupigania haki kunakupa ruhusa ya kutoa tuhuma...
Kuanzisha kampuni mpya ni hatua kubwa, lakini changamoto kuu ya biashara nyingi zinazoanza ni kupata wateja wa kwanza haraka na kujulikana sokoni. Usipoteze bajeti yako ndogo kwa kubahatisha au kutumia njia za kizamani zisizo na mrejesho.
Nasaidia biashara zinazoanza (Startups) kupiga hatua kwa...
Habari zenu wadau,
Katika hali ya kawaida ya maisha ya sasa, kipimo cha maendeleo kinatazamwa kwenye vitu vya msingi na vya kisasa; kama vile uhakika wa kula na kuvaa vizuri, kulipa kodi bila presha, kumiliki kiwanja au nyumba, kuwa na biashara imara, kusomesha watoto, na kuwa na vitu vizuri...
Malengo ya kifedha yanahitaji nidhamu ya matumizi ya fedha na kupanga matumizi ya kila shilingi. Ili kufanya hivyo katika dunia ya sasa unahitaji zana za kisasa. Infinity Pesa Tracker ni application inayokuwezesha kufuatilia matumizi ya kila shilingi yako, kuweka malengo na kufuatilia hayo...
Habari Mjasiriamali, hapa nitaongelea wale waliosajili biashara zao au Kampuni zao Brela.
Unahitaji documents hizi wakati wa kuomba leseni.
1. Mkataba wa pango
Huu utaonesha location ya biashara yako na frame number.
2. Tax clearance
Hii itaonesha kua ume clear kila kitu TRA na kwamba upo...
📖 2 TIMOTHEO 3:1–5
1. Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.
2. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi.
3. Wasiowapenda wa kwao...
Dunia inabadilika kwa kasi. Leo, unaweza kuwa na biashara Tanzania, lakini wateja wako wakawa Kenya, Congo, Uganda, Marekani au nchi nyingine yoyote duniani.
Teknolojia imeondoa mipaka mingi ya kibiashara. Huhitaji tena kuwa na fremu kubwa katikati ya jiji ili bidhaa au huduma zako ziweze...
Mizimu au majini ya ukoo ambayo yanabebwa na mababu, hao mababu wakifa huchagua yanayemtaka ili aendeleze kazi.
Kuna jamaa nikikutana naye anasema yaani mstakabari wa kila mwanaukoo wao uko kwake. Kila wakikutana yeye ndio hutoa muongozo na maelekezo ya mababu. Yeye hakupenda ila mizimu...
Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate
Usidharau steps zako sasa keep moving, focus
Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi hawakipendi kufanya, lakini kina mchango mkubwa katika ukuaji na uendelevu wa biashara zao. Nacho ni kutengeneza maudhui (Content Creation) mara kwa mara kwa ajili ya kuitangaza biashara.
Najua inachosha kila siku kufikiria cha kupost, kupiga picha...
Mitandao inawajaza kiburi na kuwafundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini kamwe haitawafundisha jinsi ya kuishi na upweke, aibu, na maumivu ya kupoteza ndoa zenu.
Leo hii, magroup ya makungwi, podcasts za ovyo, na hao mnaowaita 'role models' waliofeli kwenye maisha yao ya ndoa ndiyo...
Katika kuzurura kwangu huku na huko mitandaoni, nikakutana na ujumbe mzuri ambao nahisi utakuwa Ni Elimu tosha kwa wanaume (hususani wanaoitwa "simps"). Si dhambi nikashea nanyi.
======================
Kwa Kiswahili! Kwa Masada wa AI
WANAUME - ACHENI KUTUMIA PESA ZENU KUTATUA MATATIZO YOTE YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.