Kwa nini mwanaume akitumia akili sana kwenye mahusiano hayawezi kudumu?

Kwa nini mwanaume akitumia akili sana kwenye mahusiano hayawezi kudumu?

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,569
Reaction score
5,983
Mwanaume ukiwa na akili sana kwenye mahusiano huwa anajaj sna ,hua na question sana,hua anakua active sana kiakil, kiutimam kitu ambacho kina mpa wakati mgumu mwenza wako hasa wale ambao hawajajitambua kiakil kumbuka mwanamke anatumia sana hisia tofaut na mwanaume ambae yey anatumia akili hii inafanya mwanamke aone kama wew humzingati.
 
Kwenye ndoa unatakiwa ujishushe unyenyekevu na kuvumiliana ni kipaumbele sana. Usilete ustaa , utajiri, umaskini wa kupindukia, urembo, ukahaba ,cheo, ujuaji/ujanja ujanja, usomi, ujeshi, nk. Hayo hayapatani na ndoa na ukioa/olewa ndoa itavunjika haraka. Kwenye ndoa lazima unyenyekee watoto wasogee na maisha halisi iendelee
 
Back
Top Bottom