Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Inachekesha sana usipofanya tafakari kwa kina
Samia ni wa kumfundisha kazi mtu mwenye PhD?
LONDON BOY
https://vt.tiktok.com/ZSsks68dc/
https://vt.tiktok.com/ZSsksjV77/
Mkuu wa Mkoa alidanganya umma.
Eti ajali ile ni majaribio.
Danganya wapumbavu na kudharau uwezo wa umma kufikiri.
Mkuu wa Mkoa MWanza awajibike kuudanganya umma, alikuwa anamtetea nani, sidhani kama alikuwa anatetea Taifa kwa...
Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kupitia Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma kimetoa ufafanuzi kuhusu mdahi ya Mdau wa JamiiForums.com aliyehoji kama uongozi wa chuo hicho ulimdanganya au kumpotosha Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, katika mchakato wa kumpendekeza mwanafunzi wa...
Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu
Uraibu ni hatari sana kwenye maisha ya binadamu na unaweza kupelekea kupoteza maisha
Kuna uraibu wa aina nyingi sana, kwa kufupisha nikuwa uraibu ni hali ya kutumia hisia mbaya au kitu kwa kupita kiwango
Ni kazi ngumu sana...
Wateja ambao nguo zao zimechelewa kushonwa au hazijakamilishwa na mafundi cherehani sasa wanaweza kuwasilisha malalamiko yao katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), hata kama mafundi hao hawajasajiliwa rasmi.
Hatua hiyo imekuja kufuatia malalamiko ya wateja wanaodai kuwa baadhi ya mafundi...
Duniani kote, takwimu zinaonesha kuwa ukataji miti na uvuvi wa baharini ndizo kazi hatari zaidi. Lakini hapa kwetu Tanzania, moja ya kazi zenye hatari kubwa zaidi ya kupoteza maisha ipo ardhini kwenye uchimbaji mdogo wa madini.
Kuanzia machimbo ya dhahabu kule Geita, Kahama na Mara, hadi...
Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo.
Namba za huduma kwa wateja hatufurahishwi na haitusaidii kitu, kazi kutaja track no then IMEISHA sio vzr Bwana. GODFREY NYAISA(mkurugenzi brela)...
BREAKING;Uongozi wa Azam FC ipo kwenye mpango wa kumfuta kazi kocha wao mkuu Florent Ibenge ambae ameonekana kutokua na muendelezo mzuri wa kupata matokeo ya ushindi.
Hasira zimezidi pale alipopoteza mabao 4-2 dhidi ya Singida Black Stars.
Kuna kocha mmoja mkubwa Azam wanafikiria kumchukua...
Kuanzia Januari, Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfumo wa malipo ya kidijitali kwa shughuli zote. Hata hivyo, kuna swali najiuliza: Je, tunawezaje kuhamia kwenye mfumo wa malipo ya kidijitali kwa asilimia 100 wakati watoa huduma za kifedha na mitandao ya malipo wamekuwa na hitilafu za...
Amini kwamba, hapendwi mtu zinapendwa pesa.
Unaweza ukajifanya unapendwa, la hasha. Ni urongo.
Wiki iliyopita niliomba ruhusa kazini kwa wiki moja, ili nione watanichukuliaje katika familia yangu hii :1Head:
Nafanya kazi kama mgambo kwenye kampuni ya ulinzi huku Mtwara.
Nikarudi nyumbani na...
Najiuliza sana juu utendaji kazi na uchapa kazi wa huyu RTO wa mkoa Dodoma. Anafanya kazi nzuri na mchapa kazi mkubwa.
Haiwezekani basi la abiria libebe abiria Mwanafunzi akalipishwa nauli ya kutoka mkoa kama Kagera kwenda Dar. Basi alilopanda mwananfunzi huyo alafu likatize mikoa mitano alafu...
Kuna mzee mmoja yeye kwa bahati nzuri alifanikiwa kuwasomesha watoto wake wote,Yule mzee alikuwa akiwakejeli wazazi wngine ambao hawakufanikiwa kuwasomesha watoto wao,
Kilichomkuta mzee yule ni kwamba pamoja na kuwasomesha watoto wake, Hawakufanikiwa kwa lolote, wamekuwa kama mazezeta...
Najua tumetofautiana changamoto za kiuchumi kulingana na mahitaji, malengo n.k lakini ikitokea kazi ya kumaliza shida hii...Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?
Afrika tunamaisha mazuri sema watu hawajui , Nchi za ulaya hauwezi ukaishi kwa ujanja bila kulipa kodi ukibainika wewe utakuwa muhalifu hawakuachi halafu pia utakabwa kila angle utalazimika kufanya kazi hata 3 ili uweze kulipa bills zako .
Huku kwetu kuna kazi zina msamaha wa kodi kama...
Wakuu sina amani kabisa na hii kazi ninayoifanya natamani kuacha kazi kabisa unapata sifa kubwa kwa kuwahudumia wagonjwa na kuwatibu lakini mifuko iko empty no allowance za kueleweka hauthaminiwi,ukifanya msala watu mzima inakugeukia wewe hasa hasa WaTanzania walivyowanafiki na hila.
Unafanya...
Habari za wakati huu na samahani ,nilikuwa naomba kama naweza pata kazi ambayo itanisaidia kwa namna moja ama nyingine
kikubwa iwe ya halali nipo dar es saam na pia nina uzoefu wa kufanya kazi maabara na kiwandani elimu yangu ni degree .msaada🙏🏻🙏🏻tafadhali
Namba yangu ni 0798449559
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.